Pili sikubali kwamba "Wanazi wa Ukraine" walilazimisha watoto na wanawake kubaki Mariupol; wala sioni kwamba jeshi la Kirusi lilijali hata kidogo lilipopiga. Masimulizi haya kuhusu "Wanazi wa Ukraine" ni propaganda; kama wako Ukraine, wako pia Urusi.
Fuatilia links hizi kupata ushahidi:
"Members of Ukrainian units intentionally use civilians as human shield and block the evacuation of residents from the combat area via opened humanitarian corridors"
kuumbwa kwa vijamhuri hivi ni azimio lake, na mwis
Sikweli, kuundwa kwa Jamhuri mbili ni matakwa ya wananchi wanaoishi Donobas na ambao wamepata madhila makubwa chini ya utawala wa kinazi wa Ukraine kwa miaka nane! Ushahidi huu Tena kutoka chombo cha habari chako pendwa BBC.
"
The self-proclaimed Donetsk People's Republic, or DNR, was set up by pro-Russian separatists in 2014.
According to Russia's Interfax news agency, leader of the DNR Denis Pushilin has said the men will be charged in the region's supreme court."
BBC haijamtaja Putin
Dai lako kwamba "Urusi anashusha mabomu ya wastani ya kuharibu sehemu ya juu ya nyumba bila kugusa sana basements" - si kweli. Kwanza tunajadili grenedi kutoka mizinga si mabomu.
Shukrani sana kwa kuonyesha dukuduku lako juu ya jambo hili na kwa kweli umefanya vizuri kuweka picha.
Kwanza tuelewane, kwa Pamoja tunaelewaje neno basement? Binafsi najua basement ni sehemu ya nyumba ambayo ujengengwa chini ya usawa wa ardhi, kwa neno Rahisi ni chumba kama andaki chini ya ardhi.
Niliposema nyumba ilipigwa juu nilimaanisha Kuta zake na paa ambavyo vipo juu ya usawa wa ardhi. Bahati nzuri sana picha ulizoweka zinadhibitisha maelezo yangu haya, hakuna mahali panaonyesha andaki linetinduliwa bali ni Kuta na paa ndizo zimeathiriwa na mashambulizi.
kuhusu "Marekani kushawishi washirika wengi wa Russia kujiunga NATO" - nchi gani ililazimishwa kujiunga na NATO? Walipaga foleni peke yao na kuomba waingie
Mkuu Kuna udhibitisho Tena uliopitiwa na reviewers Nguli wa masuala ya kimataifa juu ya hila za Marekani kuwaingiza hizo Nchi ulizotaja kwenye NATO. Ukitumia jicho la Tatu kusoma muhitasari wa huu hapa chini wa mtaalamu wa masuala ya kimataifa, kama siyo mbishi kupindukia utakubaliana na maelezo yangu Karibu
Abstract
European security depends on the effective collaboration of the five major powers; it
will be undermined by the extension of NATO, a policy driven by US domestic politics. The main threats to security are: the breakdown of political and economic stability; unintended nuclear proliferation and/or failure of the START process; Russia's evolving political and territorial aspirations. All three will remain marginal as long as Russia is constructively engaged with the West. NATO expansion threatens that engagement. It is seen by all strands of Russian opinion as violating the bargain struck in 1990 and will likely lead to the withdrawal of cooperation. Invitations to Poland, Hungary and the Czech Republic cannot be rescinded, but the consequences can be mitigated by refraining from integrating them into NATO's military structure, by ceasing to insist that NATO membership is open to all, and by perpetuating the de facto nuclear-weapons-free zone that presently exists in Central and Eastern Europe. Britain's stance could be pivotal.
Michael McCgwire, NATO Expansion: 'A Policy Error of Historic Importance', Review of International Studies, Vol. 24, No. 1 (Jan., 1998), pp. 23-42
www.jstor.org
Mashambulio ya Putin sasa ni jaribio tena kupanusha ukoloni wa Urusi.
Mkuu katika historia ya uwepo wa Ulimwengu, ni nchi za Ulaya na Marekani, na Baadhi ya zile za Mashariki ya kati zilizofanya ukatili wa kibinadamu katika kutafuta makoloni kukidhi matanio ya kupata rasilimali. Russia hakuwa na haja ya kutafuta makoloni na kujiingiza kwenye dhambi kubwa ya ukatili wa kibinadamu kwa sababu tayari yeye alishabarikiwa rasilimali nyingi na za kutosha. Kwa hiyo, tujiulize sisi wawili(Mimi na wewe Mkuu) na kisha tuwashirikishe wengine wanaofuatilia mjadala huu swali hili. Je. Ni nani kati yetu wawili bado yupo usingizini na yawezekana anahangaika na ndoto za kufukuzwa na nyoka mwenye vichwa sita?
Karibu tusemezane!