Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Halafu mkumbushe vita za Wahehe na Tanga zilipiganwa kabla mjerumani hajasimika utawala wake rasmi.
Vita ya Abushiri kule Tanga, Vita ya Mhehe pale Iringa halafu utawala wa Mhehe ulianzia kwa wavidunda Morogoro mpaka Usangu kwa wasangu mkoa wa Mbeya kwa Sasa.

Vita ya majimaji ilipiganwa baada ya mjerumani kusimika utawala wake hivyo kupelekea vita iwe ngumu.

Pili Hayo maeneo na watu wake hawakutarajia aina Kali ya Siraha zilizotumika kipindi hicho yaani magobole pamoja na mizinga.

Kuanzia pale kibata wilaya ya kibiti ya leo vita ilipoanzia mpaka Songea ilipoishia ila jamaa Kinjekitile Ngwale aliweza kuwaunganisha na kuwahamasisha makabila mbalimbali ili waweze kuwa na common cause na hili alifanikiwa.

Tumpe kongole maana hata sera za mjerumani zilibadilika

Ahsante MKUU ulikua wapi jamani.

Alioganize zaidi ya makabila 20 alafu keyboard warrior anakuambia Kinjekitile ni mjinga.

Yule ni mwanaume na nusu pamoja na mashujaa wengine heshima yao iwepo milele na milele.
 
German Chancellor Olaf Scholz is suspected of "sex scandal", according to Deutsche Welle.

As sources in the German Social Democratic Party told the German edition, at least 8 girls were drugged with "drugs for rape" at a private party with the participation of Olaf Scholz.
ni mwendo wa ng'a aa ng'aaaa hahaha kimeumana[\B]
 
IMG_20220710_152808_213.jpg
 
Hakuna mtu anayezaliwa na ushoga, mazingira ndo yanambadilisha mtu. Ndomana unaona uyo shoga wao baba yao anahangaika na anatumia pesa nyingi kwenye haya mambo.

Shoga sio lzma ajiseme kuna reason nyingi sana za kumtambua.
😂😂😂 Aisee yani tumebarikiwa migoma Kama Sanchi, Batuli, Mobeto nk halafu kuna jamaa linakuwa punga linafikichwa daah 🤔
 
Kwani huwezi kutoa maelezo bila kufanya reference ya Urusi mwamba? Au Urusi ni ubao kwamba madawati yote yanaelekea uko? [emoji23]

Tunajua Urusi si chochote mwamba kwa hiyo unapofanya reference kwake inatutia mashaka.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
RUSSIA TAIFA TEULE[emoji4][emoji4][emoji4]
 
‼️ 🇷🇺A rally of "Putin's friends" in Italy — this is how Josep Borrel calls Italians and Dutch dissatisfied with the policies of their governments. The head of the European Diplomacy said that it was not farmers who were on strike, but "Putin's friends." It's funny that Borrel is a member of the Spanish Socialist Workers party. And it's quite funny that Putin seems to have more friends in Italy and the Netherlands than the authorities of these countries.
 
Kama tungeliweza kujua Nato na Russia wanachotaka kufanya nyuma ya dunia hii tunayoiona sisi kwa macho ya kawaida hakuna mtu angejisumbua,
Kilichoko nyuma ambacho hakijafunulia ni kikubwa sana tofauti na tunachokijua tungepata kukijua ingetusaidiwa kupata muongozo kujua Lengo la hii vita tofauti na uwezo tuliona wa kuzungumzia hii vita.
Hapa ni sawa kulipuliwa kwa majengo pacha ya world trade center na ikidaiwa hakuna hata muisrael mmoja aliekufa mule.
Nato(ukrine) na Russia wote ni wauaji.
Kuna nguvu tofauti inaiongoza dunia iende inavyotaka, viongozi wapo tu kama mazombie wanapewa tu matamko fanya jambo hili.
Ni nani ataiondolea dunia hili janga la New world order hili ndio tatizo zaidi.
Kuna mtu atasema Russia wakati huo huko nako ushoga upo.

Tufanyaje sasa mkuu.
 
Utakua sio Mristo, maana Wakristo hawawezi wakasema nchi yote ipigwe mabomu kisa kuna mashoga humo, ukizingatia hata Ukraine haina idadi kubwa ya mashoga zaidi hata ya Bongo.

Wafuasi wa dini ya mwarabu tu ndio ambao wakichukia mtu mmoja sokoni watajilipua kwa bomu na kuua wengine wote wasiokua na hatia humo.
Mkuu unapenda stories za kidini lakini watu wanakukataa

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Soma! Sijasema wameishia "Silaha". Wana akiba kubwa sana ya silaha za zamani. Ila mifumo ya kisasa wana udhaifu. Vifaru vya zamani wana tele kuanzia T 64, wanaweza kuzitumia baada ya ukarabati.
Wewe unaelezaje kwamba kifaru T-14 Armata hakionekani? Kwa nini matumizi ya roketi janja imepungua?
Mifumo ya silaha za kisasa walibuni kwa kutumia vipuli kutoka Western. Kuvipata sasa ni tatizo kutokana na vikwazo.
Uzalishaji wa silaha janja ni dhahiri wanatoa kidogo.
Duh...
 
Poland anamchokoza Belarus. Belarus anajibu. Poland anaitikia. Belarus anajibu tena. Poland anazidiwa. Belarus anazidisha mashambulizi. NATO anaingia kusaidia. Belarus anajibu. Marekani anasogea. Belarus anajibu. NATO na Marekani wanabweka tena. Belarus anajibu. Superpower Russia inaingia kuumaliza mchezo. Marekani na NATO wanadhalilika na kusambaratika.
Yaan hii style yauchambuzi inaitwa kampa kampa tena[emoji4][emoji4][emoji23]
Wao wamemtumia UKRAINRE kumtikisa MATHOER RUSSO
Nae MOTHER RUSSO anamtumia BELARUS kuwapelekea moto ma NATO nisuala la muda tu MKUU
 
German Chancellor Olaf Scholz is suspected of "sex scandal", according to Deutsche Welle.

As sources in the German Social Democratic Party told the German edition, at least 8 girls were drugged with "drugs for rape" at a private party with the participation of Olaf Scholz.
[emoji23][emoji16][emoji23]
Tunajua olaf anaenda kupigwa nachini ila tunaelewa wamemuundia zengwe lakutengeneza ili ionekane kama sababu sio RUSSIA
Mnajua nini TAIFA TEULE LA RUSSIA linaenda kuivunja NATO au EU nisuala lamuda tuuu
 
Ottawa has agreed to temporarily withdraw part of the sanctions in order to return the Siemens turbine owned by Gazprom for Nord Stream-1.

As the Canadian Minister Wilkinson noted, this decision is due to the fact that Germany risks remaining unprepared for winter.
C tuliambiwa EU wamejiandaa lkn au[emoji16][emoji23][emoji14]
 
Back
Top Bottom