Uhuru wa vyombo vya habari ulivyo [emoji45]
[emoji629] [emoji635] German independent journalist Alina Lipp reports from Donbass and is sued by German government for telling the truth!
Alina Lipp is the only journalist from Germany in Donbass.
For over half a year she covers the situation there on her Telegram channel, as well as the situation with anti-Russian propaganda in Germany.
The authorities have opened a criminal case against her and stole money from her bank account.
Osama bin laden alipoingia marekani mnamo mwaka 1986 passport yake iliandikwa jina la Tim Osman. - former FBI chief ted gunderson
Kimebuma tena [emoji23]
[emoji298]Yet another US weapon testing failure:
Trials of a Minotaur II+ rocket exploded a matter of seconds after its launch.
View attachment 2284935
Mkuu ukweli uzungumzwe bila kujali upande, kujitoa ufahamu ni kitu ambacho siwezi.Grand master, unachonifurahisha hauongei kishabiki.
Unaongea kinachoonekana.
Wakati mwingine huwa nahisi wewe ni pro russia mwenzetu.
Sema ndo basi kipenda roho umeamua kuchagua upande
[emoji18]
Yasemekana alikuwa Agent wa CIA miaka hiyo ya 1980s... Yadaiwa alikufa from natural kifo cha kawaida tu mwaka huo 2001... Ingawa Obama alituaminisha kamuua yeye wakati wa utawala wake. Na ajabu zaidi wale Navy seal 20 inayodaiwa ndio walio muua Osama wote marehem kwa sasa...
Hii nayo itakuwa coincidence lakini [emoji23]
View attachment 2284947
Wacha inyeshe tuone panapo vuja..... It is a good thing.....BREAKING NEWS: Russia Issues Final Warning to Lithuania: They have only a "few days" to stop blocking rail traffic to Kaliningrad
Russia has completed its preparations and is ready to respond to the Lithuanian blockade of Kaliningrad if something does not change in the next few days, said Maria Zakharova, spokeswoman for the Russian Foreign Ministry.
She did not specify what Russia has planned, but one thing is certain: When Russia tells another country they are going to do something, Russia does what it says.
Lithuania is a NATO member.
This could get very ugly, very fast.
More info if I get it . . . .
BREAKING NEWS: Russia Issues Final Warning to Lithuania: They have only a "few days" to stop blocking rail traffic to Kaliningrad
Russia has completed its preparations and is ready to respond to the Lithuanian blockade of Kaliningrad if something does not change in the next few days, said Maria Zakharova, spokeswoman for the Russian Foreign Ministry.
She did not specify what Russia has planned, but one thing is certain: When Russia tells another country they are going to do something, Russia does what it says.
Lithuania is a NATO member.
This could get very ugly, very fast.
More info if I get it . . . .
Mkuu tumsisitize mama akanunue mafuta urusiUrusi wana carousel turret wakiwa na autoloader wakati NATO wanatumia loader na turret haina ammunition bali zimefichwa kwenye blast proof compartment ambayo ikizidiwa inajifungua upande wa nyuma mlipuko unatokea nyuma ya kifaru na ammo yote inalipukia kutokea nyuma. Hii inasaidia kupunguza chain explosion ya ammo na kufanya kifaru kiweze kurekebishwa ikiwekezekana
I believe this is wishfull thinking.Usisahau kwamba the West desperately want war with Russia.This is their goal,kwa hiyo wakipata nafasi tu,they will directly fight Russia.Huu ndio mpango wao mkuu.It seems you do not know the "End Game."Russia anamgonga vzr na hakuna NATO atakayetia mguu.
Hahahaha. Hakuna kitu wanaogopa western kama kupambana na Russia. Lithuania akipigwa na Urusi hakuna hata mmoja atakayetia pua. Take it from me. Utasikia maneno mengi hujawahi kuyasikia kutoka kwenye hiyo article yao.I believe this is wishfull thinking.Usisahau kwamba the West desperately want war with Russia.This is their goal,kwa hiyo wakipata nafasi tu,they will directly fight Russia.Huu ndio mpango mkuu.It seems you do not know the "End Game."
It is not a good thing mkuu usijidanganye.You guys do not seem to understand the "End Game" of the Ukraine-Russian war.This is a process towards the One World Government,which will be a complete Totalitarian Authority with morons and stooges of Satan at the helm.Utawala huo utakuwa hell on Earth.Halafu hata transition yenyewe,which they call the "Great Reset" itakuwa na mateso mengi ya kutisha kwa Wanadamu.Niku-kumbushe Kama unajua kwamba kupitia kwenye mateso hayo, 7+ human beings will be exterminated.So hayo sio mambo ya kufurahia mkuu,ni mambo ya kutisha sana.Halafu they do not even hide,watch this⬇️Wacha inyeshe tuone panapo vuja..... It is a good thing.....
Hivi hujaolewa tu? Wanaume wenzako wakenya wameishaolewa huko,ww ndo unatusumbua humuNaongea kuhusu nyie wafuasi wa dini ya mwarabu, hamna social media nyingine dunia hii imechachamaa ushabiki wa Urusi kama nyie humu, huwa niko kwenye nyingi tu nafuatilia, kule kwingine watu wako balanced ila nyie mumeshikiliwa akili kwa mitazamo ya kidini.
Duh!! Hapa nadhani kuna muhubiri kakupiga sindano. Hakuna cha kuogopa ndugu yangu. Usitishwe na mtu yeyote. Jiamini mwenye and be free.It is not a good thing mkuu usijidanganye.You guys do not seem to understand the "End Game" of the Ukraine-Russian war.This is a process towards the One World Government,which will a complete Totalitarian Authority with morons and stooges of Satan at the helm.Utawala huo utakuwa hell on Earth.Halafu hata transition yenye,which the call the Great Reset itakuwa na mateso mengi yakutisha kwa wanadamu.Nikukumbushe kwamba kupitia kwenye mateso hayo 7+ human beings will perish.So hayo sio mambo ya kufurahia mkuu,ni mambo ya kutisha sana.Halafu they do not even hide,watch this⬇️
Hakuna mhubiri anayeweza kunipiga sindano mimi,labda mimi nimpige yeye.Duh!! Hapa nadhani kuna muhubiri kakupiga sindano. Hakuna cha kuogopa ndugu yangu. Usitishwe na mtu yeyote. Jiamini mwenye and be free.
Jesus is a name like other names. Nasikia kuna mchezaji wa mpira naye anaitwa Jesus.Hakuna mhubiri anayeweza kunipiga sindano mimi,labda mimi nimpige yeye.
However,that is the truth,na kama wewe you are diagnostic na mtafiti mzuri,mbona it is clear that evil is taking over the World.And who is the architect of evil,it is Satan!
By the way Mlokozi,why do you call yourself Jesus,is it just a name or does it have a hidden meaning behind it.I am just curious to know.
Mlokozi hakuna haja ya kubishana kuhusu kitu ambacho mimi najua it is true.Labda nikuulize,according to you,what is the reason for this conflict and what is the intended "End Game?" Ukinijibu hayo maswali vizuri, nitajua you are knowledgeable,ukishindwa au ukajibu hovyo hovyo,admit tu kwamba hujui nikuelimishe.Kutojua si dhambi,ila kukataa kwamba hujui ukang'ang'ania falsehood ni upumbavu.Hahahaha. Hakuna kitu wanaogopa western kama kupambana na Russia. Lithuania akipigwa na Urusi hakuna hata mmoja atakayetia pua. Take it from me. Utasikia maneno mengi hujawahi kuyasikia kutoka kwenye hiyo article yao.
Wanaokua wanakujibu wewe Wana muda sana.Warusi hawana silaha nyingi za aina hii, ni tatizo la tekinolojia ya kisasa kwao.
Ni kweli Uhindi imenunua mengi kutoka Urusi - ila sehemu kubwa si vifaa, walinunua tekinolojia ma kutengeneza Uhindini - wakilipa ada kwa kila moja, Ona mfano wa vifaru, ambavyo idadi kubwa havikutengenezwa katika Urusi. Hivyo uwezo wa viwanda vya Urusi si vile kama namba zinadokeza. Halafu pamoja na uwezo wa kutengeneza kifaru: ukihitaji vipuli kotoka nje, basi.Urusi gani hiyo unayo zungumzia, labda urusi ya kwamparange ndiyo imeishiwa silaha.....majuzi tu urusi imepata Oda ya kuiuzia india silaha za mabilioni ya dola ..... Urusi ndiyo moja ya nchi 3 duniani zinazo ongoza kuuza silaha nyingi duniani ....sasa nchi yenye uwezo wa kuzalisha silaha za kuuza dunia nzima unasema ineishiwa vifaru .....