Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hatimaye leo mzee wa ewura karejea baada ya malalamiko ya wese. Nahisi kashapata msaada kutoka USA and NATO.
Mbona Zanzibar ina skendo nyingi za ajabu ajabu pia?!

Haya ya ma sugar mamy wa kizungu Mombasa ni mabaya kuliko yaliyotokea Kigoma ya jamaa mmoja kuua familia ya watu 7 hadi watoto wadogo kisa mke wake alikuwa anachepuka na mwanaume wa hiyo familia?
Hapo ndio umejionyesha ukenya wako
 
Ongezeko lililopitiliza la idadi ya watu(Overpopulation) ni suala halisi na linalosababisha matatitizo makubwa duniani, kadri idadi ya watu watakavyozidi kuongezeka ndivyo rasilimali za dunia zitazidi kupungua na kurudisha nyuma hatua nyingi za maendeleo kwa binadamu.

Climate change (mabadiliko ya tabia nchi) ni halisi na yenye athari kubwa duniani kote, sio conspiracy kama unavyofikri wewe. Yapo maeneo yaliyokuwa hayapati vipindi vya joto ila leo yana joto kali na kinyume chake. Theluji ya mlima Kilimanjaro inaisha kwa kasi.
Overpopulation sio kitu halisi?

Watu wamejaa sehemu chache hapa duniani ila eneo kubwa Bado tupu.

Mfano: Bara Zima la Afrika, linakadiliwa kuwa na watu billion 1.2 au 1.3 katika eneo la square kilomita 30,370,000,000.
Wakati China eneo lake ni 9,597,000,000 square kilomita na idadi ya watu ni billion 1.4 au India ni 1.3 bilioni katika eneo la 3.287 square kilomita.

Sasa Africa Ina watu wa kutosha? Jibu ni hapana,
Kama hapana ujue hii sera Haina manufaa kwa afrika Wala waafrika.

Angalia ya America ya kusini na utagundua eneo kubwa ni Msitu uitwao Amazon Forest.

Eneo la America ya kati na visiwa vya karibini hauwezi sema, wale watu ni overpopulation.

North America na kule Kanada eneo kubwa ni barafu na Msitu tu.

Urusi yenyewe eneo lote Lile, Lina watu Milioni 145 tu, hivyo sera za overpopulation ni upuuzi mtupu.

Kuhusu global warming na athali zake ni kweli, mpaka Sasa Kuna visiwa vipo kwenye hatari kubwa.
Ila nani ni mchangiaji mkubwa,

Utagundua ni Yale Mataifa yaliyoendelea kwa viwanda duniani.

Watakwambia Africa hawana strong internal market au Labour force ili kuweza kuvutia makampuni yawekeze ila upande mwingine wanakuletea sera za uzazi wa mpango.

N.B Waafrika na watu weusi tupo asilimia 13 ya watu wote duniani ila hofu ni ongezeko letu duniani
 
You are contradicting yourself,halafu hujui hata relationship kati ya Agano la Kale na Jipya.Agano la Kale lilikuwa kwa ajili ya wana wa Israel sio sisi.

Read this👇

Wagalatia 3:23-25
23 Lakini kabla ya kuja ile imani tulikuwa tumewekwa chini ya sheria, tumefungwa mpaka ije ile imani itakayofunuliwa.
24 Hivyo torati imekuwa kiongozi kutuleta kwa Kristo, ili tuhesabiwe haki kwa imani.
25 Lakini, iwapo imani imekuja, hatupo tena chini ya kiongozi.

Read also this👇

Waebrania 8:5-13
5 watumikiao mfano na kivuli cha mambo ya mbinguni, kama Musa alivyoagizwa na Mungu, alipokuwa tayari kuifanya ile hema; maana asema, Angalia ukavifanye vitu vyote kwa mfano ule ulioonyeshwa katika mlima.
6 Lakini sasa amepata huduma iliyo bora zaidi, kwa kadiri alivyo mjumbe wa agano lililo bora, lililoamriwa juu ya ahadi zilizo bora.
7 Maana kama lile la kwanza lingalikuwa halina upungufu, nafasi isingalitafutwa kwa lile la pili.
8 Maana, awalaumupo, asema Angalia, siku zinakuja, asema Bwana, Nami nitawatimizia nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda agano jipya;
9 Halitakuwa kama agano lile nililoagana na baba zao, Katika siku ile nilipowashika mikono yao niwatoe katika nchi ya Misri. Kwa sababu hawakudumu katika agano langu, Mimi nami sikuwajali asema Bwana.
10 Maana hili ndilo agano nitakaloagana na nyumba ya Israeli Baada ya siku zile, asema Bwana; Nitawapa sheria zangu katika nia zao, Na katika mioyo yao nitaziandika; Nami nitakuwa Mungu kwao, Nao watakuwa watu wangu.
11 Nao hawatafundishana kila mtu na jirani yake, Na kila mtu na ndugu yake, akisema, Mjue Bwana; Kwa maana wote watanijua, Tangu mdogo wao hata mkubwa wao.
12 Kwa sababu nitawasamehe maovu yao, Na dhambi zao sitazikumbuka tena.
13 Kwa kule kusema, Agano jipya, amelifanya lile la kwanza kuwa kuukuu. Lakini kitu kianzacho kuwa kikuukuu na kuchakaa ki karibu na kutoweka.
Nakushauri mkuu hizi dini zilizoletwa na ngozi nyeupe kila mtu aamini anachojua, Kwa hiyo kaa na Imani yako

"ILA TAMBUA KILA KINACHOTOKEA DUNIANI MUNGU NDIYE KAPANGA HAIJALISHI NI KIZURI AU NI KIBAYA"

Mkuu kaa kwenye kifungu hicho ☝️
 
You are contradicting yourself,halafu hujui hata relationship kati ya Agano la Kale na Jipya.Agano la Kale lilikuwa kwa ajili ya wana wa Israel sio sisi.

Read this[emoji116]

Wagalatia 3:23-25
23 Lakini kabla ya kuja ile imani tulikuwa tumewekwa chini ya sheria, tumefungwa mpaka ije ile imani itakayofunuliwa.
24 Hivyo torati imekuwa kiongozi kutuleta kwa Kristo, ili tuhesabiwe haki kwa imani.
25 Lakini, iwapo imani imekuja, hatupo tena chini ya kiongozi.

Read also this[emoji116]

Waebrania 8:5-13
5 watumikiao mfano na kivuli cha mambo ya mbinguni, kama Musa alivyoagizwa na Mungu, alipokuwa tayari kuifanya ile hema; maana asema, Angalia ukavifanye vitu vyote kwa mfano ule ulioonyeshwa katika mlima.
6 Lakini sasa amepata huduma iliyo bora zaidi, kwa kadiri alivyo mjumbe wa agano lililo bora, lililoamriwa juu ya ahadi zilizo bora.
7 Maana kama lile la kwanza lingalikuwa halina upungufu, nafasi isingalitafutwa kwa lile la pili.
8 Maana, awalaumupo, asema Angalia, siku zinakuja, asema Bwana, Nami nitawatimizia nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda agano jipya;
9 Halitakuwa kama agano lile nililoagana na baba zao, Katika siku ile nilipowashika mikono yao niwatoe katika nchi ya Misri. Kwa sababu hawakudumu katika agano langu, Mimi nami sikuwajali asema Bwana.
10 Maana hili ndilo agano nitakaloagana na nyumba ya Israeli Baada ya siku zile, asema Bwana; Nitawapa sheria zangu katika nia zao, Na katika mioyo yao nitaziandika; Nami nitakuwa Mungu kwao, Nao watakuwa watu wangu.
11 Nao hawatafundishana kila mtu na jirani yake, Na kila mtu na ndugu yake, akisema, Mjue Bwana; Kwa maana wote watanijua, Tangu mdogo wao hata mkubwa wao.
12 Kwa sababu nitawasamehe maovu yao, Na dhambi zao sitazikumbuka tena.
13 Kwa kule kusema, Agano jipya, amelifanya lile la kwanza kuwa kuukuu. Lakini kitu kianzacho kuwa kikuukuu na kuchakaa ki karibu na kutoweka.

Mkuu me naomba ufungue uzi wa kuhusu haya mambo unayoyasemea humu unatuchanganya tu.
 
IMG_20220709_194210_501.jpg

🇵🇱Polish fans of the football club "Pahonia" staged an anti-Ukrainian action during a UEFA League match. During the game with Reykjavik, they posted a banner with the words "Volyn - 43 - we remember everything." 👏🔥
 
Mathanzua banaa.

Punguza kusoma,kusikiliza au kuangalia mavitu ya upande mmoja tuu.

Ili uupe uhuru ubongo wako wa kuweza kupambanua mambo.

Hii dunia ni kama 69 kila mtu yupo sahihi kutokana na upande aliopo.

Kwa mfano mtoto wa malkia umuambie shida walizotusababishia mpaka leo hii kutoweza kujimudu atakujibu ni upumbavu/ujinga wenu pamoja na ancestors wenu na ni kweliii wametuzidi maarifa wametumia fursa wanakula mema ya dunia.

Tuje kiroho ivyo vitabu ulivyovikote ni watu wameandika na wanautashi kama mimi na wewe.

Sisi hapa babu zetu wangefanya mapinduzi ya viwanda,kilimo, technology,usafiri,siasa n.k tungewatawala na wangefuata utamaduni wetu wa kutambika na mafumo mingine ya kuabudu kwa sababu ndio asili yetu.

Hawana uspesho huo unaotaka kuwapa ni binadamu kama sisi.
 
Soma! Sijasema wameishia "Silaha". Wana akiba kubwa sana ya silaha za zamani. Ila mifumo ya kisasa wana udhaifu. Vifaru vya zamani wana tele kuanzia T 64, wanaweza kuzitumia baada ya ukarabati.
Wewe unaelezaje kwamba kifaru T-14 Armata hakionekana? Kwa nini matumizi ya roketi janja imepungua?
Mifumo ya silaha za kisasa walibuni kwa kutumia vipuli kutoka Western. Kuvipata sasa ni tatizo kutokana na vikwazo.
Uzalishaji wa silaha janja ni dhahiri wanatoa kidogo.
Kwahiyo unataka rusia ianze kulipua satelite za USA ndiyo uone jinsi silaha za marekani zinazo tumika ukraine zinavyo shindwa kufanya kazi .....kitu kinacho fanya uone kuwa urusi hana silaha kali ni kwamba silaha zinapiganishwa katika mifumo shirikishi ..hivyo hizo silaha unazo sema za zamani zinategemeana na kuhalibiwa kwa mifumo ya satelite ndiyo utajua nguvu zake .
 
Bwana maelezo hayo tumeshaona mara kadhaa. Hayakuongezeka ukweli. Tafadhali nionyeshe mwalimu au mtaalamu yeyote wa elimu ya vita anayesema: poteza askari zako tu kwa sababu unawatuma na silaha zisizo bora!! Nani????
Hakuna. Kile ambacho ni muhimu vitani ni wanajeshi wako. Moyo yao, elimu yao, ujasiri wao.

Katika WW3 jambo kubwa zitakuwa silaha za kinyuklia. Tishio hili ni kitu kinachomwokoa Putin hadi sasa.
Menginevyo hana . watazamaji wote kimataifa wameshtuka walipoona uwezo halisi wa jeshi lake.
Hiyo ni operation tu Kwa mujibu wa Putin na sio vita
 
‼️ 🇺🇦 ☠️ "They survived and are crying with happiness," - Anadolu

The main Turkish news agency gives this photo with this caption: thesoldiers survived an ambush near Seversk, while the rest of their unit were demilitarsied‼️
 
Attachments

  • IMG_20220709_203728_106.jpg
    IMG_20220709_203728_106.jpg
    133.9 KB · Views: 27
Mkuu me naomba ufungue uzi wa kuhusu haya mambo unayoyasemea humu unatuchanganya tu.
I wish mngeelewa uhusiano Kati ya Vita ya Ukraine na Russia na Mungu.Anyway kwa vile hamtaki Mungu ahusishwe kwenye mambo ambayo anahusika kwa njia moja au nyingine,nimeacha.Nashangaa kwa nini watu mnamchukia Mungu kiasi hicho.
 
Nami ningetamani waelewe uhusiano kati ya vita ya Ukraine na Urusi pamoja na Mizimu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] natania ila hakuna uhusiano huo.

Hii ni vita kuondoa Neo Nazi huko Ukraine
Na kusimika rasmi Multipolar world.
 
We mkuu upo serious kua Russia ana mfumo dhaifu wa silaha!!!

Vipi kuhusu S-400 nayo dhaifu??
SOMA !! ninachosema. Nasema wana udhaifu katika mifumo ya silaha za kisasa maana mara nyingi (si kote) wanategemea vipuli kutoka nchi za NATO. Ona utathmini ufuatao, ukiweza kuuelewa. Kutokana na vikwazo walivyopigiwa wanapata sasa matatizo kupata vipuli hivi:

When the Ukrainian military started dismantling Russian weapons, many pieces of captured or partially destroyed equipment had an abundant use of foreign microchips, particularly those manufactured in the US.
According to the list of components shared by Ukrainian Intelligence with The War Zone, Ua US defense portal, the chips were found inside a recovered example of the 9S932-1, a radar-equipped air defense command post vehicle that is part of the larger Barnaul-T system, a Pantsir air defense system, a Ka-52 “Alligator” attack helicopter, and a Kh-101 (AS-23A Kodiak) cruise missile. (Made In USA! Russia's Most Advanced Weapons Are Shockingly Packed With 'American Components' -- Ukrainian Intelligence)

Tena: For instance in Orlan-10 drones (one of the main drones of the Russian Armed Forces), the key blocks consist of Western-made components. Russian T-72 tanks are moreover equipped with French thermal imagers. The 9M727 Iskander and Kalibr cruise missiles also rely on Western chips. More than sixty Western-made IT-elements are included in the Automated Radio Interference Station Borisoglebsk-2. Finally, the TOR-M2 anti-aircraft system is equipped with an oscillator developed by the UK in a computer. All underline how Russia remains highly dependent on foreign technology.

Hii ni mifano iliyoweza kutambuliwa na Ukraine hadi Mei.
 
Back
Top Bottom