Mwambie kuna dili la kupeleka kuni Ulaya. Aanze kuandaa. wataondoa kikwazo kimoja badala ya kingine ndio watajua maana ya siku tatuHii vita ipo strategic, haitakiwi kuisha mapema kama unavyofikiria wewe, wait and see show
Mwambie kuna dili la kupeleka kuni Ulaya. Aanze kuandaa. wataondoa kikwazo kimoja badala ya kingine ndio watajua maana ya siku tatuHii vita ipo strategic, haitakiwi kuisha mapema kama unavyofikiria wewe, wait and see show
Haya matusi sasaPutin says the West already lost its confrontation with Russia, and now a fundamental and irreversible breakdown of the American-led liberal order is well under way.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mfano tukasema kwamba lengo la hii military operation ni kuondoa tishio la kiusalama kwa Urusi. Sio mfano bhana ndio lengo kuu.
Focus kwenye lengo, lengo sio kuisambaratisha Ukraine nzimanzima na kuua waukraine wote. La. Lengo ni demilititarization ndio la msingi, uharibifu mwingine na raia wengine ni collateral damage. Ulitaka wapigwe mabomu ya maangamizi ndio ufurahi? Ndio wale wanasema usiponipiga unaniogopa, uwezo upo lakini sio lengo la msingi hilo. Na inabidi uwe mjasiri na mwenye nguvu unayejiamini kuweza kushinda kishawishi cha kukazabua kadogo kanakotaka ukapige ili kajilize.
Kuonesha kuwa hii ni fact ni kwa nini raia wanazidi kupewa uraia wa Urusi kila kukicha? Naweza sema Urusi inawapenda Ukraine kama baba kwa mwanae ndio maana haijavumilia ujinga kuwaacha wajifanyie wanachotaka hata kama si salama. Na kuwaadhibu inapobidi kuondoa upumbavu.
♨🤣🤣🤣🤣Hii nadhan Ni mojawapo ya tweet yenye dhihaka zaidi kutoka serikali ya putin[emoji16]View attachment 2287789
Ona sasa bahati mbaya umethibitisha kauli yake kuwe wewe haupo logical.
Umejikita katika msingi wa kwamba hao quora, wazungu na waarabu ni watu bora kuliko wanaopatikana JF!! Hii ni fallacy
Mbona wengine tunawaona watu wenye mi IQ mikubwa mno humuhumu Jf wengi tu? Au ndio ukweli kwamba inabidi uwe jiniazi ili kumtambua jiniazi😂😂. Itabakia kuwa kweli utawaona watu vile ambavyo wewe NI. Ukiwaona wa humu uwezo mdogo, wewe ndio uwezo mdogo....... ukiwaona wabaguzi/wadini basi jua wewe ndio mdini sasa.
Kwa sasa Ukraine ni eneo la kutestia vifaa mbalimbali vya kivita.
Sio mbaya vijana wetu wa ngerengere wakaangalia cha kupeleka.
Harafu anakuja mkenya mmoja na njaa zake anasema Urusi inapigana vita, Vita gani hadi unamlipa mshahara na pensheni opponent wako?Mrusi ni mjanja hatari anaanza kujenga Imani kwa wananchi.
[emoji635][emoji1255] Salaries to state employees, as well as pensions, will begin to be paid in the liberated territories of the Kharkiv region in July, people will receive money in two months - Vitaly Ganchev, head of the region's interim civil administration.
He he he hapo ni "if and only if" nauli za kuja huku wanazo [emoji23].Kabisa mkuu
Chakufanya afrika Tujiandae kupokea wakimbizi kutoka ulaya kipindi Cha winter[emoji38]
Nanukuu tu kutoka kwenye taarifa ya WarusiHii nadhan Ni mojawapo ya tweet yenye dhihaka zaidi kutoka serikali ya putin[emoji16]View attachment 2287789
Hii vita ipo strategic, haitakiwi kuisha mapema kama unavyofikiria wewe, wait and see show
Hivi hujiulizi kwamba tungekubomoeni kwa siku moja ama tatu za kwanza, howitzers za Marekani na vifaru vya NATO silaha zingine kibao plua strategic military equipment zilizoingizwa, tungezipataje?
Marekani na NATO zingekulaje hasara ya mabilioni ya dola?
Joe Biden na viranja wake wasaidizi wa Ulaya wangeumbukaje?
Boris Johnson angejiuzuluje?
Plus many changes ambazo Putin amezisababisha.
Nasikia bomba la mafuta mmeamua turbine machine irejeshwe mara moja!
Are you blind?
Kachemka..Urusi ndiye alifikiria ni operation ya mda mfupi, sasa inamtoka puani, akienda mbele noma, akirudi nyuma noma....
Ohh kumbeee .Mimi nilikuwa napita huko kuwapa support ya LIKE lakini since kuondoka JPM nilikosa hata nguvu ya kupita huko POLENI SAANA AISE
Hivi hiyo sentensi backs umeielewa? Au umekurupuka kuileta katika kiswahili?Marekani amewakoromea Canada kwa kurudisha pangaboi la urusi ujerumani,
Baada ya hapo,
Waziri wa nishati Canada na msemaji wa serikali ya canada wakasema,
Lengo lao sio kuisupport urusi kuivamia ukraine.
Bali Ni kuagalia maisha ya ujerumani na bara la ulaya waendelee kupata gesi kuelekea katika kipindi hiki kigumu wanachoitegemea urusi kwa kiwango kikubwa cha nishati.
My take:
Marekani Hana Lengo zuri na serikali za nchi za ulaya,Tafsiri yake Ni marekani anafurahia maisha magumu ya watu wa ulaya kwa chuki yake na serikali ya Russia.
View attachment 2287784View attachment 2287786
Unapenda kweli ubishani wa kidini lakini wapi wanachangia topic tu. Na hii haitabadilisha Jambo kichapo kinaendeleaAkba akbar ala