Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,776
Alienda kuuza roho yake maisha ya duniani yalimchoshaAtakuwa alienda kuuza "K".....
Alienda kuuza roho yake maisha ya duniani yalimchoshaAtakuwa alienda kuuza "K".....
Duuuh, yaani kuna watu wanapiga pesa Sana, kila mradi mkubwa watu wanacheza na namba za trillionBagamoyo ni bandari ndiyo us$10bil mimi nazungumzia ile ya kuchenjua gesi ambayo samia katia mkataba wanadai ni $30bil
Kharkiv inafuataMrusi ni mjanja hatari anaanza kujenga Imani kwa wananchi.
[emoji635][emoji1255] Salaries to state employees, as well as pensions, will begin to be paid in the liberated territories of the Kharkiv region in July, people will receive money in two months - Vitaly Ganchev, head of the region's interim civil administration.
Mimi nilikuwa napita huko kuwapa support ya LIKE lakini since kuondoka JPM nilikosa hata nguvu ya kupita huko POLENI SAANA AISENimekimbia kwenye ile battle maana kwa sasa hakuna chakujivunia maana dar hakuna hata km1 ya barabara mpya wala mradi wowote wa kimkakati kwa sasa toka huyu chifu kuketi ikulu
GOD IF I DIE YOUNG SEND ME TO HEAVEN, IN HELL I'VE ALREADY BEENView attachment 2287287
^БОЖА
КАЛІ 3АГІНУ
МАЛАДЫМ
НАКІРУЙ
MЯНЕ У РАЙ
У ПЕКЛЕ Я ЎЖО
БЫЎ^
Translation:
^GOD YOU SHOULD HAVE SENT ME TO HEAVEN
WHEN I WAS YOUNG
I AM ALREADY IN HELL NOW^
Mfano tukasema kwamba lengo la hii military operation ni kuondoa tishio la kiusalama kwa Urusi. Sio mfano bhana ndio lengo kuu.Yaani mpaka leo haka kainchi saizi ya mkoa kamewashinda kufumua, tena kajirani kadogo tu hapo Urusi......miezi miine supapawa wa mchongo amepoteza hadi majenerali, meli kubwa ya kivita na kila aina ya hasara ila kainchi bado kapo tu, yeye ameambulia tumiji twa huko mipakani.
![]()
Ona sasa bahati mbaya umethibitisha kauli yake kuwe wewe haupo logical.Hehehe!! Jikite kwenye mada wacha kunijadili, mimi nimeshindikana hata kwa Warusi na Waarabu kule Quora sembuse nyie waarabu wa hapo kwa Mtongole, Bongo...
Hii vita ipo strategic, haitakiwi kuisha mapema kama unavyofikiria wewe, wait and see showYaani mpaka leo haka kainchi saizi ya mkoa kamewashinda kufumua, tena kajirani kadogo tu hapo Urusi......miezi miine supapawa wa mchongo amepoteza hadi majenerali, meli kubwa ya kivita na kila aina ya hasara ila kainchi bado kapo tu, yeye ameambulia tumiji twa huko mipakani.
![]()
Team NATO hamtumii akiliHadi mnaomba msaada Iran, kweli hali mbaya
Hapo kwenye "...has decided to sidestep..." He he kweli WinterIsComingHii nadhan Ni mojawapo ya tweet yenye dhihaka zaidi kutoka serikali ya putin[emoji16]View attachment 2287789