Marekani amewakoromea Canada kwa kurudisha pangaboi la urusi ujerumani,
Baada ya hapo,
Waziri wa nishati Canada na msemaji wa serikali ya canada wakasema,
Lengo lao sio kuisupport urusi kuivamia ukraine.
Bali Ni kuagalia maisha ya ujerumani na bara la ulaya waendelee kupata gesi kuelekea katika kipindi hiki kigumu wanachoitegemea urusi kwa kiwango kikubwa cha nishati.
My take:
Marekani Hana Lengo zuri na serikali za nchi za ulaya,Tafsiri yake Ni marekani anafurahia maisha magumu ya watu wa ulaya kwa chuki yake na serikali ya Russia.
View attachment 2287784View attachment 2287786