Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

I know but sio kama unavofikiria. West kwa sasa hawana huo ubavu.
Mbona mnakuwa na ushabiki ambao hauna logic na rationality jamani?Mimi naomba msiangalie hii conflict ya Russia na Ukraine in a worldly perspective only,look at it also in a spiritual perspective,mtakuwa more balanced in your thinking.Hii sio issue ya Yanga na Simba,it is more complicated than that.
 
Acha kulaumu watu fafanua hoja yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mnakuwa na ushabiki ambao hauna logic na rationality jamani?Mimi naomba msiangalie hii conflict ya Russia na Ukraine in a worldly perspective only,look at it also in a spiritual perspective,mtakuwa more balanced in your thinking.Hii sio issue ya Yanga na Simba,it is more complicated than that.
Mzee upo kwenye dimbwi kubwa la imani nzito. Wakeup, hakuna kitu chochote in spiritual perspective. Hiyo ni imani yako tu.
 
I believe this is wishfull thinking.Usisahau kwamba the West desperately want war with Russia.This is their goal,kwa hiyo wakipata nafasi tu,they will directly fight Russia.Huu ndio mpango wao mkuu.It seems you do not know the "End Game."
Acha kujipa west hawana ubavu wakupigana na Russia kwa sasa labda baada karne 3 kupita
 
Haya sasa MK254 kuja hapa

Kenya Sexploited / 2022
#Kenya

Coastal Kenya is a popular destination for sex tourists from around the world who come in search of love. European women, known as ‘sugar mamas’, approach local boys for sex. Older girlfriends provide them with money and presents.

Finding a white woman is often the fastest way to get out of poverty for many families. Some even encourage their children to skip school and look for tourists who can care for family needs. Some of the prostitute boys are as young as ten when they start providing sexual favours to tourists.

🌍 Join Documentary Planet for more!

Hehehe!! Ndio mumehamia huku....kwani kosa liko wapi watu wakigegedana.
 
Dah!Kama ungefuatilia mkutano wa the WEF Davos ungenielewa.Anyway,I know the problem is that humanity is suffering from Mass Psychosis or Mass Formation Psycosis,so you cannot understand me na huna uwezo wa kunielewa.
Mzee tumekuambia nothing will happen. Hizo ni siasa tu. Bado hujakua kisiasa. Hizo unazoona ni international politics.
 
Mzee upo kwenye dimbwi kubwa la imani nzito. Wakeup, hakuna kitu chochote in spiritual perspective. Hiyo ni imani yako tu.

😂😂😂😂Kameza chuki mpaka imepitiliza.

Kiualisia west (matajiri) hapo walipo ni nguvu za mababu zetu,sasa ivi (kizazi chetu)labda na kuendelea pamoja na rasilimali zetu.

Sio mbaya wametuzidi ujanja wanakula mema ya dunia na ndivyo pia Russia anawazidi ujanja ale mema ya dunia.

Sasa ukileta mambo ya spiritual kwenye ulimwengu wa nyama hatutaelewana labda afungue uzi aelezee spiritually ni azabu kwa binadamu kivipi na kutokana na maandiko ya imani yangu yanasema.

"Mungu aliapa hata tuangamiza tena kwa maji wala moto ushahidi kaeka upinde wa mvua."

Angesema ni karma tungemuelewa.
 
Soma Hiki kipande na fuatilia source ya Hiki kipande ujionee video yenye mapichapicha ya msaada wa NATO!
====
The Russian military organised an exhibition of military equipment left by the Armed Forces of Ukraine in the Severodonetsk-Lisichansk metropolitan area. According to the Russian Defence Minister, Ukrainian forces lost 196 Ukrainian tanks and armored vehicles, 12 aircraft and one helicopter in the battles. The AFU abandoned 39 units of tanks, 11 guns and mortars, 48 anti-tank missile systems during the retreat from the city.

Sasa hizo exhibition za nini zimeshindwa kuteka Kyev, limsafara liliwa na wabeba javelin tu, je ingekua jeshi kamili si ndio Urusi wangeisha kama senene.
 
Mambo ya udini una ng'ang'ana nayo ya nini. Huo ni ubaguzi na haukubariki. Mbona wewe hujishitukii umekomaa na udini tu. Kama huna content si usome comments tu.

Hakuna udini hapa, acha kutuvuruga

Sio nang'ang'ania ila ni kitu nimeshuhudia kote, mwanzo sikua nalijua hili, hadi pale niligundua kila ninayejadili naye huu ugomvi iwe ofisini, mtaani au hata huku social media, wale wa dini ya mwarabu wote wana mtazamo mmoja tu, wameegemea upande mmoja hakuna hata mmoja anayetumia akili zake binafsi, sijakutana hata mmoja hivi mwenye mtazamo tofauti.

Kwa mfano kwenye mpira, yaani Liverpool vs Chelsea, utakuta mashabiki waliotokea kwenye hiyo dini ila wako pande zote, lakini kwenye huu mgogoro sijui ndio mnahubiriwa huko kwamba Putin anakomoa Marekani adui wenu.
Wafuasi wa madhehebu mengine wako balanced, unawakuta pande zote mbili na tunabishana kwa hoja, ila nyie dini moja wote mko upande mmoja mumeshikilia bango la mashoga Ukraine wapigwe mabomu.

Natamani sana nikutane na walau mfuasi wa hiyo dini hata mmoja tu hivi, yaani mmoja tu mwenye mtazamo tofauti.
 
MK254 umekula lakini!? May be njaa inakusumbua.
 
It is not a good thing mkuu usijidanganye.You guys do not seem to understand the "End Game" of the Ukraine-Russian war.This is a process towards the One World Government,which will be a complete Totalitarian Authority with morons and stooges of Satan at the helm.Utawala huo utakuwa hell on Earth.Halafu hata transition yenyewe,which they call the "Great Reset" itakuwa na mateso mengi ya kutisha kwa Wanadamu.Niku-kumbushe Kama unajua kwamba kupitia kwenye mateso hayo, 7+ human beings will be exterminated.So hayo sio mambo ya kufurahia mkuu,ni mambo ya kutisha sana.Halafu they do not even hide,watch this[emoji3596]

Hapa kuna mengi ya hovyo yanatengenezwa....
 
Huyu MK254 ni kivuruge sana sijui kwa nini mods hawamp ban juu ya tabia yake ya kuleta mambo ya udini

Hehehe!! ndio ukweli, hata mtuondoe huku, huo ukweli utabaki kuwa kweli, natamani sana, amini yaani natamani sana ie mtaani au hata huku JF au popote ple nikutane na mfuasi wa hiyo dini mmoja tu yaani mmoja hivi mwenye mtazamo tofauti, anayetumia akili zake mwenyewe.
 
Dah!Kama ungefuatilia mkutano wa WEF Davos ungenielewa.Tatizo ni kwamba hamtaki kusoma you just pick bits and pieces here and there.

Anyway,I know the problem is that humanity is suffering from "Mass Psychosis" or "Mass Formation Psycosis," so you cannot understand me na huna uwezo wa kunielewa.

Fuata link ifuatayo uone what the NWO has done to humanity kiasi kwamba humans are incapable of identifying any danger they facing,taking steps to alleviate the danger and even appreciating the danger they are facing.It is an extremely precarious situation for humanity indeed.Mtu kitu kiko wazi anasema this is not true,this is a conspiravy,this can't happen to us.It can't happen to you while it is already happening to you!Very sad indeed.
No na wala sitaki league kwenye hili.

"Understanding"

Kwenye kila kitu mtu huelewa kutokana na prior knowledge yake kichwani juu ya kile alichokisikia.

Mathanzua hizi mambo nazipata vyedi ya unavyowaza... Hao WEF, Khazars, Zionists, Globalists, Cabalists sijui Rothschilds ama Rockefellers zote nazielewa kiundani zaidi ya vile unavyofikria.

Kuna siku hapa niliwahi sema.

Kila knowledge ina some flaws, kila elim au maarifa tunayoyapata yanatoka kwa binadam kama sisi. Hakuna aliye timilifu, na katika maarifa au elimu ipo hivyo.

Hakuna elimu au maarifa yaliyo hundred percent correct. Na pale inapotokea mtu anashindwa kuzing'amua hizo spot ambazo si sahihi ndipo kunazuka watu wa aina flani.

Anajua lakini mbishi kwenye kile ambacho mwingine anakiona si sahihi.

Mtu anapofikishiwa jambo, Ubongo wake huchakata katika mazingira tofauti.
🔸 Reference to Prior knowledge juu ya kile alichokisikia
🔸Hisia zake juu ya jambo lile alilolisikia
🔸Mazingira au external influence juu ya kile alichokisikia.

So ukielewa hayo matatu yanavyoathiri uelewa utajua namna gani uchuje kila kipya unachojifunza.

To you wote walio opposite na kile fikra zako ziliko unawaona kama Psychos.

But if you are well knowledgeble in right ways basi jibidiishe katika "Curiosity" ya kila taarifa rather than flan kasema au kikundi flani kimesema.

Mdau mie Conspiracy theorist ile ile ila nina chujio ya hizo taarifa za mlengwa huo. Not all conspiracies ni ukweli na sio kila conspiracies ni Uongo.

Unachohitaji ni kutumia utashi wako kuchukua lililo sahihi.
 
Back
Top Bottom