Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unaposema Pro NATO unamaanisha na Uturuki?!
Oral sex ya ke na me au ke kwa ke au me kwa me fafanua!?

Kama ni oral sex ya ke kwa me au me kwa ke sidhani kama ni tatizo sana. Ikiwa ke kwa ke au me kwa me ndio shida ilipo hapo.

Na sisi tukuulize Ni kwa nini nyie proNato mnakuwa mna uswahiba sana na ushoga!? Kwa nn hamlaani hayo mambo kwamba ni uchafu
 
Uswisi na Reuters zaripoti kuwa Urusi imechoma majengo makubwa mawili yaliyokuwa yamehifadhi Howitzers za Marekani huko Donetsk

Screenshot_20220710-181619_Chrome.jpg
 
Kwamba wanaokubali kufanywa wao sio tatizo!!!??
Hamna mwema hata mmoja hapo wote washenzi nawakulaaniwa haswaa
Mimi ningekuwa serikali.nakamata mashoga na lazima wawataje wanaowafanja tena unawaweka kwa gazeti/public. Mashoga unawashtaki.Anyway Mungu tusaidia inauma sana jamani hasa ukiwa mzazi unaona.litoto la kiume jinga tu
 
Naona US amedhamiria kuingia mazima Russia sijui nini kitatokea .Kuna anguko litatokea Russia ama US . Vita rasmi inaanza Kati ya NATO na Ukraine.
Asubuhi tu panatawanywa tawanywa miji kadhaa Poland na Kiev baada ya hapo tunaongea Story nyingine..... Hakuna mzungu yoyote anaetaka Vita na mtu mwenye silaha za kukinga anga na silaha za hatari za Mrusi Kwa kipindi hiki.
 
[emoji96] War Summary from the General Staff of the Armed Forces of Ukraine:

[emoji3502]In the Kharkov direction, the main efforts of the Russian Federation are still focusing on preventing the advancement of the Armed Forces of Ukraine. The Russian Armed Forces fired artillery and launched an air strike near Verkhniy Saltov and a missile attack on Kharkov.

[emoji3502]In the Slavyansk direction, the Russian military carried out a fiery defeat of the positions of the Armed Forces of Ukraine, conducted reconnaissance in battle in the Valley area.

[emoji3502]There were no active battles in the Kramatorsk direction, the movement of individual units of the Russian Federation to the Belogorovka area was noted. The Russian army launched airstrikes near Slavyansk, Seversk and Serebryanka.

[emoji3502]The RF Armed Forces did not carry out active operations in the Bakhmut direction. Shelling was recorded in the areas of Vershina, Zaitsevo, Pokrovsky, Vesele, Ivano-Daryevka and Uglegorsk TPP. Air strikes were carried out near Berestovoye and Disputed.

[emoji3502]In the Avdiivka, Kurakhovsky, Novopavlovsky and Zaporozhye directions, the Russian Armed Forces carried out artillery shelling and air strikes.

@NewResistance
Safi
 
Mimi ningekuwa serikali.nakamata mashoga na lazima wawataje wanaowafanja tena unawaweka kwa gazeti/public. Mashoga unawashtaki.Anyway Mungu tusaidia inauma sana jamani hasa ukiwa mzazi unaona.litoto la kiume jinga tu
Mashoga ni wake wa viongozi kama ulikuwa ujui ...viongozi wa serikali mpaka wadini ....
Tena ngoja shaka na January mkambo wakusikie vitisho vyako ..utajua ujui
 
Back
Top Bottom