Unaleta mahubiri kwenye uwanja wa vita utalimwa shabaSijalaumu mtu,nimetoa angalizo na nimejieleza vya kutosha.Kama hujanielewa wewe ni k.z.i.
ila si ni bando hata la unlimited na sisi tunaweka. We si unawekewa na mmeoMimi sihangaiki kwa hivyo vibando kama nyie, nipo kwenye unlimited kabisa, hivyo inanipa jeuri ya kufukunyua kila kitu na kote...
Ni kweliJapo umejibu kitu tofauti na nilicho ongea kwa kutozingatia wakati (" yanayo endelea kipindi hiki cha operation ") ila acha nikujibu kwa faida yako kama ifuatavyo;
Moja: Vladimir Putin siyo Mungu, malaika wala siyo mtakatifu, kwahiyo kutokubalika na kukosolewa na hao baadhi(warusi 8) ulio wataja inadhibitisha kuwa Putin ni binadam na siyo mkamilifu.
Pili: Putin ni rais wa urusi na siyo mfalme wa urusi, Putin ni mwanasiasa na siyo kiongozi wa dini, kwahiyo kuwa na wapinzani ni moja wapo ya maisha yake kama mwanasiasa, sema pale tunapoona nguvu ya upinzani ni ndogo kuliko ya kukubalika ndo tunasema Putin is great and acceptable leader in Russian federation [emoji635]
Tatu: Kuto kubalika au kukubalika (approval rating) kwa V.putin nchini Urusi hakupimwi kwa idadi ya warusi 8 ulio wataja bali kwa majority of Russians.
Kwa mjibu wa data za utafiti hivi karibuni zinasema: "3 days ago — Since his first presidential term started in 2000, Vladimir Putin's highest approval rating was measured at 88 percent". Wakati huo biden ikishuka mpaka 39%, Mke wake B.Johnson ikishuka mpaka 0% na sasa ni raia alie poa wa UK, Poor English Pm[emoji23][emoji23][emoji23]
Haya sasa turudi kwenye hesabu, ili tuone warusi wanao mkubali na wasio mkubali Putin kwa sasa;
☆Jumla ya warusi waishio Urusi ~=~ 145millions
☆Wanao mkubali putin = 88/100 × 145m = 127.6Millions.
☆Wasio mkubali putin(12%)= 145 - 127.6 = 17.4millions.
Conclusion: Warusi wapatao milioni 128 wanamkubali Putin na serikali yake, Warusi wapatao milioni 17 hawamkubali putin na serikali yake. Hivyo basi Putin na serikali yake a akubalika kwa kiwango cha juu nchini Urusi.
Recommendation: Viongozi wa ulaya na America inatakiwa waende Moscow wakapigwe shule na Putin namna ya kukubalika kwa raia wao hasa katika kipindi kigumu, ili kuwaondolea fedheha za kujiuzulu na kupoteza ushawishi.
Nawasilisha Jibu langu lenye hoja kuu tatu kutoka Kremlin ya hapa Bongoland[emoji635].
Huwezi kutenganisha vita na spiritual affairs.They are intertwined.Bila kuwa spiritual vita to you will be only materialistic,which is not.Ili uwe balanced in your thinking,you must be spiritual.
Ngoja nione utajibiwa kwa HOJA ama utajibiwa kwa VIOOOJAAAJapo umejibu kitu tofauti na nilicho ongea kwa kutozingatia wakati (" yanayo endelea kipindi hiki cha operation ") ila acha nikujibu kwa faida yako kama ifuatavyo;
Moja: Vladimir Putin siyo Mungu, malaika wala siyo mtakatifu, kwahiyo kutokubalika na kukosolewa na hao baadhi(warusi 8) ulio wataja inadhibitisha kuwa Putin ni binadam na siyo mkamilifu.
Pili: Putin ni rais wa urusi na siyo mfalme wa urusi, Putin ni mwanasiasa na siyo kiongozi wa dini, kwahiyo kuwa na wapinzani ni moja wapo ya maisha yake kama mwanasiasa, sema pale tunapoona nguvu ya upinzani ni ndogo kuliko ya kukubalika ndo tunasema Putin is great and acceptable leader in Russian federation [emoji635]
Tatu: Kuto kubalika au kukubalika (approval rating) kwa V.putin nchini Urusi hakupimwi kwa idadi ya warusi 8 ulio wataja bali kwa majority of Russians.
Kwa mjibu wa data za utafiti hivi karibuni zinasema: "3 days ago — Since his first presidential term started in 2000, Vladimir Putin's highest approval rating was measured at 88 percent". Wakati huo biden ikishuka mpaka 39%, Mke wake B.Johnson ikishuka mpaka 0% na sasa ni raia alie poa wa UK, Poor English Pm[emoji23][emoji23][emoji23]
Haya sasa turudi kwenye hesabu, ili tuone warusi wanao mkubali na wasio mkubali Putin kwa sasa;
☆Jumla ya warusi waishio Urusi ~=~ 145millions
☆Wanao mkubali putin = 88/100 × 145m = 127.6Millions.
☆Wasio mkubali putin(12%)= 145 - 127.6 = 17.4millions.
Conclusion: Warusi wapatao milioni 128 wanamkubali Putin na serikali yake, Warusi wapatao milioni 17 hawamkubali putin na serikali yake. Hivyo basi Putin na serikali yake a akubalika kwa kiwango cha juu nchini Urusi.
Recommendation: Viongozi wa ulaya na America inatakiwa waende Moscow wakapigwe shule na Putin namna ya kukubalika kwa raia wao hasa katika kipindi kigumu, ili kuwaondolea fedheha za kujiuzulu na kupoteza ushawishi.
Nawasilisha Jibu langu lenye hoja kuu tatu kutoka Kremlin ya hapa Bongoland[emoji635].
Hyo wa kulia lazima mishipa ya reasoning haifanyi kazi...any pro nato/pro west/pro lgbtqx is good as deadHawa jamaa morali imejaaa mpaka inamwagika wako siriaz na kzi.
It is not a good thing mkuu usijidanganye.You guys do not seem to understand the "End Game" of the Ukraine-Russian war.This is a process towards the One World Government,which will be a complete Totalitarian Authority with morons and stooges of Satan at the helm.Utawala huo utakuwa hell on Earth.Halafu hata transition yenyewe,which they call the "Great Reset" itakuwa na mateso mengi ya kutisha kwa Wanadamu.Niku-kumbushe Kama unajua kwamba kupitia kwenye mateso hayo, 7+ human beings will be exterminated.So hayo sio mambo ya kufurahia mkuu,ni mambo ya kutisha sana.Halafu they do not even hide,watch this[emoji3596]
Sawa endelea kusherehekea Nazi wa Ukraine kunawa mikono kwa damu za wamama na watoto wa Ukraine! Yawezekana furaha yako imeegemea hapo, hivyo sina la kukusaidiaHaya ma-insha unaandikia nani, Urusi ameshindwa kupiga Kyev, ule msafara ulinitisha sana siku ya mwanzo ila kwa ambavyo uliliwa, jamaa mpumbavu anatumia mbinu za WWW2 kwa dunia ya leo, kaliwa za uso pale...
Habari njema sana hiiKitu kipya hicho kimetoka kiwandani.
[emoji845]The first special-purpose submarine,the Poseidon carrier Belgorod, was handed over to the Russian Navy, the Sevmash enterprise,where the submarine was manufactured, reported today[emoji845]
View attachment 2284489
Safi saanaNjia pekee Kwa viongozi wa EU,NATO na USA kuepuka aibu ni kuachia ngazi au kuhukumiwa kwenye Sanduku la Kura, ingawa nyie mnaona kama wananchi wanawafukuza lakini ukweli wanashukuru wamepata sababu ya kuondokana na aibu,
Hakuna kitu kinawauma na hawakutaki ni kukubali kuwa wameshindwa na Russia kashinda
Kitakachoenda kutokea viongozi Wote watakao ingia madarakani watakubaliana na Russia na kurejesha mahusiano na pia watakubali matakwa ya Russia, kipindi ambacho wanafikiria njia mpya ya kushindana na Russia katika miaka 50-70 ijayo
Huyo nilishampiga block kitambo,Naonaga Kama dish lake limeyumba.Mzee upo kwenye dimbwi kubwa la imani nzito. Wakeup, hakuna kitu chochote in spiritual perspective. Hiyo ni imani yako tu.
Bwana maelezo hayo tumeshaona mara kadhaa. Hayakuongezeka ukweli. Tafadhali nionyeshe mwalimu au mtaalamu yeyote wa elimu ya vita anayesema: poteza askari zako tu kwa sababu unawatuma na silaha zisizo bora!! Nani????Ukraine inafanywa dumping area ya silaha za zamani za Urusi!Hii ni operation tu,na silaha za kisasa zinatumika pale tu inapobidi!
Ikitokea WW3,ndio hapo uwezo halisi wa Russia kivita ndio utajulikana!
Russia anafanya operation hii huku akiwa na tahadhari ya WW3,so lazima ahifadhi silaha za kisasa as much as possible!
Kwahiyo unasema urusi kaishiwa silaha akili zako zinafaa kuzibua vyoo tu ....urusi ingekuwa na shida ya siraha ingenunua hata chinaNimeona mwaka huu kwamba wanafuta 21 MIG29 walizoagiza mwaka 2020 (India cancelled orders for MiG-29 jets from Russia over last few weeks, claims US - hii ni ndege yenye umri wa miaka 40).
Halafu wana"nunua" 12 Sukhoi-30 MKI kutoka Urusi lakini wanachonunua ni laiseni pamoja na vipuli kadhaa, ndege zinatengenezwa Uhindi na Hindustan Aeronautics Limited.
Kumbuka: hapa tumejadili uwezo aui udhaifu wa Urusi kuzalisha silaha za kisasa ikiwa imepigwa na vizuizi na kuwa na matatizo kupata vipuli vyote.
Kama Uhindi haina vikwazo wanaweza kununua vipuli kimataifa na kujenga ndege za "Kirusi" ambazo labda haziwezi kujengwa tena huko Urusi penyewe.
Siyo kweli mkuu Wala hujanijibu. Basi wewe endelea kuteseka, mimi simo.Wengi wenu tumetibuana kwenye nyuzi za kidini humu JF, hivyo kukutana na nyie tena kwenye huu uzi wa Urusi na kuwaona mlengo wenu nyote mumerundikana kwenye upande wa Urusi na hoja yenu ni moja tu, kwamba Ukraine apigwe kisa mashoga.
Soma! Sijasema wameishia "Silaha". Wana akiba kubwa sana ya silaha za zamani. Ila mifumo ya kisasa wana udhaifu. Vifaru vya zamani wana tele kuanzia T 64, wanaweza kuzitumia baada ya ukarabati.Kwahiyo unasema urusi kaishiwa silaha akili zako zinafaa kuzibua vyoo tu ....urusi ingekuwa na shida ya siraha ingenunua hata china
Mkuu sisi tunaweka vocha tu hatuungi bando [emoji16][emoji16][emoji16]Mimi sihangaiki kwa hivyo vibando kama nyie, nipo kwenye unlimited kabisa, hivyo inanipa jeuri ya kufukunyua kila kitu na kote...
Huu mwaka huu[emoji16][emoji16][emoji16]