Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Si-force mtu, ila naomba watumie akili zao sio kuongozwa na chuki za kidini dhidi ya Marekani, na Marekani yenyewe wanaitamani kila siku kujaza form za greencard. Huyo Putin mnayemuabudu leo kuna kipindi aliwanyoosha sana watu wa hiyo dini kwenye jimbo la Chechnya....
We jamaa nina uhakika utakuwa Toashi.

Eti naomba watumie akili 😀, Hivi huoni Nondo za Galip Vrl au unataka tusifie mapunga wenzio ndio akili hiyo unayozungumzia
 
Россия не дешевая (russia sio zimbambwe)
ukraine.JPG
 


URGENT :New York City Begins Preparing Population for NUCLEAR ATTACK​


***** BULLETIN ***** -- URGENT -- New York City Begins Preparing Population for NUCLEAR ATTACK

The New York City Office of Emergency Management has issued a video TRAINING NEW YORKERS FOR WHAT TO DO WHEN A NUCLEAR BOMB HITS.
The ninety second video was released this morning, July 11, 2022, appears below. It is widely believed they have put out this video because THEY KNOW what's coming . . . . because it is the government that intends to cause it.
They are pushing Russia so far with economic sanctions over Ukraine, that the Russians will have no choice but to launch a full nuclear attack because what we are doing is now an existential threat to Russia.
Rather than stop what we're doing, they intend to keep pushing and THEY KNOW what the result will be.
Here's the video:



IDIOCY
In the video, they tell New Yorkers to get inside. Good advice . . . if there's anything left standing to actually get inside of!
Then, in the height of utter stupidity, they tell New Yorkers "If you were outside when the blast hit, take off all clothes, shower and shampoo to wash the radiation off immediately." THERE WON'T BE ANY RUNNING WATER. The water mains will all be ruptured from the blast and the electric that powers the water pumps will all be off for miles.
But wait, there's more . . . idiocy . . . . they tell New Yorkers "stay tuned to local media and don't go outside until authorities tell you it's safe." THERE WON'T BE ANY LOCAL MEDIA. It will all be blown up. All the TV and radio transmitters will be wiped out!
As if to add insult to injury, they tell New Yorkers "Sign up to NYC-alerts" (with your cell phone). . . THERE WON'T BE ANY CELL PHONE SERVICE. The towers will all be knocked down, the transmitters fried by electro-magnetic pulse, and the electric will all be out. THERE WON'T BE ANY INTERNET SERVICE. All the Internet lines will be blown up and the wireless all offline from EMP or no electricity!!!

THEY KNOW WHAT'S COMING
Government does not do things like this for no reason. In this case, THEY KNOW what's coming because it is government that is causing it.
They've been planning a "take-down" of Russia, for decades. They expanded NATO when they promised Russia they would not move "one inch eastward" upon the re-unification of East and West Germany. They broke that promise in stages, moving little by little closer to Russia's borders.
When they got to Ukraine, they wooed then-President Viktor Yanukovich with promises of riches and wealth for Ukraine if they departed from Russia's shpere of influence, and joined Europe and the United States sphere of influence.
Yanukovich thought about it. He consulted with his government officials. He spoke to businesses in Ukraine. He spoke with many average Ukrainians. In March, 2013, Yanukovich told Europe and America "Thanks, but NO THANKS." Well, that was an answer that Europe and America just wouldn't accept.
So the US and Europe began pouring money into Ukraine to foment and facilitate violent protests; riots in every major city. Within a year, in 2014, rioters burned government buildings. Snipers were shooting people on both sides to foment more violence. It got so bad, that Yanukovich had to flee the country and the Ukraine government collapsed.
Who was right there to finance new political candidates? Europe and America. So they were able to install a puppet government favorable to the West.
When Russia saw this taking place, they were stunned. This was happening right at their own border. The west was overthrowing Ukraine's government because they need Ukraine in NATO. You see, they want to put American missile defenses on Ukraine territory. By positioning our missiles there, they would have a flight time of only about five minutes to Moscow. They would also have a flight time of only 7-8 minutes to Russia's strategic nuclear missile silos.
Russia had to act in its own defense. They did what our own President, John F. Kennedy did, when Kennedy found out the then-Soviet Union had placed medium range and intermediate range nuclear missiles in Cuba. Kennedy blockaded cuba and began massing troops for an invasion.
Thankfully, both sides negotiated a peaceful settlement to what became known as the "Cuban Missile Crisis." That was in 1962-63.
Today, the situation is exactly reversed; it is the West trying to put missiles withing 5 minutes time of Moscow, and Russia said No.
When Ukraine decided they were actually going to join NATO, and allow those missiles . . . and even began preparing for a NATO naval base on the Black Sea, Russia had enough.
The Ukrainians has also massed about 80,000 troops on the borders of the eastern states of Luhansk and Donetsk (collectively called "The Donbas") so Russia knew Ukraine was prepping its military and its land for a confrontation. Russia thus had to strike first.
Instead of backing off, the West upped-the-ante . . . they imposed crippling economic sanctions upon Russia specifically designed to crush Russia's economy. The sanctions backfired and are harming the west more than harming Russia.
so what is the west doing now . . . . massing troops in NATO countries along Russia's border.
Russia has said that if NATO and RUssia go to war, NATO has superior conventional forces. Russia admits that. But Russia also said "Russia is anuclear power and our nuclear forces are superior to NATO. IT will be a war that no one will win."
The only war that "no one will win" is a nuclear war.
NOW, the NYC Office of Emergency Management is publicly telling New Yorkers what to do when a nuclear bomb hits.
WHY?
Because they know what's coming . . . . because they are the cause of it. It is now clear that the US intends to engage in a nuclear war with Russia. THAT is why NYC OEM is putting out these warnings.

HAL TURNER EDITORIAL OPINION
I cannot even begin to describe to you, the heat I have taken over the past few months, for warning my web site visitors and radio audience that nukes are going to fly. I was called "crazy" by the public. My stories were smeared as "click bait." My sources were derided as "fear mongers." My radio show was attacked as "scaring the public."
So now that the New York City Office of Emergency Management is actually telling New Yorkers what to do when a nuclear bomb hits, I wonder if folks might figure out that I've been right all along?
Danger
 
Wili hii Russia inapata wakati mgumu, maghala yake ya Silaha huko Donbas yanalipuliwa sana na yale makombora yarushwayo kupitia mifumo ya HIMARS ambayo Marekani imeipa Ukraine na Marekani amesema atampa mengine zaidi.

Mnatumia nguvu kubwa sana kwenye kuzisifia hizo bati wakati ukweli zimefeli pale Ukraine.
 
O
Samahani nakumbusha tu " Aliemuweka putini madarakani ndiye aliwekwa na marekani kuivuruga USSR." Mwisho wa kunukuu utakikuta unachanganyikiwa wenye vichwa tu wanaelewa kinachoendelea kule kuwa ni Drama tu wenyewe mafuvu hapa hawaelewi chochote.
Acha kupotosha watu Yetsin aliondolewa na KGB na ni KGB/FSB ndo imemuweka Putin.

Ubaya wengi humu wamezaliwa mwishoni mwa miaka ya 1900 hivo HAMUIJUI KGB na kifupi miaka ya 80 KGB ilitaka kunzisha project kubwa na pana kuwahi kuwazwa kufanywa na mwanadamu, ilitaka kuanzisha project ambayo ingechunguza kila mtu ndani ya NATO
 
Wanaume wanao wapeleka moto walaumiwe kwa lipi? Hujui hawa washenzi wangesababisha mfumuko wa bei wa Matango, karoti, ndizi na mabiringanya mchongoko🙊 wanaowapeleka moto wanasaidia kufanya bei ya kUwa himilivu, hawa washenzi hawapaswi kutetewa
Mbona unawatetea wanaume wanaofanya mashoga ,inaelekea wewe ni mmoja wao kwani wakikamatwa wote
 
We jamaa nina uhakika utakuwa Toashi.

Eti naomba watumie akili [emoji3], Hivi huoni Nondo za Galip Vrl au unataka tusifie mapunga wenzio ndio akili hiyo unayozungumzia
[emoji23][emoji23][emoji23]

Ha ha ha ila kwanini usimkaushie aendelee kuteseka tu huyo Popoma... mmh?

Kila qoute mnayompa ndio inazidisha pumba zake jamvini. Litie block jomba likaugulie uchochoroni uko.

Lenyewe lajiona lina akiiiiiili kuufagilia ugasho wa babu yake sasa utalielewesha nini hapo likuelewe [emoji276].

Litie kitanzi tu mkuu tupunguze text za kijinga kuzisoma.
 
Wili hii Russia inapata wakati mgumu, maghala yake ya Silaha huko Donbas yanalipuliwa sana na yale makombora yarushwayo kupitia mifumo ya HIMARS ambayo Marekani imeipa Ukraine na Marekani amesema atampa mengine zaidi.
Angalia tu usije chafua shuka kujikojolea kitandani, Hizo ndoto zingine mbaya sana kwa umri wako...
 
Mbona unawatetea wanaume wanaofanya mashoga ,inaelekea wewe ni mmoja wao kwani wakikamatwa wote
Ingekuwa sio haki za binadamu hao walipaswa kuswekwa vijinga vya moto huko kunakowawasha, mpaka wanafanya wabinue vijambio kama dada zao, na kushindana kwenye kioo kupaka make up. Siwatetei wanaume wanaofanya ufilauni ilikua kama joke ndiyo maana niliweza emoj 🙊 hapa
 
Kuna kitu dada waafrika tunafail kwenye uchaguzi wa uwanja wa mashindano
Leo hii kushindana na mzungu kwenye technology aliyoianzisha yeye ni sawasawa uanzishe pambano na mamba halafu sehemu ya kupigania iwe ndani ya mto rufiji kiufupi mamba atachukua point asubuhi tu na mapema
Wakati mzungu anatafuta dawa ya tumbo kwenye maabara Sisi tunatakiwa kutafuta dawa ya miti shamba ambayo itatoa tiba sawasawa na dawa zilizotengenezwa na mzungu,
Wakati urusi anatengeneza kombola la
Masafa marefu Sisi tunaboresha kama watu Wana uwezo wa kutengeneza radi basi tuboreshe ili Ile radi tunayoitengeneza tuwe na uwezo wa kuipeleka Hadi urusi na ikashambulie sehemu tuliyokusudia bila kuharibu sehemu zisizohusika

Wakati wanatafiti vifaa bora na kutumia CCTV camera Kwa upelelezi Kwenye kesi mbalimbali, Sisi tunajenga kitengo maalumu kitakacho kuwa kinahudumia watu mbalimbali waliodhurumiwa haki Yao,

Mfano ulienda kazini kurudi umekuta watu wamevunja na kuiba, unaenda kwenye hicho kitengo unalipia Ada kama uliyopangiwa wataalamu wanafanya vitu vyao mwizi/wezi wanakuja wenyewe Hadi nyumbani kwako kukurudishia vile vitu walivyokuibia huku wanachapwa bakora na mtu wasiyemuona Kwa hiyo wamerudisha vitu ili huyo anayewachapa asiendelee kuwachapa, na kweli baada ya kurudisha vifaa vyako na kuwalipisha faini Kwa usumbufu ulioupata wanarudi kama kawaida

Mpaka hapo kesi Aina moja lakini kila mtu amepata haki yake ingawa zimetumika njia tofauti katika kufanikisha haki hiyo inapatikana

Mimi nasisitiza kuna umuhimu wa kurudi kwenye Mila zetu Kwa manufaa ya jamii nzima ya kiafrika
Turudini kwa nguvu zote,mi babu yangu alipigana vita ya pili ya Dunia na akaniambia uchawi ndio uliokuwa ukimsaidia huko vitani,bahati mbaya ni marehemu ningemuuliza maswali kibao nadhani angenipa hints
Nalog off Z
 
Najaribu kunukuu tu [emoji18][emoji2956]

Kwamba [emoji298]...."A man is a time traveller who think and plan beyond the human ability thus, westerners are getting confused to battle against Putin's plans.
Let's wait and see, Only Putin and his allies from Kremlin understand the whole game and how they are going to save the world by liquidating unipolar power created by the Banderas and Beasts to destruct our morals and peace on the earth"

I stand with Putin as well as Russian federation [emoji635].
[emoji23][emoji23][emoji23] Indeed mkuu[emoji120]
 
Mimi sijali kama Putin atashinda au atashindwa kwenye huu uvamizi wake, japo naombea na naamini jambo jema kwa dunia ni yeye kushindwa na kuwa phariah/ kituko kabisa katika ulimwengu uliostaarabika.

Pia hata kama Ukraine ikishinda tayari kuna raia wake wengi waliopeteza maisha, ndugu zao, makazi au kubaki na vilema kutokana na matamanio ya kupanua himaya ya mwendawazimu mmoja.

Jambo la muhimu zaidi kwangu katika huu uvamizi wa Putin ni mataifa yanayojielewa pamoja na watu wote wanaoamini katika sovereignty ya mataifa, utu na demokrasia kuungana kwa pamoja kuukata na kuulani huu uvamizi na kusimama kwa mshikamano na Ukraine.
Pole sana mkuu, nipende tu kukutaarifu kuwa unacho omba kiwe hakiwezi kuwa kwa mjibu wa economy and millitary experts.
 
Still Yoda , MK254 , UPOPO , Mwanamkiwi , FUSO and their allies, they will tell you Ukraine is winning the battle, simply because they're not millitary experts.

Yaani mpaka leo haka kainchi saizi ya mkoa kamewashinda kufumua, tena kajirani kadogo tu hapo Urusi......miezi miine supapawa wa mchongo amepoteza hadi majenerali, meli kubwa ya kivita na kila aina ya hasara ila kainchi bado kapo tu, yeye ameambulia tumiji twa huko mipakani.

where-are-ukraine-&-russia.jpg
 
Kwanini unalazimisha watu wawe na mtizamo kama wa kwako ?

Umeminywa baki kwenye mada acha kuzuga kwenye Imani za watu.

Kuna jukwaa la Dini anzisha uzi tuonane huko.

Naona unafukutwa sana na watu wanao support marijali wenzao 😀

We umeaminishwa kuoa wake wawili dhambi ila kuwa shoga ni haki yako na inafaa pia.

Hamlazimishwi, nawaumbua na kuwaelimisha mtumie akili zenu binafsi muwache kuendeshwa na uzombi wa kidini.
 
Back
Top Bottom