Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Anguko la BoJo halihusiani na hivyo Vita,Yaleyale majibu kwamba BoJo hakung'olewa na vita. Haya anakuja mwingine wa Ujerumani. Endeleeni kuandaa nukta zenye majibu konki.
hata PM ajaye ataendeleza sera za kuisaidia Ukraine kumkabili mvamizi.