Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

No na wala sitaki league kwenye hili.

"Understanding"

Kwenye kila kitu mtu huelewa kutokana na prior knowledge yake kichwani juu ya kile alichokisikia.

Mathanzua hizi mambo nazipata vyedi ya unavyowaza... Hao WEF, Khazars, Zionists, Globalists, Cabalists sijui Rothschilds ama Rockefellers zote nazielewa kiundani zaidi ya vile unavyofikria.

Kuna siku hapa niliwahi sema.

Kika knowledges ina some flaws, kila elim au maarifa tunayoyapata yanatoka kwa binadam kam sisi. Hakuna aliye timilifu, na katika maarifa au elim ipo hivyo.

Hakuna elim au maarifa yaliyo hundred percent correct. Na pale inapotokea mtu anashindwa kuzing'amua hizo spot ambazo si sahihi ndipo kunazuka watu wa aina flani.

Anajua lakini mbishi kwenye kile ambacho mwingine anakiona si sahihi.

Mtu anapofikishiwa jambo, Ubongo wake huchakata katika mazingira tofauti.
🔸 Reference to Prior knowledge juu ya kile alichokisikia
🔸Hisia zake juu ya jambo lile alilolisikia
🔸Mazingira au external influence juu ya kile alichokisikia.

So ukielewa hayo matatu yanavyoathiri uelewa utajua namna gani uchuje kila kipya unachojifunza.

To you wote walio opposite na kile fikra zako ziliko unawaona kama Psychos.

But if you are well knowledgeble in right ways basi jibidiishe katika "Curiosity" ya kika taarifa rather than flan kasema au kikundi flani kimesema.

Mdau mie Conspiracy theorist ile ile ila nina chujio ya hizo taarifa za mlengwa huo. Not all conspiracies ni ukweli na sio kila conspiracies ni Uongo.

Unachohitaji ni kutumia utashi wako kuchukua lililo sahihi.

She is too emotional.
 
Na hata kama ikitokea hakuna cha kuhofia Maana Russia kashaprove kila kitu yuko mbele century nzima.

Intelligence A+ nikichagiza na technology makini ya Russia kwenye dunia ya leo inayotegemea technology kuendesha mambo hasa west.

Jeshi A+ ( tayari mataifa mengine yanajiandaa kwa vita sio west tu)

Vifaa vya kijeshi A+ S-300 mpaka S-550 hazina mpinzani uwanjani.

Viongozi wenye maono wakiongozwa na Putin ni A+ hakuna cha kuhofia kama ni ma alien wako nyuma yao wameshafeli mbele ya binadamu.

Huko west kwa wenye jambo lao la NWO wameshafeli tawala zinaanguka na maandamano tayari yanaendelea.

Hakuna cha kuhofia kwenye hiyo "End game" ushetani umeshafeli.
Mkuu si utumie akili yako vizuri yani Russia awe miaka 100 mbele..!?
Ongea point mkuu uwache mahaba.
 
Maendeleo ya mtanange

⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine

▫️ The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation in Ukraine. The enemy suffers considerable losses on all fronts.

💥 Attack launched at the positions of 99th Mechanised Battalion from 61st Chaser Infantry Brigade of the Armed Forces of Ukraine (AFU) near Bereznegovatoye (Nikolayev region) has resulted in the elimination of over 75 nationalists and about 30 armoured and motor vehicles.

💥 High-precision attack launched by Russian Aerospace Forces has resulted in the neutralisation of provisional base deployed by Tornado nationalist battalion near Zelenodolsk (Dnepropetrovsk region). Over 40 militants and up to 10 units of armament and military equipment have been eliminated.

▪️ Dure to numerous losses and desertion, units of 127th Territorial Defence Brigade deployed in Kharkov are being manned by former criminals.

💥 Attack launched by Russian Aerospace Forces at the positions of an artillery battalion from 72nd Mechanised Brigade of the AFU deployed near Soledar, over 30 per cent of personnel have been eliminated and the major part of artillery guns have been neutralised.

💥 High-precision attack launched by Russian Aerospace Forces has resulted in the elimination of a hangar that stored M-777 U.S.-manufactured 155-mm howitzers and up to 30 Ukrainian militants who had been shelling residential areas of Donetsk.

✈️💥 Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery have neutralised 22 command posts, including those of 98th Battalion from 108th Territorial Defence Brigade near Novovorontsovka (Dnepropetrovsk region), 16th Mechanised Brigade near Pokrovskoye (Donetsk People's Republic), artillery units at their firing positions in 72 areas, as well as AFU manpower and military equipment in 117 areas, including 2 bases of foreign mercenaries deployed near Kharkov.

💥 5 munitions depots have been destroyed near Pershetravnevoye (Dnepropetrovsk region), Visunsk (Nikolayev region), Bakhmutskoye and Seversk (Donetsk People's Republic), as well as 1 depot of fuel for military equipment near Annovka (Kirovograd region).

✈️💥Su-35S and MiG-31BM aeroplanes of Russian Aerospace Forces have shot down 2 Su-25 of Ukrainian Air Force near Bereznegovatoye and Chervonaya Dolina (Nikolayev region).

▫️ In addition, Russian air defence means have destroyed 15 Ukrainian unmanned aerial vehicles near Dolgenkoye, Brazhkovka, Zelyonoye, Yakovenkovo, Peski-Radkovskiye, Grushevka, Chervony Oskol (Kharkov region), Donetsk and Svyatogorsk (Donetsk People's Republic).

💥 6 projectiles launched by Uragan MRLS have been intercepted near Dolgenkoye (Kharkov region) and Gornoye (Donetsk People's Republic).

📊 In total, 239 airplanes and 137 helicopters, 1,503 unmanned aerial vehicles, 353 anti-aircraft missile systems, 3,994 tanks and other armoured combat vehicles, 738 combat vehicles equipped with MRLS, 3,117 field artillery cannons and mortars, as well as 4,099 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.

#MoD #Russia #Ukraine
@mod_russia_en
 
Sasa hizo exhibition za nini zimeshindwa kuteka Kyev
Kwa yule ambaye hana utu na hawahurumii raia wakawaida wa Ukraine wanaolazimishwa kuwa na itikadi za kinazi za kutokomeza kabila ama kizazi cha jamii fulani kusema Russia ilishindwa kuiteka Kyev ni jambo la kawaida kwake. Kwa sababu kuua raia na kufurahia kutapakaa damu za wa mama na watoto ndiyo furaha yake! Maskini MK254!!

Russia inajali utu ndiyo maana haikulipua silaha zote zilizowekwa kwenye makazi ya watu huko Kyev kuepusha umwagaji damu wa Mama na watoto; lakini mshika itikadi ya kinazi ya kumwaga damu analalamika kwanini Russia haikuchukua Kyev kwa nguvu! Na huyo huyo anahubiri demokrasia na haki za kiraia!

Mdogo mdogo utaelewa somo. H ah haha haaaaa!
 
Yes 100 na zaidi nionyeshe izo point kama tuko nao sambamba sisi pamoja na west.

Kwetu n 2022(US+EU) ila Russia n 2122.

Jibu kwa fact sio mehemko.
Ngoja nikuache na mahaba yako endelea kuamini hivyo nisijichoshe kukuelewesha we elewa hivyo hivyo..
 
Wewe mpinga kwa facts, hili ni jukwaa huru. Kuweni na ngozi ngumu kusoma na kusikia hata yale ambayo hayawafurahishi. Mijadala huru isiyowekewa vizingiti ni muhimu kukuza fikra za binadamu ili mradi haileti madhara kwa watu au kusababisha fujo na uvunjifunwa amani kwenye jamii.

Mtu akileta mambo ya dini, uongo, au conspiracy mnachotakiwa kufanya ni kuonyesha contradictions zake au kuweka facts mezani kama mnazo.
Atakua hachanganyi na udini kama chanzo cha facts
 
Wewe mpinga kwa facts, hili ni jukwaa huru. Kuweni na ngozi ngumu kusoma na kusikia hata yale ambayo hayawafurahishi. Mijadala huru isiyowekewa vizingiti ni muhimu kukuza fikra za binadamu ili mradi haileti madhara kwa watu au kusababisha fujo na uvunjifunwa amani kwenye jamii.

Mtu akileta mambo ya dini, uongo, au conspiracy mnachotakiwa kufanya ni kuonyesha contradictions zake au kuweka facts mezani kama mnazo.

Jamani mbona mathanzua kaanzisha mambo ya spiritually kaambiwa wazi.

Huyo kunya land kila siku fact yake ni hiyo tuu ya waarabu na utamaduni wake.

Hakuna mtu mwenye mahaba ya kung'ang'ania kitu hiko hiko kila mara.

Ki ukweli anakera aje na engo nyingine itajadiliwa.

Huku kwetu hatuna mambo ya udini kesho sikukuu ya kiislamu na mimi mkatoliki nasheherekea pia.

Huo ujinga wa udini,ukabila tumeuvuka tuko miaka elfu mbele ya wakenya wajifunze kutoka kwetu tunaishi kwa amani na upendo.
 
Sio nang'ang'ania ila ni kitu nimeshuhudia kote, mwanzo sikua nalijua hili, hadi pale niligundua kila ninayejadili naye huu ugomvi iwe ofisini, mtaani au hata huku social media, wale wa dini ya mwarabu wote wana mtazamo mmoja tu, wameegemea upande mmoja hakuna hata mmoja anayetumia akili zake binafsi, sijakutana hata mmoja hivi mwenye mtazamo tofauti.

Kwa mfano kwenye mpira, yaani Liverpool vs Chelsea, utakuta mashabiki waliotokea kwenye hiyo dini ila wako pande zote, lakini kwenye huu mgogoro sijui ndio mnahubiriwa huko kwamba Putin anakomoa Marekani adui wenu.
Wafuasi wa madhehebu mengine wako balanced, unawakuta pande zote mbili na tunabishana kwa hoja, ila nyie dini moja wote mko upande mmoja mumeshikilia bango la mashoga Ukraine wapigwe mabomu.

Natamani sana nikutane na walau mfuasi wa hiyo dini hata mmoja tu hivi, yaani mmoja tu mwenye mtazamo tofauti.
MK254 siyo kweli. Mfano niambie humu JF wewe unatambuaje dini ya mtu? Ili pengine twende sawa, nijibu
 
Ujasikia mwezi huu oda ya ndege za urusi kwa india yenye thamani ya $3bil
Nimeona mwaka huu kwamba wanafuta 21 MIG29 walizoagiza mwaka 2020 (India cancelled orders for MiG-29 jets from Russia over last few weeks, claims US - hii ni ndege yenye umri wa miaka 40).
Halafu wana"nunua" 12 Sukhoi-30 MKI kutoka Urusi lakini wanachonunua ni laiseni pamoja na vipuli kadhaa, ndege zinatengenezwa Uhindi na Hindustan Aeronautics Limited.
Kumbuka: hapa tumejadili uwezo aui udhaifu wa Urusi kuzalisha silaha za kisasa ikiwa imepigwa na vizuizi na kuwa na matatizo kupata vipuli vyote.
Kama Uhindi haina vikwazo wanaweza kununua vipuli kimataifa na kujenga ndege za "Kirusi" ambazo labda haziwezi kujengwa tena huko Urusi penyewe.
 
Hahahaha. Hakuna kitu wanaogopa western kama kupambana na Russia. Lithuania akipigwa na Urusi hakuna hata mmoja atakayetia pua. Take it from me. Utasikia maneno mengi hujawahi kuyasikia kutoka kwenye hiyo article yao.
Urusi ipi miezi mitatu bado inashindwa na Ukraine nchi hata jeshi haina inatumia raia wakakamavu.I used to see Rusia as super power lakina sasa na siku zinavyokwenda ptuuu bure kabisa .Sasa wakienda kwa nchi nyingine ndio wamekwisha
 
Back
Top Bottom