Mr Tyang
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 1,727
- 6,807
"Balozi hubadilishwa mara nyingi kila baada ya miaka 3-5" MwanamkiwiUsiamini kila kitu unachoona kwenye intaneti. Balozi hubadilishwa mara nyingi kila baada ya miaka 3-5. Huyu wa Berlin alikaa tayari tangu 2015. Si ajabu akibadilishwa.
Kama aliweza kweli kufanya "viongozi wa nchi zingine wachukulie matatizo ya nchi yake kama yao" alifaulu. Si kosa, ingekuwa mafanikio makuu ya balozi yeyote ya nchi yoyote.
Ila huyu wa Berlin labda alisumbua mno na kuwachukiza watu kadhaa Ujerumani, ambayo si hekima kwa balozi.
Ila, nikiangalia habari za huko, alifaulu kuharakisha silaha za Ujerumani kufika Ukraine.
"Huyu wa Berlin alikaa tayari tangu 2015" Mwanamkiwi
Sasa ndugu mwanamkiwi, huoni kama sentensi yako ya kwanza na yapili zinapingana kwa mjibu wa maelezo yako kuhusu time interval ya Balozi kubadilishwa?
Kutoka mwaka 2015 mpaka 2022 ni miaka mingapi hiyo?
Sasa kama unabishana wewe mwenyewe mimi kweli ndo nitakuweza hata nikisema nijitolee kukuelimisha?
Ningeona dalili za uelewa, ningejitahidi tueleweshane ila kwasasa acha nijifanye kama sijui wala kuelewa tofauti kati ya kutumbuliwa(fired) na kumaliza muda wa utumishi (retired)
Ngoja nikuachie Twitty ya Ukraine [emoji1255] Upambane nayo, mimi nimeona dalili za kuto kukuweza Maana huna hoja.