Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Acha waisome namba eee

Tarehe 21 siyo mbali
 
Ile kauli ya putin aliyo mwambia waziri wake wa ulinzi imebeba ujumbe mzito sana ambao mimi na wewe hatuujui kiundani, kauli yenyewe ni hii "Nawapongeza vijana kwa kazi nzuri, wambie wapumzike kidogo harafu baadae operation iendelee"putin Pasipo kusema iendelee mpaka wapi na lini

Kuna wakati ukilazimisha kuelewa vizuri mipango ya Putin unaishia kupata maumivu ya kichwa tu kwa kuwaza sana pasipo majibu.

A man is a time traveller who think and plan beyond the human ability thus, westerners are getting confused to battle against Putin's plans.
Let's wait and see, Only Putin and his allies from Kremlin understand the whole game and how they are going to save the world by liquidating unipolar power created by the Banderas and Beasts to destruct our morals and peace on the earth.

I stand with Putin as well as Russian federation [emoji635].
 
Ukraine inastahili kuwa demilitarized waliandaliwa kuiangusha Russia . Ndege kibao na helicopter zimedondoshwa bado wanarusha nyingine
 
Najaribu kunukuu tu [emoji18][emoji2956]

Kwamba [emoji298]...."A man is a time traveller who think and plan beyond the human ability thus, westerners are getting confused to battle against Putin's plans.
Let's wait and see, Only Putin and his allies from Kremlin understand the whole game and how they are going to save the world by liquidating unipolar power created by the Banderas and Beasts to destruct our morals and peace on the earth"

I stand with Putin as well as Russian federation [emoji635].
 
Mimi sijali kama Putin atashinda au atashindwa kwenye huu uvamizi wake, japo naombea na naamini jambo jema kwa dunia ni yeye kushindwa na kuwa phariah/ kituko kabisa katika ulimwengu uliostaarabika.

Pia hata kama Ukraine ikishinda tayari kuna raia wake wengi waliopeteza maisha, ndugu zao, makazi au kubaki na vilema kutokana na matamanio ya kupanua himaya ya mwendawazimu mmoja.

Jambo la muhimu zaidi kwangu katika huu uvamizi wa Putin ni mataifa yanayojielewa pamoja na watu wote wanaoamini katika sovereignty ya mataifa, utu na demokrasia kuungana kwa pamoja kuukata na kuulani huu uvamizi na kusimama kwa mshikamano na Ukraine.
Still Yoda , MK254 , UPOPO , Mwanamkiwi , FUSO and their allies, they will tell you Ukraine is winning the battle, simply because they're not millitary experts.
 
Samahani nakumbusha tu " Aliemuweka putini madarakani ndiye aliwekwa na marekani kuivuruga USSR." Mwisho wa kunukuu utakikuta unachanganyikiwa wenye vichwa tu wanaelewa kinachoendelea kule kuwa ni Drama tu wenyewe mafuvu hapa hawaelewi chochote.
 
Utajuaje mataifa haya yana jielewa wakati we mwenyewe hujielewi?
 
Kwanini unalazimisha watu wawe na mtizamo kama wa kwako ?

Umeminywa baki kwenye mada acha kuzuga kwenye Imani za watu.

Kuna jukwaa la Dini anzisha uzi tuonane huko.

Naona unafukutwa sana na watu wanao support marijali wenzao 😀

We umeaminishwa kuoa wake wawili dhambi ila kuwa shoga ni haki yako na inafaa pia.
 

Russia ni taifa lililo staarabika sana na lina zingatia ubinadamu
 
Samahani nakumbusha tu " Aliemuweka putini madarakani ndiye aliwekwa na marekani kuivuruga USSR." Mwisho wa kunukuu utakikuta unachanganyikiwa wenye vichwa tu wanaelewa kinachoendelea kule kuwa ni Drama tu wenyewe mafuvu hapa hawaelewi chochote.

ARISTOTLE wewe kipaji chako ni UCHAWA tu, vipi Irene uwoya anasemaje??
 
Twambie Marekani inayoua imestaarabika kwa lipi? Marekani inapigia chapuo ushoga, imestaarabika kwa lipi?
 
Russia anaweza kufanya uhuni wa wakandarasi wa kichina kuchelewesha marekebisho 😂😂😂
 
Ohooo putin hawezi shindwa maana mpaka sasa kalamba joka halafu ana Two last cards
 
U.S. President Joe Biden will open his first visit as American head of state to the Middle East in #Israel and the occupied West Bank and is anticipated to focus on Israel's quickly advancing relations with Arab nations and a developing Arab-Israeli military alliance to counter Iranian threats. Biden's tour will come to an end in #SaudiArabia, where he defended his choice to travel there by stating that he would be prioritizing human rights. He also provided a sneak peek of the trip, on which he hopes to mend fences with the crown prince, whom he earlier branded a pariah. On his trip to the Middle East, Biden will have one-on-one meetings with Saudi King Salman bin Abdulaziz and his cabinet, which will include Crown Prince Mohammed bin Salman.
The de facto ruler of Saudi Arabia, Crown Prince Mohammed, is suspected of ordering the killing of #JamalKhashoggi, a journalist for the Washington Post and a political rival, in 2018.
#CGTNAmerica
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…