Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia inajali utu ndiyo maana haikulipua silaha zote zilizowekwa kwenye makazi ya watu huko Kyev kuepusha umwagaji damu wa Mama na watoto; lakini mshika itikadi ya kinazi ya kumwaga damu analalamika kwanini Russia haikuchukua Kyev kwa nguvu! Na huyo huyo anahubiri demokrasia na haki za kiraia!
Kumbe tushukuru Urusi ilijali utu za wamama wa Kyiv; kwa bahati mbaya ilimaliza akiba yake ya kujali utu? Maana Mariupol na Severodonetsk hakuna dalili za kujali hata kidogo. Utusi imesaga miji hii hadi kuwa vumbi.
Sabau yake si kujali au kutojali utu. Sababu yake ni
a) Urusi ina akiba kubwa ya mizinga na grenedi za zamani. Inazitumia kuvunja kila kitu mbele ya mstaru wa mapigano
b) Urusi haia askari wengi hivyo inatumia mbinu wa kusaga kila kitu mbnele yake halafu kutuma sakari wanaoona kama adui bado yuko. Kama yuko na kujitetea, wanarudi na mizinga inaanza upya. Halafu wanarudi kwa miguu kuangalia...

Mchezo huu unaharibu kila kitu. Si swali la kujali au kutojali, unatokana na silaha zao za zamani ambazo haziruhusu kulenga makini.
Na silaha hizo ni asilimia kubwa ya uwezo wao.
 
I am also optimistic,ila niseme hivi, Gods' plan will always prevail,kwa hiyo ni vizuri kujua God's plan for the World,na hajatuficha,Gods' plan for the World is known.

Unajua, tatizo ni kwamba tumemuasi Mungu sana,and that is why He is allowing all this to happen.Laiti watu wangejua kwamba whatever is happening in Ukraine and across the World has enormous spiritual significance for humanity!
Acha kumshirikisha Mungu kwenye vitu kama hivi why is not shetani.Soma biblia kuna sehemu Mungu hata hakuusika na vita ila baadaye aliona huruma na kumtafuta mtu wa kumaliza vita.Mungu Soma Maombolezo 3 :22
 
Shida mnaongea pasipo kuwa na Data kamili ya nini kilitokea kwenye ww2. Vita vya kugombea Jimbo la Staligrad viliondoka na vikosi vingi sana vya HITLER na washirika wake.WARUSI kwenye hii vita walikuwa peke yao,wala hakukuwa na mtu wa kushirikiana nae.palichimbika sana kwenye vita ya kugombea Staligrad,na ndo vita iliyondoka na maisha ya watu wengi katika vita zote zilizowai kutokea.

[emoji635]Jeshi la mtu mmoja VS nchi 4([emoji1070] [emoji1082] [emoji629] [emoji1166])View attachment 2282431View attachment 2282432
Finland pia alikuwa upande wa german
 
Uhuru wa vyombo vya habari ulivyo 😟

🇩🇪 🇷🇺 German independent journalist Alina Lipp reports from Donbass and is sued by German government for telling the truth!

Alina Lipp is the only journalist from Germany in Donbass.

For over half a year she covers the situation there on her Telegram channel, as well as the situation with anti-Russian propaganda in Germany.

The authorities have opened a criminal case against her and stole money from her bank account.
haya watetea majizi njoo muone jambazi kuu likifanya yake jukwaani.
 
Kwa yule ambaye hana utu na hawahurumii raia wakawaida wa Ukraine wanaolazimishwa kuwa na itikadi za kinazi za kutokomeza kabila ama kizazi cha jamii fulani kusema Russia ilishindwa kuiteka Kyev ni jambo la kawaida kwake. Kwa sababu kuua raia na kufurahia kutapakaa damu za wa mama na watoto ndiyo furaha yake! Maskini MK254!!

Russia inajali utu ndiyo maana haikulipua silaha zote zilizowekwa kwenye makazi ya watu huko Kyev kuepusha umwagaji damu wa Mama na watoto; lakini mshika itikadi ya kinazi ya kumwaga damu analalamika kwanini Russia haikuchukua Kyev kwa nguvu! Na huyo huyo anahubiri demokrasia na haki za kiraia!

Mdogo mdogo utaelewa somo. H ah haha haaaaa!

Haya ma-insha unaandikia nani, Urusi ameshindwa kupiga Kyev, ule msafara ulinitisha sana siku ya mwanzo ila kwa ambavyo uliliwa, jamaa mpumbavu anatumia mbinu za WWW2 kwa dunia ya leo, kaliwa za uso pale...
 
MK254 siyo kweli. Mfano niambie humu JF wewe unatambuaje dini ya mtu? Ili pengine twende sawa, nijibu

Wengi wenu tumetibuana kwenye nyuzi za kidini humu JF, hivyo kukutana na nyie tena kwenye huu uzi wa Urusi na kuwaona mlengo wenu nyote mumerundikana kwenye upande wa Urusi na hoja yenu ni moja tu, kwamba Ukraine apigwe kisa mashoga.
 
we jamaa inabidi utupishe humu nenda huko unakojinadi huu uzi sio wa dini na wengine sio waislamu hum. Jiheshimu Kama huna cha kuongea pita hivi.

Wewe kama bando zimekuishia ondoka, ila ukweli mtaambiwa tu.
 
Mbona huku uchagani kuna watu wanaitwa God
sio uchagani tu hata huku kwa wasukuma karibu na kwa mama Amina wapo God wawili , tena ni vijana mmoja ndiyo yupo kidato cha nne na mwingine mwaka wa pili chuo. Acha tu kina God wapo wengi tu
 
Wewe mpinga kwa facts, hili ni jukwaa huru. Kuweni na ngozi ngumu kusoma na kusikia hata yale ambayo hayawafurahishi. Mijadala huru isiyowekewa vizingiti ni muhimu kukuza fikra za binadamu ili mradi haileti madhara kwa watu au kusababisha fujo na uvunjifunwa amani kwenye jamii.

Mtu akileta mambo ya dini, uongo, au conspiracy mnachotakiwa kufanya ni kuonyesha contradictions zake au kuweka facts mezani kama mnazo.
Facts alishawekewa sana na wadau,ila yeye Bado amekomaa kushambulia dini fulani!Kwanza hiyo tathimini ameifanyia wapi na kuja na kauli kuwa waislamu wote wako upande wa Russia kutokana na US kuwa adui wa dini hiyo!
Ukirudi mijadala ya nyuma utaona alishapewa facts za kutosha ila Bado kauli hiyo anairudia rudia kila akiingia kwenye hii forum!
Binafsi namuona ni mtu ambaye ana chuki na dini kiislamu mpaka inamlazimu kuwakashifu waumini wake!Mimi ni Mkristu lakini tabia ya huyo jamaa haijanipendeza!
 
Acha kumshirikisha Mungu kwenye vitu kama hivi why is not shetani.Soma biblia kuna sehemu Mungu hata hakuusika na vita ila baadaye aliona huruma na kumtafuta mtu wa kumaliza vita.Mungu Soma Maombolezo 3 :22
Naomba unielewe.Mungu haleti Vita,ila kwa sababu Wanadamu wamemkataa,anaondoa His protection,ili Shetani awashuhulikie.Tha is exactly what He has done.Soma hapa👇


Warumi 1:18-32
18 Kwa maana ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa kutoka mbinguni juu ya uasi wote na uovu wa wanadamu waipingao kweli kwa uovu.
19 Kwa kuwa mambo ya Mungu yanayojulikana yamekuwa dhahiri ndani yao, kwa maana Mungu aliwadhihirishia.
20 Kwa sababu mambo yake yasiyoonekana tangu kuumbwa ulimwengu yanaonekana, na kufahamika kwa kazi zake; yaani, uweza wake wa milele na Uungu wake; hata wasiwe na udhuru;
21 kwa sababu, walipomjua Mungu hawakumtukuza kama ndiye Mungu wala kumshukuru; bali walipotea katika uzushi wao, na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa giza.
22 Wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika;
23 wakaubadili utukufu wa Mungu asiye na uharibifu kwa mfano wa sura ya binadamu aliye na uharibifu, na ya ndege, na ya wanyama, na ya vitambaavyo.
24 Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao.
25 Kwa maana waliibadili kweli ya Mungu kuwa uongo, wakakisujudia kiumbe na kukiabudu badala ya Muumba anayehimidiwa milele. Amina.
26 Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili;
27 wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.
28 Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
29 Wamejawa na udhalimu wa kila namna, uovu na tamaa na ubaya; wamejawa na husuda, na uuaji, na fitina, na hadaa; watu wa nia mbaya, wenye kusengenya,
30 wenye kusingizia, wenye kumchukia Mungu, wenye jeuri, wenye kutakabari, wenye majivuno, wenye kutunga mabaya, wasiowatii wazazi wao,
31 wasio na ufahamu, wenye kuvunja maagano, wasiopenda jamaa zao, wasio na rehema;
32 ambao wakijua sana hukumu ya haki ya Mungu, ya kwamba wayatendao hayo wamestahili mauti, wanatenda hayo, wala si hivyo tu, bali wanakubaliana nao wayatendao.


2 Wathesalonike 2:8-11
8 Hapo ndipo atakapofunuliwa yule asi, ambaye Bwana Yesu atamwua kwa pumzi ya kinywa chake, na kumwangamiza kwa ufunuo wa kuwapo kwake;
9 yule ambaye kuja kwake ni kwa mfano wa kutenda kwake Shetani, kwa uwezo wote, na ishara na ajabu za uongo;
10 na katika madanganyo yote ya udhalimu kwa hao wanaopotea; kwa sababu hawakukubali kuipenda ile kweli, wapate kuokolewa.
11 Kwa hiyo Mungu awaletea nguvu ya upotevu, wauamini uongo;
 
Kumbe tushukuru Urusi ilijali utu za wamama wa Kyiv; kwa bahati mbaya ilimaliza akiba yake ya kujali utu? Maana Mariupol na Severodonetsk hakuna dalili za kujali hata kidogo. Utusi imesaga miji hii hadi kuwa vumbi.
Sabau yake si kujali au kutojali utu. Sababu yake ni
a) Urusi ina akiba kubwa ya mizinga na grenedi za zamani. Inazitumia kuvunja kila kitu mbele ya mstaru wa mapigano
b) Urusi haia askari wengi hivyo inatumia mbinu wa kusaga kila kitu mbnele yake halafu kutuma sakari wanaoona kama adui bado yuko. Kama yuko na kujitetea, wanarudi na mizinga inaanza upya. Halafu wanarudi kwa miguu kuangalia...

Mchezo huu unaharibu kila kitu. Si swali la kujali au kutojali, unatokana na silaha zao za zamani ambazo haziruhusu kulenga makini.
Na silaha hizo ni asilimia kubwa ya uwezo wao.
Ukraine inafanywa dumping area ya silaha za zamani za Urusi!Hii ni operation tu,na silaha za kisasa zinatumika pale tu inapobidi!
Ikitokea WW3,ndio hapo uwezo halisi wa Russia kivita ndio utajulikana!
Russia anafanya operation hii huku akiwa na tahadhari ya WW3,so lazima ahifadhi silaha za kisasa as much as possible!
 
Back
Top Bottom