Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dah! beberu safari kapatikana.
Yaani anaalikwa kwenye sherehe tena bila kuchangia lakini hataki!!
Ye atakuwa kakaa mafichoni wakati kijana wa mama watu anapoteza uhai vitani maana yeye ni msemaje tu wapiganaji ni wengine kabisa sababu wanafata order,
Mjinga kama wewe wa kijiweni unashabikia vita pole sana,
 
I believe this is wishfull thinking.Usisahau kwamba the West desperately want war with Russia.This is their goal,kwa hiyo wakipata nafasi tu,they will directly fight Russia.Huu ndio mpango wao mkuu.It seems you do not know the "End Game."

I know but sio kama unavofikiria. West kwa sasa hawana huo ubavu.
 
Urusi gani hiyo unayo zungumzia, labda urusi ya kwamparange ndiyo imeishiwa silaha.....majuzi tu urusi imepata Oda ya kuiuzia india silaha za mabilioni ya dola ..... Urusi ndiyo moja ya nchi 3 duniani zinazo ongoza kuuza silaha nyingi duniani ....sasa nchi yenye uwezo wa kuzalisha silaha za kuuza dunia nzima unasema ineishiwa vifaru .....
We ndio hapo hukumuelewa jamaa na ume comment kishabiki maana jamaa yeye ameongelea Tanks wewe unaruka na jambo lingine
Hizo T80, T90 na nyinginezo Russia alikadiriwa kuwa na Tanks kama 2560.
 


Himars (roketi kutoka marekani) ya Ukraine imepiga ghala ya risasi na grenedi ya Kirusi - faida ya silaha hizi kutoka Nato: zina uwezo wa kupiga palepale unapolenga (makini kwa mita 1 hivi). Warusi hawana silaha nyingi za aina hii, ni tatizo la tekinolojia ya kisasa kwao.
Grenedi za zamani Warusi wanazo kibao, lakini hawawezi kupiga nazo zaidi ya kilomita 12-20. Roketi janja ni chache sana (walianza tayari kutumia roketi za manowari kwenye nchi kavu).
Vilevile grenedi janja zinazolengwa kwa msaada wa GPS - hawana nyingi. Ila ile mizinga mpya kutoka Ufaransa, Ujerumani na Marekani zimekuja na grenedi janja.
Aya wewe endelea kuteseka tu, Mimi simo. Russia ni watata acha propaganda wa Ukraine wataisha
 
Mlokozi hakuna haja ya kubishana kuhusu kitu ambacho mimi najua it is true.Labda nikuulize,according to you,what is the reason for this conflict and what is the intended "End Game?" Ukinijibu hayo maswali vizuri najua you are knowledgeable,ukishindwa au ukajibu hovyo hovyo admit tu kwamba hujui nikuelimishe.Kutojua si dhambi,ila kukataa kwamba hujui ukang'ang'ania falsehood ni upumbavu.
I will never answer according to your pre judgment.

Kifupi tu hakuna utabili wa matokeo baada ya operation hii. Mengine ni mythology tu.
 
Ni kweli Uhindi imenunua mengi kutoka Urusi - ila sehemu kubwa si vifaa, walinunua tekinolojia ma kutengeneza Uhindini - wakilipa ada kwa kila moja, Ona mfano wa vifaru, ambavyo idadi kubwa havikutengenezwa katika Urusi. Hivyo uwezo wa viwanda vya Urusi si vile kama namba zinadokeza. Halafu pamoja na uwezo wa kutengeneza kifaru: ukihitaji vipuli kotoka nje, basi.

In 2001, India purchased 310 T-90S tanks from Russia, of which 124 were delivered complete (42 featured the early cast turrets seen on Russian tanks) and 186 were to be assembled from kits delivered in various stages of completion with an emphasis on shifting production to domestic means. The T-90 was selected because it is a direct development of the T-72 that India already manufactured, simplifying training and maintenance. India opted to acquire the T-90 to counter Pakistani deployment of the Ukrainian-made T-80 tank in 1995–97.[57] These T-90S tanks were made by Uralvagonzavod and the engines were delivered by Chelyabinsk Tractor Plant. The Indian tanks however omit the Shtora-1 passive electronic countermeasure system which was deemed obsolete.

A follow-on contract, worth US$800 million, was signed in October 2006, for another 330 T-90S "Bhishma" MBTs that were to be manufactured in India by Heavy Vehicles Factory at Avadi, Tamil Nadu.
Ujasikia mwezi huu oda ya ndege za urusi kwa india yenye thamani ya $3bil
 
I believe this is wishfull thinking.Usisahau kwamba the West desperately want war with Russia.This is their goal,kwa hiyo wakipata nafasi tu,they will directly fight Russia.Huu ndio mpango wao mkuu.It seems you do not know the "End Game."

Na hata kama ikitokea hakuna cha kuhofia Maana Russia kashaprove kila kitu yuko mbele century nzima.

Intelligence A+ nikichagiza na technology makini ya Russia kwenye dunia ya leo inayotegemea technology kuendesha mambo hasa west.

Jeshi A+ ( tayari mataifa mengine yanajiandaa kwa vita sio west tu)

Vifaa vya kijeshi A+ S-300 mpaka S-550 hazina mpinzani uwanjani.

Viongozi wenye maono wakiongozwa na Putin ni A+ hakuna cha kuhofia kama ni ma alien wako nyuma yao wameshafeli mbele ya binadamu.

Huko west kwa wenye jambo lao la NWO wameshafeli tawala zinaanguka na maandamano tayari yanaendelea.

Hakuna cha kuhofia kwenye hiyo "End game" ushetani umeshafeli.
 
I will never answer according to your pre judgment.

Kifupi tu hakuna utabili wa matokeo baada ya operation hii. Mengine ni mythology tu.
The "expected or desired" End Game by the NWO cabal is known Jesus,admit tu kwamba hujui.
 
Kwa Wakristo na watu wa madhehebu mengine ukiwaskliza kwenye huu ugomvi wanatumia akili yao vizuri maana wamegawanyika, kunao wako upande wa Urusi ila kunao wako upande wa Ukraine, ila hawa wa dini ya mwarabu wamemwagika wote upande wa Urusi kisa wanaamini anamkomoa Marekani, ambaye siku zote wameaminishwa ndiye adui wa dini yao, ila utakuta wanajaza fomu za green card wakale bata Marekani.

Sio mitaani au maofisini kila mfuasi wa dini ya mwarabu ninayekutana naye yupo upande wa Urusi, na hoja yao ni moja tu, kwamba Putin anapiga mashoga wa Ukraine.
Jana ofisini nimebishana kwa hoja na Wakristo ambao wako upande wa Putin, tumepelekana vizuri maana ukiwaskliza kwa namna fulani kwa kweli wanatumia akili zao vizuri, kuna namna fulani wana hoja zenye mashiko, na pia na wao wanazikubali baadhi ya hoja zangu, mjadala wote ulikua balanced.

Sasa njoo kwa hawa waarabu wa kwa Mtongole, jamaa anashikilia la ushoga, ukimbana kwamba Ukraine haiongozi dunia kwa idadi za mashoga, anahamia kwanini Ukraine inataka kujiunga NATO ilhali yenyewe ni jirani wa Urusi, ukimbana kwenye hilo kwa kumwambia Latvia ni jirani wa Urusi na yuko NATO, anahamia kwa hoja kwamba Ukraine kuna manazi, ukimbana kuwa rais wa Ukraine ni Myahudi jamaa anaanza kutokwa povu na kusema mashoga wauawe tu.
Mambo ya udini una ng'ang'ana nayo ya nini. Huo ni ubaguzi na haukubariki. Mbona wewe hujishitukii umekomaa na udini tu. Kama huna content si usome comments tu.

Hakuna udini hapa, acha kutuvuruga
 
Sababu ya hii conflict ni ambitions za Putin kutanua himaya ya Russia, kuondokana na Ukraine karibu yake ambayo ilikuwa inakua na kujitambulisha taratibu kama mmojawapo ya demokrasia bora za mfumo wa magharibi zinazofanya kazi vizuri.
Mlokozi hakuna haja ya kubishana kuhusu kitu ambacho mimi najua it is true.Labda nikuulize,according to you,what is the reason for this conflict and what is the intended "End Game?" Ukinijibu hayo maswali vizuri najua you are knowledgeable,ukishindwa au ukajibu hovyo hovyo admit tu kwamba hujui nikuelimishe.Kutojua si dhambi,ila kukataa kwamba hujui ukang'ang'ania falsehood ni upumbavu.
 
Na hata kama ikitokea hakuna cha kuhofia Maana Russia kashaprove kila kitu yuko mbele century nzima.

Intelligence A+ nikichagiza na technology makini ya Russia kwenye dunia ya leo inayotegemea technology kuendesha mambo hasa west.

Jeshi A+ ( tayari mataifa mengine yanajiandaa kwa vita sio west tu)

Vifaa vya kijeshi A+ S-300 mpaka S-550 hazina mpinzani uwanjani.

Viongozi wenye maono wakiongozwa na Putin ni A+ hakuna cha kuhofia kama ni ma alien wako nyuma yao wameshafeli mbele ya binadamu.

Huko west kwa wenye jambo lao la NWO wameshafeli tawala zinaanguka na maandamano tayari yanaendelea.

Hakuna cha kuhofia kwenye hiyo "End game" ushetani umeshafeli.
I am also optimistic,ila niseme hivi, Gods' plan will always prevail,kwa hiyo ni vizuri kujua God's plan for the World,na luckily enough hajatuficha.Gods' plan for the World is known.

Unajua, tatizo ni kwamba tumemuasi Mungu sana,and that is why He is allowing all this to happen.Laiti watu wangejua kwamba whatever is happening in Ukraine and across the World has enormous spiritual significance for humanity!
 
Dah!! Aise mimi huwa sijadili Apocalypses, Unabii na mythology.

Ukija na facts tutajadiliana vizuri sana. Hebu nakuomba njoo na facts tujadili. Na usinilazimishe kuamini uaminicho.
Lakini nimekuuliza swali hujanijibu.I am just curious to know.Swali langu ni hili Kama umesahau,"Why do you call yourself Jesus?"Ni jina tu,au kuna a hidden meaning.
 
Lakini nimekuuliza swali hujanijibu.I am just curious to know.Swali langu ni hili Kama umesahau,"Why do you call yourself Jesus?"Ni jina tu,au kuna a hidden meaning.
Haya mambo huwa siyapendi kabisa. Baada ya kuuliza tu nilikujibu.

Back to your topic. Leta facts basi tujadili.
Screenshot_20220709-112121.png
 
Utawadanganya na kuwalisha pumba vilaza wenzako tu. Dunia imekuwa na vita, milipuko ya magonjwa na majanga ya asili tangu imekuwepo.
Ungekuwepo katika vita vya kwanza na vipili vya dunia ungekuwa unasema mwisho wa dunia umefika kama Kibwetere.
I am also optimistic,ila niseme hivi, Gods' plan will always prevail,kwa hiyo ni vizuri kujua God's plan for the World,na hajatuficha,Gods' plan for the World is known.

Unajua, tatizo ni kwamba tumemuasi Mungu sana,and that is why He is allowing all this to happen.Laiti watu wangejua kwamba whatever is happening in Ukraine and across the World has enormous spiritual significance!
 
Back
Top Bottom