Uko na pointi;Mr Tyang vyovyote vile tunavyofikiri juu ya ancestors wetu kuanzia biashara,siasa,jeshi, tamaduni,lugha n.k huo mtazamo tulionao juu yao ndio lengo la hao westerns.
Na lengo ni tujione ni inferiors siku zote hatuna tulijualo hapo wametuweza.
Kama tungekua tuna ile free will ya kuwaza nje ya box tungezimodifai zile mbinu za wazee wetu ili tuwe huru kamili.
Kwa sababu kila kitu kina moja ndio ufike tisa sasa kama unaona moja ni ushenzi utaanzia wap?
TENA sisi ndio mambulula katika vizazi vyote vilivyopita kwenye hii ardhi ya Africa ila tuna ujasiri wa kuwaona wajinga mashujaa wetu.
Niambie kwa nini mimi nahitaji matibabu na sio wewe.Unahitaji matibabu
Wanampango madhubuti kusubiri Russia apungukiwe nguvu . Hawachoki kuongeza silaha na mafunzoUtakuwa mwisho rasmi wa utawala wa JB. Trump ataingia mjengoni. Hivi vita kuja kuisha NATO hawataamini jinsi ambavyo wametoweka utawalani bila kupenda.
Russia hawezi kupungua nguvu kumbuka anaendelea kuingiza hela Kwa kuuza mafuta hata ulaya.Wanampango madhubuti kusubiri Russia apungukiwe nguvu . Hawachoki kuongeza silaha na mafunzo
Habari njema mnooooi
Bwana kweli hujui "official page" ni kitu gani?? Uneleta screenshot kutoka Kyivindependent. Kama ni kweli, hii ni tovuti binafsi. Kama hujui tofauti kati ya tovuti binafsi, kiuchumi na kiserikali - basi jaribu kujifunza kwanza.Sifa moja wapo ya Mpumbavu nikubisha vitu kwa makusudi, ni heri hata ya mtu mjinga ukimuelewesha anaelewa.
Ok ngoja ni assume wakati jana nakupatia ushahidi wa hao mabalozi kutumbuliwa(fired) hukuelewa kwasababu ya Wenge la Usingizi, Narudia kukupa ushahidi kutoka kwenye official page ya Ukraine [emoji1255], Ukiendelea kukaza fuvu basi sitakuwa na msaada nawewe tena.View attachment 2285983
Mbishi, eeeh?? Kama huna chanzo cha kuonyesha, heri ukae kimya na kukitafuta.Wewe mbona mbishi tu....angalia vyanzo vyako vyote unavoviamini kama hutakuta hiyo habari....wamefukuzwa kabisa, sio sijui kubadirishwa...
Special Agent habari za Jioni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bwana kweli hujui "official page" ni kitu gani?? Uneleta screenshot kutoka Kyivindependent. Kama ni kweli, hii ni tovuti binafsi. Kama hujui tofauti kati ya tovuti binafsi, kiuchumi na kiserikali - basi jaribu kujifunza kwanza.
HAkuna ukurasa rasmi ya serikali ya Ukraine inayosema hao mabalozi walifukuzwa. Matangazo rasmi yanasema ni uhamisho. - Naongeza: uhamisho ni jambo la kawaida katika utumishi wa kibalozi
Braza huna akili wewe ni mwehu hutumii akili wanguUtakuwa mwisho rasmi wa utawala wa JB. Trump ataingia mjengoni. Hivi vita kuja kuisha NATO hawataamini jinsi ambavyo wametoweka utawalani bila kupenda.
Kwahiyo we unaforce watu wapende upande wako ambao wahisi Ni sahihi?Humu siji kukubaliwa na watu, nakuja kujadili hoja kama zilivyo, halafu naumbua pale stahiki, nimetamani sana hata siku moja tu hivi nikutane na mtu kwenye dini hiyo ambaye amechukizwa na anachokifanya Putin kuvamia nchi ya watu na kufanya mauaji, ila wote wameshikiliwa akili zao na chuki zao za kidini dhidi ya Marekani kiasi cha kutokujali chochote wala....
Hakuna hata mmoja hivi yupo upande wa Ukraine, tofauti na watu wa dini zingine zote ambao wamegawanyika kila mmoja ana uhuru wa mtazamo wake, kunao wapo upande wa Ukraine na wengine Urusi.
1. Usijaribu kuthibitisha propaganda ya Putin kwa kutumia propaganda ya Putin. Southfront ni tovuti ya kiputin kabisa. Civilian shields za Mariupol ni jaribio tu kuonyesha sababu za uwongo kwa aibu ya kukwama kwa Urusi Mariupol kwa miezi mingi.Fuatilia links hizi kupata ushahidi:
"Members of Ukrainian units intentionally use civilians as human shield and block the evacuation of residents from the combat area via opened humanitarian corridors"
Sikweli, kuundwa kwa Jamhuri mbili ni matakwa ya wananchi wanaoishi Donobas na ambao wamepata madhila makubwa chini ya utawala wa kinazi wa Ukraine kwa miaka nane! Ushahidi huu Tena kutoka chombo cha habari chako pendwa BBC.
"
The self-proclaimed Donetsk People's Republic, or DNR, was set up by pro-Russian separatists in 2014.
According to Russia's Interfax news agency, leader of the DNR Denis Pushilin has said the men will be charged in the region's supreme court."
BBC haijamtaja Putin
Shukrani sana kwa kuonyesha dukuduku lako juu ya jambo hili na kwa kweli umefanya vizuri kuweka picha.
Kwanza tuelewane, kwa Pamoja tunaelewaje neno basement? Binafsi najua basement ni sehemu ya nyumba ambayo ujengengwa chini ya usawa wa ardhi, kwa neno Rahisi ni chumba kama andaki chini ya ardhi.
Niliposema nyumba ilipigwa juu nilimaanisha Kuta zake na paa ambavyo vipo juu ya usawa wa ardhi. Bahati nzuri sana picha ulizoweka zinadhibitisha maelezo yangu haya, hakuna mahali panaonyesha andaki linetinduliwa bali ni Kuta na paa ndizo zimeathiriwa na mashambulizi.
Mkuu Kuna udhibitisho Tena uliopitiwa na reviewers Nguli wa masuala ya kimataifa juu ya hila za Marekani kuwaingiza hizo Nchi ulizotaja kwenye NATO. Ukitumia jicho la Tatu kusoma muhitasari wa huu hapa chini wa mtaalamu wa masuala ya kimataifa, kama siyo mbishi kupindukia utakubaliana na maelezo yangu Karibu
Abstract
European security depends on the effective collaboration of the five major powers; it will be undermined by the extension of NATO, a policy driven by US domestic politics. The main threats to security are: the breakdown of political and economic stability; unintended nuclear proliferation and/or failure of the START process; Russia's evolving political and territorial aspirations. All three will remain marginal as long as Russia is constructively engaged with the West. NATO expansion threatens that engagement. It is seen by all strands of Russian opinion as violating the bargain struck in 1990 and will likely lead to the withdrawal of cooperation. Invitations to Poland, Hungary and the Czech Republic cannot be rescinded, but the consequences can be mitigated by refraining from integrating them into NATO's military structure, by ceasing to insist that NATO membership is open to all, and by perpetuating the de facto nuclear-weapons-free zone that presently exists in Central and Eastern Europe. Britain's stance could be pivotal.
NATO Expansion: 'A Policy Error of Historic Importance' on JSTOR
Michael McCgwire, NATO Expansion: 'A Policy Error of Historic Importance', Review of International Studies, Vol. 24, No. 1 (Jan., 1998), pp. 23-42www.jstor.org
Mkuu katika historia ya uwepo wa Ulimwengu, ni nchi za Ulaya na Marekani, na Baadhi ya zile za Mashariki ya kati zilizofanya ukatili wa kibinadamu katika kutafuta makoloni kukidhi matanio ya kupata rasilimali. Russia hakuwa na haja ya kutafuta makoloni na kujiingiza kwenye dhambi kubwa ya ukatili wa kibinadamu kwa sababu tayari yeye alishabarikiwa rasilimali nyingi na za kutosha. Kwa hiyo, tujiulize sisi wawili(Mimi na wewe Mkuu) na kisha tuwashirikishe wengine wanaofuatilia mjadala huu swali hili. Je. Ni nani kati yetu wawili bado yupo usingizini na yawezekana anahangaika na ndiyo za kufukuzwa na nyoka mwenye vichwa sita?
Karibu tusemezane!
Kumbe tumsikie mtaalamu mkubwa wa habari za diplomasia??Special Agent habari za Jioni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thibitisha!tovuti ya kiputin kabisa
Pole maana unakosa ushahidi wakutetea hoja zako kwa hiyo nafikiria kukuweka kwenye orodha ya wabishi bila hoja!Civilian shields za Mariupol ni jaribio tu kuonyesha sababu za uwongo kwa aibu
Kama hauna ushaidi wa kujibu hoja unayoituhumu ni propaganda wajanja uchutama kwa kukaa kimya maana wana aibu. Lakini kama hauna mshipa wa aibu suala la kuchutama achana nalo.Usilete propaganda yake kama ushahidi
Naona unajitahidi kweli nikupuuze lakini sitafanya hivyo mpaka utakapohisi sasa unawaabisha wafuasi wako. Kwa kifupi sijibu maelezo ya kibishi bali hoja za msingi. Nikishindwa hoja nakiri kushindwa. Wakati mwingine ninajifanya kushindwa hoja nikigundua ni maelezo ya kibishi hivyo kwa makusudi huwa na mshawishi mleta ubishi afafanue ubishi wake ili ajimalize! Sikutishi!katikati au chini ni kwa kubahatisha tu.
nimeisoma habari yote, hakuna hata ushahidi wa picha konyesha hao raia walionfunikwa na vifusi. Neo nazi walipoua raia kule bucha wakatengeze uongo mbona walioonyesha!? Hapa aljazeera anamuogopa nani!?Kwa jicho la tatu, watu walijificha kwenye basement!ventured inside to see what she could salvage from her apartment retrieved a blue bird, still in its cage
Abstract imekushinda? Pole!mataifa kujiunga na NATO: hujajibu.
Sema: nani alihamasisha
Nasubiri utaalamu wako wa historia ya Urusi juu ya jambo hili.inaonyesha hujui historia ya Urusi
Hata hivyo, Wakati unaandaa historia ya russia unayoitaka naomba nikupe maelezo haya.Yote mengine ni maeneo ya makaloni yaliyovamiwa na Urusi katika karne zilizopita.
Mkuu Vipi kuhusu walevi, wauaji, Wala rushwa, waongo, matapeli, ki-biblia ushoga hauna tofauti na Uongo, uuaji, wizi , ulevi nk...Mimi ningekuwa serikali.nakamata mashoga na lazima wawataje wanaowafanja tena unawaweka kwa gazeti/public. Mashoga unawashtaki.Anyway Mungu tusaidia inauma sana jamani hasa ukiwa mzazi unaona.litoto la kiume jinga tu
Kwahiyo we unaforce watu wapende upande wako ambao wahisi Ni sahihi?
Uhuru wa kimtizamo Ni Jambo la kibinafsi i'la tu Uhuru huu usiwe na athari za nje ya uwanja huu.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Wanaomzunga Putin ni wabaya zaidi wengine wanataka waipige hata marekani na Poland ila busara za Putin zimezuiaUpande wa magharibi waombee tu mungu amchukue putin, ndio ponapona yao, huenda sub yake ikafeli. La sivyo kazi wanayo