Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Superpower anatakiwa kufanya mambo yote kwa wakati mmoja...huku anagawa kichapo hevi kwa Ukraine na wajeda wa NATO...kule anawaumiza vibaya Marekani, Ujerumani na EU kwa ujumla kwenye vita ya nishati zake (mafuta/gesi), halafu wakati huo huo anaanza kujenga project ya mabilioni ya USD huko Indonesia ili kuchakata mafuta ghafi.

By the way, tulikuwa tukisimuliwa na kuaminishwa humu kuwa Marekani ina hifadhi kubwa ya mafuta ya kutumia hata miaka 10 bila kutegemea mafuta ya Saudia. Sasa mbona hilo hatulioni hivi sasa?! Wamarekani na wazungu wanapumulia mipira kutokana na uhaba wa mafuta na na gharama za maisha kupaa, je Urusi angeamua kusitisha kabisa huduma hiyo hali ingekuwaje?!

View attachment 2286045
Jitahidi uanze kuandika vitabu vyako mwenyewe,

Uandishi wako unavitia kusoma
 
German Chancellor Olaf Scholz is suspected of "sex scandal", according to Deutsche Welle.

As sources in the German Social Democratic Party told the German edition, at least 8 girls were drugged with "drugs for rape" at a private party with the participation of Olaf Scholz.
Huyu nae wanataka kumng'oa sasa anatafutiwa sababu 😂
 
German Chancellor Olaf Scholz is suspected of "sex scandal", according to Deutsche Welle.

As sources in the German Social Democratic Party told the German edition, at least 8 girls were drugged with "drugs for rape" at a private party with the participation of Olaf Scholz.
Wajinga hao!

Wanamtengenzea mazingira ya kujiudhuru ili kukwepa aibu ya kuanguka kwa uchumi wa Ujerumani!
 
💢Neo-con Analysis of the situation in Ukraine, from the Institute for the Study of War:

▪️Russian troops continued to advance northwest of Slavyansk and carried out offensive operations east of Seversk from the Lisichansk region.

▪️Russian forces continued localized attacks northwest of Kharkov, likely in an attempt to protect Russian land lines in the area.

▪️Russian troops continue to create conditions for the capture of Donbass, Kharkiv region and southern Ukraine.

@NewResistance
 
💢 War Summary from the General Staff of the Armed Forces of Ukraine:

▪️In the Kharkov direction, the main efforts of the Russian Federation are still focusing on preventing the advancement of the Armed Forces of Ukraine. The Russian Armed Forces fired artillery and launched an air strike near Verkhniy Saltov and a missile attack on Kharkov.

▪️In the Slavyansk direction, the Russian military carried out a fiery defeat of the positions of the Armed Forces of Ukraine, conducted reconnaissance in battle in the Valley area.

▪️There were no active battles in the Kramatorsk direction, the movement of individual units of the Russian Federation to the Belogorovka area was noted. The Russian army launched airstrikes near Slavyansk, Seversk and Serebryanka.

▪️The RF Armed Forces did not carry out active operations in the Bakhmut direction. Shelling was recorded in the areas of Vershina, Zaitsevo, Pokrovsky, Vesele, Ivano-Daryevka and Uglegorsk TPP. Air strikes were carried out near Berestovoye and Disputed.

▪️In the Avdiivka, Kurakhovsky, Novopavlovsky and Zaporozhye directions, the Russian Armed Forces carried out artillery shelling and air strikes.

@NewResistance
 
Work started on the Mumbai (India) to Saint Petersburg trade route - NO SINGLE DOLLAR WILL BE USED ON THIS ROUTE

India- Iran- Azerbaijan- Moscow- St Petersburg

Grains- Oil - Coal - Fertiliser trade route without using SWIFT
FXSRudDXkAAGqEZ.png
 
Kama tungeliweza kujua Nato na Russia wanachotaka kufanya nyuma ya dunia hii tunayoiona sisi kwa macho ya kawaida hakuna mtu angejisumbua,
Kilichoko nyuma ambacho hakijafunulia ni kikubwa sana tofauti na tunachokijua tungepata kukijua ingetusaidiwa kupata muongozo kujua Lengo la hii vita tofauti na uwezo tuliona wa kuzungumzia hii vita.
Hapa ni sawa kulipuliwa kwa majengo pacha ya world trade center na ikidaiwa hakuna hata muisrael mmoja aliekufa mule.
Nato(ukrine) na Russia wote ni wauaji.
Kuna nguvu tofauti inaiongoza dunia iende inavyotaka, viongozi wapo tu kama mazombie wanapewa tu matamko fanya jambo hili.
Ni nani ataiondolea dunia hili janga la New world order hili ndio tatizo zaidi.
Kuna mtu atasema Russia wakati huo huko nako ushoga upo.
 
Mpaka sasa Russia imeshaangamiza jumla ya drones 1503 za Ukraine zilizonunuliwa toka kwenye nchi za NATO ikiwemo Marekani.

Drones za Marekani zilionesha ufanisi kule Afghanistan kwenye vita na waarabu wenye silaha/zana dhaifu. Marekani ikakariri kuwa drones zinaweza kuwa kila kitu kwenye vita, wakazimimina drones Ukraine wakidai zitapindua meza. Russia alichozifanyia drones hizo, Marekani na Ukraine hawana hamu tena ya kumimina drones Ukraine.
====
Screenshot_20220710-131225_Chrome.jpg

Screenshot_20220710-132151_Chrome.jpg
 
German Chancellor Olaf Scholz is suspected of "sex scandal", according to Deutsche Welle.

As sources in the German Social Democratic Party told the German edition, at least 8 girls were drugged with "drugs for rape" at a private party with the participation of Olaf Scholz.
Mtu ameanza kutafutiwa chaka hapa....
 
Back
Top Bottom