Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Usikute jamaa ndo aliyeshika sahani hapo
Hii nadhan Ni mojawapo ya tweet yenye dhihaka zaidi kutoka serikali ya putin[emoji16]View attachment 2287789
Hatari kubwa Ukrein kwa sasa
Ukrainian media says the country is under its largest attack ever right now
Ninachokiona Kwa asilimia kubwa viongozi wa NATO na EU wataachia ngazi kama kukubali kuwa wameshindwa na kuna viongozi wapya watakaokuja kumaliza tofauti zao na Russia, na hili linatakiwa kufanyika mapema kabla ya majira ya baridi hayajafika, mpaka kipindi cha baridi kinafika tayari wawe na uhakika wa nishati kutoka urusi, naiona urusi ikienda kuvunja rekodi ya kuuza nishati duniani
Ndege mnaofanana lazima mruje pamoja. Tunawaelewa.Mimi nashangaa watu wanawalaumu.mashoga
Marekani amewakoromea Canada kwa kurudisha pangaboi la urusi ujerumani,
Baada ya hapo,
Waziri wa nishati Canada na msemaji wa serikali ya canada wakasema,
Lengo lao sio kuisupport urusi kuivamia ukraine.
Bali Ni kuagalia maisha ya ujerumani na bara la ulaya waendelee kupata gesi kuelekea katika kipindi hiki kigumu wanachoitegemea urusi kwa kiwango kikubwa cha nishati.
My take:
Marekani Hana Lengo zuri na serikali za nchi za ulaya,Tafsiri yake Ni marekani anafurahia maisha magumu ya watu wa ulaya kwa chuki yake na serikali ya Russia.
View attachment 2287784View attachment 2287786
Na Boris Johnson mguu ndani mguu nje - nina imani kwamba mahasimu wote wa Putin huko Ulaya na USA wataondoka wenyewe kwenye madaraka mmoja baada ya mwigine watakapo shindwa njama zao za kuangusha Serikali ya Putin/Urusi.‼️🇺🇸👴📉Biden's rating reaches record low‼️
‼️29% of voters approve of US president’s performance, Civiqs daily tracking survey has shown‼️
📈👴USA inflation soon will be higher than Biden's rating(speaking of official inflation,because inflation is much higher)
Amazing! Russia has shown incredible regard to humanity in this war from the very beginning--more than all of NATO combined.Mfano tukasema kwamba lengo la hii military operation ni kuondoa tishio la kiusalama kwa Urusi. Sio mfano bhana ndio lengo kuu.
Focus kwenye lengo, lengo sio kuisambaratisha Ukraine nzimanzima na kuua waukraine wote. La. Lengo ni demilititarization ndio la msingi, uharibifu mwingine na raia wengine ni collateral damage. Ulitaka wapigwe mabomu ya maangamizi ndio ufurahi? Ndio wale wanasema usiponipiga unaniogopa, uwezo upo lakini sio lengo la msingi hilo. Na inabidi uwe mjasiri na mwenye nguvu unayejiamini kuweza kushinda kishawishi cha kukazabua kadogo kanakotaka ukapige ili kajilize.
Kuonesha kuwa hii ni fact ni kwa nini raia wanazidi kupewa uraia wa Urusi kila kukicha? Naweza sema Urusi inawapenda Ukraine kama baba kwa mwanae ndio maana haijavumilia ujinga kuwaacha wajifanyie wanachotaka hata kama si salama. Na kuwaadhibu inapobidi kuondoa upumbavu.
The LOGIC is clearly pertinent: If they have negotiated with Putin, and they never negotiate with terrorists, then, simply and concisely, Putin is not a terrorist!Baada ya Biden kumuita Putin Ni terrorist,
Akaja na sanctions na kusisitiza hawezi kunegotiate na terrorist,
Sahivi gesi imekatwa kdg ulaya,
watu wanahaha na Canada wameamua kuchutamana na kurudisha pangaboi la gesi huduma iendeee.
Wadau huko ulaya wanamuuliza biden,
"Mzee vipi, ule msemo wetu wa huwa hatujadili na magaidi imekuaje Tena?" [emoji38]View attachment 2287791
Hii nadhan Ni mojawapo ya tweet yenye dhihaka zaidi kutoka serikali ya putin[emoji16]View attachment 2287789
Yaani mpaka leo haka kainchi saizi ya mkoa kamewashinda kufumua, tena kajirani kadogo tu hapo Urusi......miezi miine supapawa wa mchongo amepoteza hadi majenerali, meli kubwa ya kivita na kila aina ya hasara ila kainchi bado kapo tu, yeye ameambulia tumiji twa huko mipakani.
![]()
White people wanahimili pesa tu.WE NEED MORE SANCTIONS
Na wamesindikiza na picha ya 🐻 akiwa kwenye theluji.
Sisi ni kina nani 😂😂😂
Hapa kuna la kujifunza kwa sisi ngozi nyeusi tuna himili maradhi,joto kali,baridi kali,dhiki kuu na njaa kali.
Vs weupe tunaambiwa ni nyoronyoro hawaimili kitu kuanzia maradhi,hali ya hewa,dhiki kuu na njaa.
Tegua kitendawili hiki.
Naona hackers wa Russia wameanza kuzijam hadi rockets[emoji777][emoji573]Elon Musk's SpaceX rocket caught fire on the launch pad at the start of testing[emoji777]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona hapo supapawa ni mmoja tu. Wengine ni makanjanja ya NATOBila kusahau mkakati wa kuja kumpa za uso Russia.
😂😂😂😂Ndio utamu wa masupa pawa hawakai chini kulia wanapangusa mavumbi maisha yanaendelea.