Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa mataifa ya kijamaa hususan Warusi, kuandamana ni hatari kubwa sana, yaani ni kujitoa mhanga maana lazima utayakuta, hivyo wachache wanaojitolea ni wale wamemua wafe tu....huo ndio mzuka unaofaa sio kama ule wa watu wenu wa kujilipua kisa dini.

Kwanza huko Belarus kuna wapiganaji wamejitolea kwenda kupambana dhidi ya Urusi kule Ukraine.

Hao ni majasusi wanatoa information wewe
 
Unahitaji tiba haraka sana
Unanigeuzia kibao huku wewe ndiye unahitaji tiba.Halafu unanipa likes nyingi sana,sasa how comes mtu anayehitaji tiba unampa likes zako,si kichaa huyo jamani.Ajabue....!

Finally,just be frank kwa nini unadhani nahitaji tiba,au kumpenda Mungu na kumtanguliza ndiyo imekuwa kero kwako?
 
Mshindi siku zote ndio anaandika history.(wapiganaji 90,000 vs 2000)kwa gobore tuwe realistic kidogo unajua gobore sio izi rifle zilizomodifaiwa ni zile za kuchochea ukipiga moja unaanza kuset bullet nyingine ndani yaani tusema ni kama aka 47 ya kijima inachukua muda hiyo ni wazi wao walikufa wa kutosha kwa ambush walizokua wanazifanya.


Uoga unasababishwa na UJINGA.

Mbinu huwa zinatofautiana na hata mkwawa ni kama alirefusha vita tuu ila mwisho wa siku alikaa.

Unamwitaje mjinga mtu aliyeweza kuoganize vita na kutoa morali kwa namna yake ili kufanya wasikimbie mapigano.

Na sio kua hawakua wanajua kua zinaua maana waliishuhudia wenzao wakifa hivyo Kiongozi wao akaona awape ujasiri ni bora wafe wote kuliko kutawaliwa bila kupinga.

Hakuna mbinu ya kijinga au bora kwa wakati huo zote ni mbinu nzuri kulingana na mazingira na uelewa wa wakati huo.

Waethiopia waliwashinda waitaliano kwa kuwasukumia mawe hii ni kutokana na eneo lao kuzungukwa na milima kwa hiyo wangefail tungesema ni wajinga kwa sababu wametumia mawe.

Narudia tena hakuna mtu wa kuweza kuwatweza mashujaa wetu akiwemo kinjekitile ngwale endelea kupumzika kwa amani MKUU.

Tanzania tuko wangapi na jeshi ambao ni active wako wangapi alafu urelate na figa uliyoileta 90,000 kwa kipindi hiko.
Nazani hujataka tu kuelewa kwa makusudi nilichoandika.

Kuna baadhi ya hoja umetoa lakini hazina mashiko, mfano moja wapo ni ule wa kusema wapiganaji wa vita vya majimaji (1905-1907) walikuwa hawafahamu jinsi bunduki inavyo fanya kazi hii siyo kweli, kwasababu kabla hata ya hiyo vita kuna vita kibao tu nyuma zilipigwa na mjeruman akitumia bunduki hizo mfano Vita vya wehehe na Germany 1891-1898. Mpaka mkwawa anajiua kwa Risasi Maana yake teknolojia ya risasi ilikuwa tayari ishajulikana.

Hoja ya pili nikuwa wasingeweza kupambana dhidi ya silaha za kijeruman, nikweli kabisa ila kwa upande mwingine siyo kweli, maana hao hao wajerumani na silaha zao, walishindwa vibaya mno mwaka 1891 dhidi ya jeshi la Mkwawa lenye silaha za kijadi.

Labda tu usichokijua au unakijua ila umeamua kukipotezea nikuwa mbinu za Kinjekitile zilikuwa zimejikita zaidi kwenye imani nasiyo kiufundi na kitaalamu, kwasababu Kinjekitile alikuwa ni kiongozi wa dini (za kiafrika). Jaribu kifuatilia historia utanielewa. na ndo maana wapiganaji wengi sana walikufa kwenye hiyo vita kwa kuchanganya imani ya dini kwenye uwanja wa mapambano.

All in all, lengo langu halikuwa ku undermine uwezo wao bali niliamua tu kuweka sawa sehemu walipofeli au kuteleza kimbinu,
they tried their best to fight for our motherland why should I assume they did nothing?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Wanaenda wanajifunua pole pole, unakumbuka siku za mwanzo walikuwa wanajifanya kujikausha wakisikia issue za watatezi wao hao mashoga? Sasa wameamua kuweka mambo hadharani.

Mwingine ni pimbi Yoda, jana nimeona mahala kaandika eti OverPopulation ni tatizo linalofanya rasilimali ziwe chache m@mae akili zile zile kama za mabosi wao.

Jamaa anakwambia ushoga unazaliwa nao, mapunga wote ndo kauli zao hizo
 
German Chancellor Olaf Scholz is suspected of "sex scandal", according to Deutsche Welle.

As sources in the German Social Democratic Party told the German edition, at least 8 girls were drugged with "drugs for rape" at a private party with the participation of Olaf Scholz.

Huyu wanamtafutia sababu tu ili wasiseme sababu ya Russia. Hao vibaraka wa US
 
Kwahiyo Logic ya kuzaliwa na element za kishoga ni kujitetea tu [emoji23]

Hakuna mtu anayezaliwa na ushoga, mazingira ndo yanambadilisha mtu. Ndomana unaona uyo shoga wao baba yao anahangaika na anatumia pesa nyingi kwenye haya mambo.

Shoga sio lzma ajiseme kuna reason nyingi sana za kumtambua.
 
Hapana mkuu Jasmoni Tegga anaelewa hilo, hapo kaandika kum-mock huyo Zombie Mwanamkiwi. Kwamba kipigo kimepelekea maneno yanaanza kubadilishwa maana [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]ajali kazini mkuu, comment yake ilinikuta nipo kwenye wakati na mood ya kumpiga spana Pro-NATO mmoja anaejiita Mwanamkiwi hivo nikadhani ni walewale wa kupindisha uhalisia kwa vitu vilivyo wazi

Baadae nilivyotulia nikarudi Jukwaani ndo nikagundua kumbe a man was mocking to Pro-NATO Comment.
MKUU WANGU Jasmoni Tegga naomba unisamehe sana kwa kukuangushia zigo lisilo kuhusu nadhani ujumbe ulikuwa sahihi kwa mtu asie sahihi. It should be dedicated to somebody like Mwanamkiwi

Hata mimi iliwahi kunitokea siku moja hapa jamvini, nilipigwa nyundo moja matata na pro-Russia mmoja baada ya kuquote comment yangu niliyomu mock pro-NATO mmoja pale nilipogeuza nafasi ya Urusi kuwa Ukraine na Ukraine kuwa Urusi kwenye operation.
Tuvumiliane kiungwana, kuteleza siyo kuanguka[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Unanigeuzia kibao huku wewe ndiye unahitaji tiba.Halafu unanipa likes nyingi sana,sasa how comes mtu anayehitaji tiba unampa likes zako,si kichaa huyo jamani.Ajabue....!

Finally,just be frank kwa nini unadhani nahitaji tiba,au kumpenda Mungu na kumtanguliza ndiyo imekuwa kero kwako?
Hata saa mbovu kuna husema ukweli ila haiondoi kuwa ni saa mbovu
 
All in all, lengo langu halikuwa ku undermine uwezo wao bali niliamua tu kuweka sawa sehemu walipofeli au kuteleza kimbinu,
they tried their best to fight for our motherland why should I assume they did nothing?

Hapo ndio nilipokua napataka kwamba ni mashujaa period.

Ule uthubutu tuu tayari ni watu wa kuenziwa mashujaa wetu.
 

Norway and Russia settle cargo dispute​


Norway and Russia have found a way to deliver goods to Russian settlements on Norway’s Arctic archipelago of Svalbard.
The statement comes after a week of tension between Moscow and Oslo, after Norway halted two cargo containers destined for Russian miners living on the archipelago on June 15, citing sanctions imposed on Moscow over its conflict with Ukraine.

Russia insisted that Norway’s “unacceptable” ban on supply deliveries was depriving Russian miners of “critical” goods, including food, medical equipment, building materials, and spare parts. Moscow threatened “appropriate retaliatory measures” if the issue was not resolved.

The Norwegian Foreign Ministry now claims that the containers were blocked because they were being transported on Russian vehicles, which were banned from bringing cargo over the Russian-Norwegian border. However, it noted that there would be no issue if these containers were brought to the miners using Norwegian vehicles instead.
 

Canada exempts Russian gas turbine from sanctions amid Europe energy crisis​


Canada exempts Russian gas turbine from sanctions amid Europe energy crisis

Canada will return a repaired Russian turbine to Germany that it needs for the Nord Stream 1 gas pipeline, despite objections from Ukraine, as the sanctions regime came up against the energy crisis sparked by the war.
Canada’s minister of natural resources, Jonathan Wilkinson, said in a statement on Saturday the government was issuing a “time-limited and revocable permit” to exempt the return of turbines from its Russian sanctions, to support “Europe’s ability to access reliable and affordable energy as they continue to transition away from Russian oil and gas”.
Wilkinson said the export permit was issued after discussions with “our European friends and allies”, and the International Energy Agency.
Russia’s Gazprom cut capacity on the Nord Stream 1 pipeline from Russia to Europe to just 40% of usual levels last month, citing the delayed return of equipment being serviced by Germany’s Siemens Energy in Canada. The Kremlin said on Friday it would increase gas supplies to Europe if the turbine were returned. The part is required for maintenance work due to start on Monday.
Canada – which has been under pressure from Germany to find a way to return the turbine – said “absent a necessary supply of natural gas, the German economy will suffer very significant hardship and Germans themselves will be at risk of being unable to heat their homes as winter approaches”.
Alexandra Chyczij, national president of the Ukrainian Canadian Congress, said on Saturday “our community is deeply disappointed by the Canadian government’s decision to bow to Russian blackmail”.
The group said Canada was setting “a dangerous precedent that will lead to the weakening of the sanctions regime imposed on Russia”.
 
Hapo ndio nilipokua napataka kwamba ni mashujaa period.

Ule uthubutu tuu tayari ni watu wa kuenziwa mashujaa wetu.
Halafu mkumbushe vita za Wahehe na Tanga zilipiganwa kabla mjerumani hajasimika utawala wake rasmi.
Vita ya Abushiri kule Tanga, Vita ya Mhehe pale Iringa halafu utawala wa Mhehe ulianzia kwa wavidunda Morogoro mpaka Usangu kwa wasangu mkoa wa Mbeya kwa Sasa.

Vita ya majimaji ilipiganwa baada ya mjerumani kusimika utawala wake hivyo kupelekea vita iwe ngumu.

Pili Hayo maeneo na watu wake hawakutarajia aina Kali ya Siraha zilizotumika kipindi hicho yaani magobole pamoja na mizinga.

Kuanzia pale kibata wilaya ya kibiti ya leo vita ilipoanzia mpaka Songea ilipoishia ila jamaa Kinjekitile Ngwale aliweza kuwaunganisha na kuwahamasisha makabila mbalimbali ili waweze kuwa na common cause na hili alifanikiwa.

Tumpe kongole maana hata sera za mjerumani zilibadilika
 
⚡️Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine

▫️The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation in Ukraine.

💥High-precision ground-based weapons struck temporary deployment point of AFU artillery unit and ammunition depot on the territory of Ceramic Factory in Slavyansk. Up to 100 personnel, more than 1,000 artillery shells for US-made M777 howitzers and about 700 rockets for Grad MLRS were destroyed.

💥In addition, Russian Aerospace Forces have hit 3 command posts near Soledar, Min'kovka and Bakhmut in Donetsk People's Republic, 16 areas of manpower and military equipment concentration, including Kraken nationalist formation near Kharkov.

▫️To replenish the large losses in personnel, the Ukrainian military command has increased the sending of untrained reservists to the front, who are being forcibly recruited in Kharkov, Dnepropetrovsk and Poltava regions.

💥Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery destroyed 17 command posts, 4 platoons of Grad multiple-launch rocket systems, and 2 hangars near Kostantinovka with US-made M777 howitzers, which were used to shell residential areas of Donetsk.

💥 42 areas of artillery units in firing positions, as well as 143 areas of AFU manpower and military equipment concentration have been neutralized.

💥 As part of counter-battery fighting, 1 platoon of Uragan multiple-launch rocket systems near Konstantinovka, 1 platoon of Grad multiple-launch rocket systems near Dzerzhinsk and 2 artillery platoons of Giatsint-B 152-mm howitzers at firing positions near Novgorodskaya in Donetsk People's Republic have been neutralized.

✈️💥 Russian Aerospace Forces' Su-35s fighters have shot down in the air 2 Su-25 assault aircraft of the Ukrainian air force near Barvenkovo, Kharkov Region, and Troitskoye, Donetsk People's Republic, as well as 1 MiG-29 near Krasnopolie, Donetsk People's Republic.

💥Russian air defence means intercepted 3 Ukrainian unmanned aerial vehicles near Melitopol in Zaporozhye Region and Ternovoye and Veseloye in Kharkov Region, 3 Tochka-U ballistic missiles, 20 rockets for Uragan MLRS near Chernobaevka in Kherson Region and 5 rockets for Smerch MLRS near Brazhkovka in Kharkov Region.

📊In total, 242 Ukrainian airplanes and 137 helicopters, 1,506 unmanned aerial vehicles, 353 anti-aircraft missile systems, 3,995 tanks and other armored combat vehicles, 741 multiple launch rocket systems, 3,127 field artillery and mortars, as well as 4,128 units of special military vehicles were destroyed during the operation.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 
Back
Top Bottom