Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

German Chancellor Olaf Scholz is suspected of "sex scandal", according to Deutsche Welle.

As sources in the German Social Democratic Party told the German edition, at least 8 girls were drugged with "drugs for rape" at a private party with the participation of Olaf Scholz.
Na huyu na yeye kashapata sababu ya kuondoka madarakani ili isionekane NATO wamepigika Kwa mrusi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Babu wa White House apigwa spana kali na Wamarekani baada ya kuwalaumu Republicans juu ya maisha magumu ya Marekani (wese bei juu, chakula ghali, huduma za afya hazishikiki, madawa bei mbaya). Anadai Republicans hawafanyi lolote, wanamwangalia tu na kumkwamisha🤣🤣🤣😄😄

Mwambieni Babu atulie, Fungate imekwisha...alilikoroga la Ukraine, lazima alinywe. Ajiandae kwa lolote, kwani punde raia wake watachoshwa na kupanda kwa gharama za maisha kila siku, watatumia uhuru ule wanaohubiriwa kila siku kuingia mabarabarani na watamnyoa kwa ule wembe uliotumika kuwanyolea kina 'Ben Ali' wa Tunisia, 'Hosni Mubarak' wa Egypt na hivi sasa 'Rajapaksa' wa Sri-Lanka.
=======

Screenshot_20220711-070736_Chrome.jpg
Screenshot_20220711-071228_Chrome.jpg
 
Russia hawezi kupungua nguvu kumbuka anaendelea kuingiza hela Kwa kuuza mafuta hata ulaya.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Sijui definition yake ya ^nguvu^ ni nini? Because strategy kubwa ya vita Putin sasa anasafisha front line kwa M777 Howitzers na wajomba zake 🙂, then wazalendo wanaenda kukusanya nyara za Ukraine zilizotelekezwa. It means causalities za Russia ni machuma-chuma tu. Manpower is almost intact.
 
Braza huna akili wewe ni mwehu hutumii akili wangu
Kwa nini usijiulize mbona JB hajaingia vitani hadi sasa? Mara ya mwisho alipoviambia vyombo vya habari kwamba anadhani Putin angepaswa kuondolewa madarakani, mara moja akarekebishwa na wenye nchi wakidai kwamba yalikuwa mawazo yake yeye kama yeye, na wala si wazo la Marekani.

Kwa nini Marekani hataki na hawezi kumpa Zelensky long-range ballistic missiles?

Kwa nini USA aliogopa na angali anaogopa kulifunga anga la Ukraine dhidi ya Urusi?

Kwa nini Marekani bado anakunywa gesi na mafuta na dhahabu na bidhaa kibao za Russia?

Kwa nini Marekani aliwakataza raia wake kwenda kujitolea kama mamluki Ukraine? ^I tell all US citizens. It's not a good idea to go and fight war in Ukraine^~ Joe Biden.
 
Sijui definition yake ya ^nguvu^ ni nini? Because strategy kubwa ya vita Putin sasa anasafisha front line kwa M777 Howitzers na wajomba zake 🙂, then wazalendo wanaenda kukusanya nyara za Ukraine zilizotelekezwa. It means causalities za Russia ni machuma-chuma tu. Manpower is almost intact.
Hata mimi nilikuwa nashangaa-mbona vifaru haviongozani na infantry (askari wa miguu),kumbe hiyo ni strategy ya Putin kudhibiti vifo na majeruhi ya wanajeshi wa Russia.
 
Babu wa White House apigwa spana kali na Wamarekani baada ya kuwalaumu Republicans juu ya maisha magumu ya Marekani (wese bei juu, chakula ghali, huduma za afya hazishikiki, madawa bei mbaya). Anadai Republicans hawafanyi lolote, wanamwangalia tu na kumkwamisha🤣🤣🤣😄😄

Mwambieni Babu atulie, Fungate imekwisha...alilikoroga la Ukraine, lazima alinywe. Ajiandae kwa lolote, kwani punde raia wake watachoshwa na kupanda kwa gharama za maisha kila siku, watatumia uhuru ule wanaohubiriwa kila siku kuingia mabarabarani na watamnyoa kwa ule wembe uliotumika kuwanyolea kina 'Ben Ali' wa Tunisia, 'Hosni Mubarak' wa Egypt na hivi sasa 'Rajapaksa' wa Sri-Lanka.
=======

View attachment 2286796View attachment 2286797
^Wamerikani^ wenyewe wamemchoka, lakini Wabongo ndipo kabisaaaa mahaba yanaanza kukolea kwake. Shame on such Bongolames!

Namwona Trump akifunga tai nyekundu na kuzikwatua nywele zake!
 
Huko sijui kuhusiana na sayansi
Ila kuna tetesi kwamba inaleta kansa yakoo kwahio kama itakua nikweli basi automatically kwaupande wetu sisi waislam hio kharam (haifai)
Kwaupande wetu nikharam ama haifai kutumia kitu chochote ambacho kinakudhuru hatakama nihalali naamini hata wenzetu pia wapo ama mpo hvyo sina hakika
Mnisamehe waungwana nimetia mada nje ya mada KUU
Ngoja nikueleze ndugu yangu katika imani kulamba tupu au kunyonya tupu ya binadamu mwenzako ni haramu mwenyezi mungu amekataza na hadithi zipo zinazoelezea asije kukudanganya mtu apa jukwaani ukweli ndio uwo ni haramu ukifanya fanya kwa matamanio yako lakini katika uislamu umeshalitolea ufafanuzi jambo ilo wabilah tawfiq.
 
Nazani hujataka tu kuelewa kwa makusudi nilichoandika.

Kuna baadhi ya hoja umetoa lakini hazina mashiko, mfano moja wapo ni ule wa kusema wapiganaji wa vita vya majimaji (1905-1907) walikuwa hawafahamu jinsi bunduki inavyo fanya kazi hii siyo kweli, kwasababu kabla hata ya hiyo vita kuna vita kibao tu nyuma zilipigwa na mjeruman akitumia bunduki hizo mfano Vita vya wehehe na Germany 1891-1898. Mpaka mkwawa anajiua kwa Risasi Maana yake teknolojia ya risasi ilikuwa tayari ishajulikana.

Hoja ya pili nikuwa wasingeweza kupambana dhidi ya silaha za kijeruman, nikweli kabisa ila kwa upande mwingine siyo kweli, maana hao hao wajerumani na silaha zao, walishindwa vibaya mno mwaka 1891 dhidi ya jeshi la Mkwawa lenye silaha za kijadi.

Labda tu usichokijua au unakijua ila umeamua kukipotezea nikuwa mbinu za Kinjekitile zilikuwa zimejikita zaidi kwenye imani nasiyo kiufundi na kitaalamu, kwasababu Kinjekitile alikuwa ni kiongozi wa dini (za kiafrika). Jaribu kifuatilia historia utanielewa. na ndo maana wapiganaji wengi sana walikufa kwenye hiyo vita kwa kuchanganya imani ya dini kwenye uwanja wa mapambano.

All in all, lengo langu halikuwa ku undermine uwezo wao bali niliamua tu kuweka sawa sehemu walipofeli au kuteleza kimbinu,
they tried their best to fight for our motherland why should I assume they did nothing?
Kusema mbinu za mababu zetu zilikuwa za kijinga Mimi napinga, maana hao hao mababu zetu na mbinu zao za kujinga lakini zilileta Uhuru huu tulionao,

Katika kitu MTU mweupe amefanikiwa ni kuharibu dini zetu, utamaduni wetu na fikra zetu ni kuhakikisha muafrika anaukana uafrika wake na kuukumbatia ugeni,

Mimi Nina Imani Kwamba hiyo elimu ya risasi kugeuza maji huwenda ilikuwepo Ila kuna baadhi ya wasaliti walitoa Siri jinsi ya kudhoofisha hiyo kinga,
Kuna mwanamazingaombwe mmoja kama sijakosea ikitokea mwanza alikuwa anaonyesha mazingaombwe kwenye ukumbi, akajifunga kamba shingoni ili ajinyonge, baada ya maandalizi yote kukamilika akawaambia watu waondoe stuli aliyosimamia, watu wakatoa jamaa akaanza kurusha miguu na mikono watu wakawa wanashangilia onyesho ni zuri kumbe ukweli jamaa kamba ilimashika kweli shingoni na alikuwa anaomba msaada, ikafika jamaa mpaka katulia wasaidizi wake walikuja kushtuka jamaa kaachia Hadi ngama yule jamaa alifariki, lakini watu baada ya kufatilia ikagundulika kuwa kuna wazee walimchezea mchezo,

Lakini story hii baada ya miaka 50 na mazingaombwe yasippkuwepo kijana WA miaka hiyo anaweza kabisa kusema kuwa jamaa alikuwa ni mjinga kujaribia kujinyonga maana haingii akilini ujifunge kama shingoni upone, sasa mtu kama huyo ni wewe mkuu baada ya miaka kupita na mila zetu kuzipa mgongo ukianza kujiuliza utaona ilikuwa ni ujinga tu, au kama unamkumbuka mwanamazingaombwe mmoja maarufu Sana miaka hiyo anaitwa power mabula ulizia historia yake iliyosababisha yeye kuacha mazingaombwe
Kuna watu wanauwezo wa kutoka mkoa mmoja hadi au kuna watu walikuwa na uwezo upo magomeni unamsema vibaya Edward wakati mpo kwenye daladala mnaenda tegeta nyumbani kwake lakini ukifika tegeta anakuuliza kwanini ulikuwa unamsema vibaya wakati upo kwenye daladala, unajiuliza kajuaje?
Uwezo huo alikuwa nao marehemu sheakh Ramia aliyemfungisha Nyerere ramadhani mpaka akaumwa kichwa

Hebu tujiulize kama utaalamu huo tungewafundisha majasusi wetu japo 50k tu tungekuwa wapi??

Kuna makaburi yapo kama sijakosea yapo iringa au mbeya, tanesco wwalipitisha nyaya za umeme juu ya makaburi hayo, siku wanawasha umeme, umeme ulikuwa unaishia pale kwenye kaburi na hauvuki, yaani huu pande umeme ulipotokea umeme ulikuwa unakuja mpaka kwenye nguzo ya mwisho Ila kwenye nguzo ya upande wa pili wa kaburi haina umeme, ilibidi tanesco watengeneze njia kuzunguka hayo makaburi na umeme unawaka mpaka Leo
Sasa hili la umeme kasayansi huwezi Ku define, yaani kaburi linaweza vipi kuzuia umeme???
Hapa ndipo tulipotakiwa kutafiti ili kupata majibu ambayo kama kaburi linaweza je hatuwezi kuiendeleza tukaweka kwenye anga lote la tz ili ikitokea siku ya Vita au uhitaji tuna activate inazuia kila ndege ya adui ikiingia kwenye anga letu maswala yote ya umeme yanakatika na kusababisha ndege za adui kuanguka
Mimi Kwa mtazamo wangu ilibidi tuangalie utaalamu na elimu waliyotumia mababu zetu tukaiboresha na kuondoa mapungufu yote tungefika mbali na wazungu wasingekuwa watatuletea magonjwa ili wapige pesa
 
Uko na pointi;

Mfano tukifikia hatua tukaona kitendo cha kumiliki baiskeli ni jambo la akili, tena kutembea kwa miguu ni ujiniazi kabisa tutawekeza kwenye mambo ya maana zaidi.

Moja kati ya mbinu ya kumtawala mtu ni kumfanya aone kuwa hajakamilika hadi awe na kitu fulani ambacho hanacho mda huo ili umtawale.

So mfano tukikaa tukaona extended clan na famil....... inatosha bhana all in all ni kwamba tukitaka tuweze itabidi tutengeneze difinisheni yetu ya mafanikio halafu tuipursue hiyo
***Mpaka tutengeneze maana yetu ya mafanikio na tuifanyie kazi."""
 
Kalawitiwe kakaa.... SI unaona kufirimbwa ni sawa na kumwagilia moyo.... Ktinduliwe Mzee kiroho saaaafy binua trakooo .....
Mwongo huyo.
Sijasikia wezi wakitengeneza bendera na kuomba haki zao , wakipora mali za watu na serikali ya US iliwatetea. Aache mzaha na dhambi inayofanyikia mwilini mwako uzinzi na ufiraji hii kiroho inakutenga kabisa na imani yako.
 
Na huyu na yeye kashapata sababu ya kuondoka madarakani ili isionekane NATO wamepigika Kwa mrusi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dah! wewe jamaa movie zimekuharibu maana inawezekana kwako vita ni fantasy, front line ni kuzimu ( hell ) kwenye modern welfare hakuna mshindi. Unavyo sikia russia kasonga mbele ame advance ujue ame mobilize jeshi kubwa hapa kuna hasara kubwa ya askari na vifaa. Vita sio kitu cha mzaha walioko frontline hawana hamu wengine baada ya vita watapata postpartum depression. China, nato members kuwaingiza kwenye vita sio jambo rahisi kwa sasa, vita inaharibu kila kitu, wewe mtz mwenzangu endelea na ushabiki wako yawezekana umri wako bado mdogo
 
Russian hacker group RaHDIt along with Ukrainian hackers "Beregini" say they hacked the Ukrainian military intelligence HQ’s and obtained secret operational documents about the actions of the Ukrainian army and the situation at the front.
 
Mimi nashangaa watu wanawalaumu.mashoga mimi nalaumu hao wanaume wanaowatia kwenye njia ya mavi ndio wakamatwe kwanza.Mimi nashamgaa hatutafuti chanzo cha tatizo tunakoromea tatizo.Chanzo ni how wanaume wanaowatia ndio wauwawe kwanza.basi mchezo ungeisha
Wanaume wanao wapeleka moto walaumiwe kwa lipi? Hujui hawa washenzi wangesababisha mfumuko wa bei wa Matango, karoti, ndizi na mabiringanya mchongoko🙊 wanaowapeleka moto wanasaidia kufanya bei ya kUwa himilivu, hawa washenzi hawapaswi kutetewa
 
Back
Top Bottom