Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Trump aliviumbua sana vyombo vya habari wakati wa utawala wake
Kipindi cha korona lilisemaga kabisa 'CNN is fake news, don't talk to me'.

Lile jamaa bhana😂😂.

Halafu naongelea 'kipindi cha korona' ukute labda bado kinaendelea!? sijui maana sijafatilia habari[news] mdaa, maana bora kutafutaga taarifa[informations], kuliko kusubiri kuletewa habari[news]
 
Lakini naamini Serikali ya Japan ina uzembe mkubwa katika Ulinzi wa Viongozi..Hivi kweli PM mstaafu anauwawa na gobole tena walinzi walikua wamezubaa tu...Jinga sana
Guys niwapenyezee kidogo hicho kifo cha Shinzo Abe ni mpango mkakati wa USA na Allies wake, Abe alikuwa akipinga Japan kujihusisha kwa waziri mkuu wa Japan aliyeko madarakani moja kwa moja kwa nchi za magharibi dhidi ya Russia kuhusu Japan kusapot vikwazo dhidi ya Russia sasa Abe alikuwa mkosoaji mkuu , sasa what is going on hatujui
 
Utakua sio Mristo, maana Wakristo hawawezi wakasema nchi yote ipigwe mabomu kisa kuna mashoga humo, ukizingatia hata Ukraine haina idadi kubwa ya mashoga zaidi hata ya Bongo.

Wafuasi wa dini ya mwarabu tu ndio ambao wakichukia mtu mmoja sokoni watajilipua kwa bomu na kuua wengine wote wasiokua na hatia humo.
We jamaa unatuchafulia uzi kama huna hoja ni bora ukanyamaza, mambo ya dini nenda kwenye jukwaa lake.
 
Wametumia Hundred of years kujijenga hadi hapo walipofika. Wametumia miaka kujenga ushawishi na hizo means of power tunaziona wako nazo. If that happen Hao watakaobaki watabaki kumtawala nani? Je? Hizo "means" of power zitatoka wapi ilhali kila kitu kitakuwa destroyed?
Thank you for instilling some sense for all: Ni ukweli usiopingika kuwa power is a relative thing. Kadri kunapokuwa na watu wengi wenye utofauti wa uwezo[power] wale wachache waliowazidi uwezo ndio wanakuwa na power juu ya hao wengi wazembe/dhaifu.

Sasa kwa nini wawapunguze!? Si bora hata watengeneze wajingawajinga wengi wa kuwategemea ili wapate hiyo power walewe hiyo power kwa kuwa juu yao.

Halafu kusurvive hii power struggle mojawapo ya mbinu kubwa ni kujiongezea ujuzi, elimu na maarifa zaidi. Simple.
Fikiria tena, Dunia kubwa ila ipo kama kijiji kutokana na maendeleo katika technology. Leo upo lel say Dar unawasiliana na mtu aliyepo lel say kenya au sehem nyingine duniani kupitia hizi technology za mawasiliano ambazo zitakuwa destroyed during WW3 unayoifikiria.
Umewazia ma EMP bombs nini? Kuna wakati nawazaga hii ndiyo risk kubwa zaidi tunayoiface kuliko athari za mabomu mengine yoote.

Ushauri tuuweke uchumi wetu katika hali ambayo haitathirika hata kama taarifa zote zitafutwa. Mfano badala ya kuiweka hela kwenye 1s and 0s tuziwekeze kwenye tangible assets magari, mamashine, mashamba, mazao etc etc.

Asee unaandika vitu sensible sana, shukrani.
 
No na wala sitaki league kwenye hili.

"Understanding"

Kwenye kila kitu mtu huelewa kutokana na prior knowledge yake kichwani juu ya kile alichokisikia.

Mathanzua hizi mambo nazipata vyedi ya unavyowaza... Hao WEF, Khazars, Zionists, Globalists, Cabalists sijui Rothschilds ama Rockefellers zote nazielewa kiundani zaidi ya vile unavyofikria.

Kuna siku hapa niliwahi sema.

Kila knowledge ina some flaws, kila elim au maarifa tunayoyapata yanatoka kwa binadam kama sisi. Hakuna aliye timilifu, na katika maarifa au elimu ipo hivyo.

Hakuna elimu au maarifa yaliyo hundred percent correct. Na pale inapotokea mtu anashindwa kuzing'amua hizo spot ambazo si sahihi ndipo kunazuka watu wa aina flani.

Anajua lakini mbishi kwenye kile ambacho mwingine anakiona si sahihi.

Mtu anapofikishiwa jambo, Ubongo wake huchakata katika mazingira tofauti.
🔸 Reference to Prior knowledge juu ya kile alichokisikia
🔸Hisia zake juu ya jambo lile alilolisikia
🔸Mazingira au external influence juu ya kile alichokisikia.

So ukielewa hayo matatu yanavyoathiri uelewa utajua namna gani uchuje kila kipya unachojifunza.

To you wote walio opposite na kile fikra zako ziliko unawaona kama Psychos.

But if you are well knowledgeble in right ways basi jibidiishe katika "Curiosity" ya kila taarifa rather than flan kasema au kikundi flani kimesema.

Mdau mie Conspiracy theorist ile ile ila nina chujio ya hizo taarifa za mlengwa huo. Not all conspiracies ni ukweli na sio kila conspiracies ni Uongo.

Unachohitaji ni kutumia utashi wako kuchukua lililo sahihi.
Sometimes if not most of the times, adult understanding is actually resonation. Yaani mtu akipokea kitu kina 'vibration' alizonazo ambazo ndio yeye basi anakikubali halafu anakiri kuwa NIMEELEWA.

Ili iwezwkane mtu kuelewa kweli itabidi ajifanye kama mtoto mdogo, awe curious awe na shauku na akubali kutojua, au kufuta alichodhani anajua kwa muda.

Hili lipo hivyo na wakubwa wote maphilosopher wakubwa walishakutana na hii kadhia katika kuwaelimisha watu. Nadhani ndo maana mmoja akasemaga ; Tusisumbuane bhana, ni hivii hamuamini nnachoamini na siamini mnachoamini na mwingine alisemaga 'We jamaa, hata nikikuambia, hautasadiki'

Haya ni ya kuweka akilini kwa wote pro Nato na pro Russo mda tuvumiliane tu.
 
HIMARS inafanya mambo huko, na video twaziona...
Hizo video zinachukuliwa na mfumo wa HIMARS? au Closed/Controlled Circuit Television? au kuna mdau ana wambia mkianza kupigana nina record?

Sisemi haiwezekani ila Vita siyo K-part. Kuwa makini na vyanzo vya video za mapigano ya vita bora hata iwe footage inaweza shawishi.
 
Mdau usitusemee kitu ambacho hatujakisema, hilo la kumpinga Muumba hakuna aliye lisema. Ulichopingwa ni kuhusu madai yako ya "End game" kuhusu NATO hapo Ukraine.

Na ulipingwa kwa hoja tanabaishi, ungekuwa muungwana ungezipangua hizo hoja kuliko kutusingizia kua tunamkana Muumba. Kwani ni muumba ndie aliyekwambia kua "End-Game" ya hivi vita ipo namna ambavyo unadai ipo?

No... If really uko Good wala sio "Psychos" kama sisi kwa mujibu wako basi ungejikita katika kutufafanulia kua baada ya vita ya Nukes kutokea wata tawala kwa namna hii na vile kama ambavyo tulijikita kukufananulia kua halitowezekana kwa namna hii na ile.

Vita ya NATO na Urusi ni swala la kufikirika, ila Practically lina almost zero chance kuweza kutokea.

Tukuongezee sababu zingine ambazo hatukuzitaja.
1. Katika nchi zote za NATO kwa bara la Ulaya, nchi zilizo powerful kivita kuliko Ukraine ni France, Spain, Germany, UK, Turkey na Italy.

Tena katika nchi hizo 6, almost their Military Power Index zinashahabiana. Zitizame hizo nchi na hali inayoendelea huko ndani.

Kama Ukraine kachakazwa kiasi hicho tena kweye Just Millitary Operation kivita itakuaje? Je ziko tayari kupigana na Urusi?

Turkey? Germany? Italy? UK? France? Who?

2. Pili hizo nchi zipo too closer kwa Russia, Na aliye mbali kiasi kwa hapo Europe ni UK. Lakini anaweza kufikiwa chini ya dk 7 kutoka Moscow. Je huyu Germany jirani apo? Unahisi atafanywa nini?

3. Ndani ya mataifa hayo hawapo United. Ikitokea Lithuania akapigwa kwa jeuri yake, Unafikiri nchi kama Turkey unategemea atajiingiza kwenye hivyo vita ambavyo chanzo cha mzozo (sanctions) wao wako against nazo?

4. Base kubwa ya NATO kwa Europe ni Germany, You heard alot kui-sponsor tu Ukraine hali imekuwa mbaya, Je wakijiingiza kwenye vita ya moja kwa moja itakuaje?

Umesahau tena kama Germany na France ndio waliokuwa msitari wa mbele kumpinga Lithuania kuhusu hiyo Blockade ya Kaliningrad? Huoni kama huyu akipigwa watasema alionywa akagoma.

5. Lithuania GDP ni less than 60 billions dola, Uchumi wa hiyo nchi ni kiasi cha Aid waliyomwaga hapo Ukraine. Lithuania ina population of less than 3 millions people hii ni nusu ya watu waliopo Dar hapa Tanzania.

UK, Germany, Turkey, Italy, France na Spain zote hizo ni Trillions Dollar economy with Population of over 50Millions kwa kila Nchi, unafikiri wako radhi kupoteza yote hayo kisa kiburi cha Lithuania? Jibu ni Hapana... Hapa tunakazia tena hakuna NATO country inayotaka vita na Russia.

Yasiwe mengi kaa na hayo machache tuhamie kwenye Population.

Tulikupa hoja chache tu, zipangue kwa maelezo mazuri tukuelewe. Spritual fact zinazopingana na uhalisia uliopo daima tutazipinga tu.

1. Europe nzima ukitoa Russia ina Population ya watu Mil 700. Ukiongeza na Russia plus US na Canada unapata idadi ya watu kama B 1.3 hivi, Idadi ambayo haijafikia hata Idadi ya watu waliopo china pekee.

Tukakwambia Population ya Dunia iko Scattered. Hii vita ikitokea uwanja wa mapambano utakuwa Global North kuliko na hao 15% of Population.

Kama lengo ni kuteketeza watu B7 kwa Vita, how will they achieve hilo kwa watu weusi afrika na wale walioko Asia, bila kusahau Latin and South America ambako kwa pa1 kuna zaidi ya 85% ya watu duniani?

2. Tukakupa mfano wa mawasiliano, na ile means of Power ilivyo. Hizo means of power ambayo of course ni Pesa. Mifumo ya kifedha wanaimiliki wao ambayo as a matter of fact zote zitaharibiwa ikitokea vita baina ikapiganwa.

Je baada ya vita watatumia nini kuendesha utawala wao? Kwani wanamiliki pumzi hao?

Ikipigwa Nukes huyo Klaus Schwab ni Invisible? Kwamba ye ndio atasalimika katika watu hao? Hizo industries za kutengeneza Chip, au hizo maabara za kutengeneza migonjwa zitabaki?

Sasa instead of caliing others Psychos kisa wanakupinga yasiya na maana. Show them kwa facts zilizonyooka kwamba kile wanachoelewa sio ila chako ndicho.

Hapa kila mtu ana imani yake, wapo waislam, wakristo wapagani, mabudha n.k Kila Iman na maelezo yake.

Tumepewa akili tuitumie, Imani bila Maarifa ni aina flani ya Upumbafu. Tuone kwa macho "A" halafu aje mtu atuambie hiyo Spiritually ni "Z" tuitikie tu???? Hiii baghosha 🤪🤪🤪

In Sukuma Voice hapana kwa kweli. Tuendelee na Ukraine vs Russia yetu tu.
Mnahangaika....Methali 17:12
Afadhali kukutana na dubu jike aliyenyanganywa watoto wake, kuliko kukutana na mpumbavu katika upumbavu wake.
 
Yani watu wawili watatu wakiwa against na hii OP ndio nchi nzima unaona haifurahishwi.

Huko Quora unaandika nini kwanza usikute we ndio Unafanya waafrika tuonekane Mijinga kwa mashudu unayotema

Kwa mataifa ya kijamaa hususan Warusi, kuandamana ni hatari kubwa sana, yaani ni kujitoa mhanga maana lazima utayakuta, hivyo wachache wanaojitolea ni wale wamemua wafe tu....huo ndio mzuka unaofaa sio kama ule wa watu wenu wa kujilipua kisa dini.

Kwanza huko Belarus kuna wapiganaji wamejitolea kwenda kupambana dhidi ya Urusi kule Ukraine.

 
We jamaa unatuchafulia uzi kama huna hoja ni bora ukanyamaza, mambo ya dini nenda kwenye jukwaa lake.

Kama huna bando kaa pembeni, humu lazima uwe na subira ya kuambiwa ukweli, unafiki wenu unaumbuliwa jinsi mlivyo.
 
Hiyo ni test mission, sio ajabu kufeli. Fuatilia Urusi walivyokuwa wanatest Poseidon underwater nuclear drone ilivyolipuka na kuua wanasayansi kwenye kituo cha majaribio. Ni kama mwaka juzi hivi ilikuwa

Jambo lisilo zuri sana ni kulipuka kwa rocket au missile ikiwa kwenye matumizi yake. Juzi kuna video ilisambaa mitandaoni ya Russia air defence yao ilifyatua missiles mbili zikalipuka kwa kufuatana. Na wiki hii hii kuna warship ilifyatua Kalibr cruise missile ikafeli. Ndio maana makombora yana error rate, unakuta ni kama 4%
Mzee wa EWURA ..... Tunaaagiza mafuta Urusi au tunasusa!!??
 
Kwani huwezi kutoa maelezo bila kufanya reference ya Urusi mwamba? Au Urusi ni ubao kwamba madawati yote yanaelekea uko? 😂

Tunajua Urusi si chochote mwamba kwa hiyo unapofanya reference kwake inatutia mashaka.

😂😂😂😂😂😂😂
Majinga hayo yamekaririshwa kama mchezo wa "Baaaaabaaaaa kaseeeemaaaaaa tuchooooreeeeee mbuziiiiiiii" wote mnachora mbuzi.... Mwingine akichora mbuzi(kibao Cha kukunia Nazi ) wanamcheka.... Hii elimu yetu usipojichosha kufikiri nje ya notisi ndio tatizo linapoanzia.
 
Back
Top Bottom