Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa mara ya kwanza toka miaka 20 iliyopita siku ya leo thamani ya dola na Euro iko sawa.

Baada ya bomba la gas kusimama kwa ajili ya matengenezo.

Mfano leo ukimnunua Ronaldo kwa Euro 15 itakua sawa na Dola 15.


1 dollar equals to 1 Euro leo tarehe 12/7/2022
Maana yake nini MKUU
Tuongezee nyama kwenye hii koment
 
Mzee mzima, Andunje anaendelea kuzalilika🤔

Ukraine na Urusi: Silaha za Urusi zilizotekwa na Ukraine zawekwa katika maonesho​

Silaha za NATO alizokamata Urusi unajua kwa nini husikii zikitumika? Subiri hii operation iishe uone uwendawazimu wa Putin, hizo silaha zitasambazwa kwa makundi ya kigaidi zitumike Ulaya.

Tukiwaambia Putin yule mtu ana akili Sana muwe mnaelewa, kwanza ameruhusu wapiganaji wa kutoka nchi za kiarabu kumsaidia na lengo kubwa sio kumsaidia ni kupata urahisi wa kuingia ulaya. Pili, anakamata maelfu ya silaha bila kuyatumia maana yake anahifadhi kwa ajili ya kesho.

Tatu, anataka NATO iingie mazima ili iwe rahisi kupenyeza magaidi .

Njia ya nne, atatumia gesi na mafuta kutengeneza mgogoro mkubwa ulaya kati ya Serikali na wananchi, siku zijazo mgogoro huo utaambatana na maandamano na vurugu kubwa Sana ulaya na hapo Russia ataweza kupenyeza magaidi na kutengeneza hofu kubwa Sana.

Tano, Serikali ulaya zitaanguka Sana na mwisho wa mchezo Putin the Mastermind ataibuka mshindi.
 
Kwa mara ya kwanza toka miaka 20 iliyopita siku ya leo thamani ya dola na Euro iko sawa.

Baada ya bomba la gas kusimama kwa ajili ya matengenezo.

Mfano leo ukimnunua Ronaldo kwa Euro 15 itakua sawa na Dola 15.


1 dollar equals to 1 Euro leo tarehe 12/7/2022
Huu Umoja wa EU sina hakika kama una maisha marefu, kuporomoka kwa Euro ni pigo kubwa hasa kwa largest economies kama Germany, Italy, France and Spain.

While Euro is falling, kinachoshangaza Sterling Pound na Dollar zinaendelea kua strong against Euro.

Hivi sasa tangu 24th feb kuanza kwa hii Operation hadi leo, Euro imepoteza 12% ya thamani yake against fedha yetu Tsh. Kwa wale ambao hupendelea kuweka savings kwa fedha za kigeni najua wanaugulia pole pole.

Zile Currencies maarufu ndani ya hii miezi zipo kama hivi against fedha yetu hapa Tanzania.
🔸1EURO kutoka 2,659tsh to 2,342tsh... Pungufu ya 317tsh hivi sawa na 12%

🔸1USD kutoka 2,315tsh to 2,330tsh... Ongezeko la 15tsh hivi sawa na 0.6%

🔸1GBP kutoka 3,096tsh to 2,765tsh... Pungufu ya kama 331tsh hivi sawa na 10.6%

Sasa kupanda ama kushuka kwa thamani ya sarafu ni jambo la kawaida lakini percentage za kushuka zinapokuwa kubwa ni hasara hasa linapokuja issue zima ya kutaka kufanya exchange.

Fikiria ukubwa wa anguko la 10% lilivyo, kihesabu nyepesi ni kua kama ulikuwa na Mil 100, basi Mil 10 zimefutika. Now upo na Mil 90.

Kuna kauli aliwahi kuizungumza Henry Kissinger, that:- "To be an enemy of the US is dangerous, but to be a friend is fatal". Na of course haya ndio tunayojionea hivi leo.

Hapo what he was trying to suggest ni kwamba kama you are an American enemy then that can be a danger but at least you know where you stand. But if you are a friend then the US will destroy you - not necessarily from malice but because of how America operates.

Rejeeni alivyokuwa anawaambia EU wasusie energy ya Urusi, huku yeye nyuma ya Pazia anaongeza manunuzi.

So tunaweza kusema Henry Kissinger is definitely right and could not be more right in what he said. US ni war mongering nation.

Kuna speech moja ya Jimmy Carter, Rais wa zamani wa US. Katika hotuba yake kuna maneno haya...

"Since 1979, do you know how many times China has been at war with anybody?" Carter asked halafu akajijibu "None. And we have stayed at war."

The U.S. has enjoyed only 16 years of peace in its 242-year history, making the country "the most warlike nation in the history of the world,"
Carter said.

Na akasema kua yote hayo ni kwasababu ya America's tendency to force other nations to "adopt our American principles."

Zaidi kuna research ya NGO ya hapo hapo US inaitwa CODEPINK ambao ni anti-war group, wanasema since 2001, the US and its allies have dropped on an average 46 bombs daily on other countries.

Kinachofurahisha ni kua, katika harakati zote za kivita, wahangwa wakubwa ni allies wake.

Hali ilivyo sasa,

🔸Currency zote kubwa zime-drop against Dollar. Of all currency iliyopea zaidi dhidi ya USD ni Ruble ya Russia tu.

🔸Katika uwiano nilio-uainisha hapo juu, mmeona GBP na EURO zimepoteza over 10% of their value ila USD imetulia. Hii ni kama kusema kuna upotevu wa over 10% ya thamani katika wale walio weka akiba zao kwenye fedha I mean Euro na Pound kwa hapa TZ.

So kama mtu aliweka Billion 1 in Euro au Pound mwezi February hivi sasa ana less than Mil 900 😂

🔸 Tunakazia tena, Henry Kissinger was right, that- kua friend wa US is fatal. Em fikirieni vile kawashawishi EU ku-weaponize their currency kama anavyo-fanya yeye ambayo imepelekea Russia akaiondoa kwenye mauzo yake ya Gas kutoka kwenye nchi hizo na kulazimisha matumizi ya fedha yake mwenyewe (Ruble)

As a result, demand ya hiyo fedha imepungua na kupelekea thamani yake pia kushuka. Waswahili huwa tuna ule msemo unasema "Usiige kunya kwa tembo, Utapasuka msamba".

🔸Majuzi kati tumeona trade route ya St. Petersburg kwenda india ikibadilishwa na sasa itakuwa inapitia Iran. Trade route mpya ambayo haitakuwa na mdudu anaitwa SWIFT, wala Currencies zinazoitwa EURO, USD ama GBP.

Later kama Russia akitimiza alichokizungumza kuhusu mauzo ya bidhaa zingine to unfriendly countries ambao majority in EU yawe katika Ruble, hii itaongeza speed ya Euro kwenye mteremko.

Na huenda in years to come mataifa mengi ya EU yatarudi kutumia National currencies zao badala ya hii fedha ya Muungano.

Mtazamo wangu juu ya hili... Hii self destruction ya mataifa ya Ulaya kupitia viongozi wao na ile Russophobia wanayo-jipandikiza kila kukicha basi huenda haya mataifa yataendelea kua vibaraka wa Washington miaka nenda rudi.

Kwanini? Kwasababu mbali ya kua home of largest financial institutions, hawana cha kujivunia ukiutizama uchumi wao kwenye kipengele cha "Supply chains". Uhai wa nishati, ambao ndio uhai wa uchumi wao unategemea imports kutoka nje.

Wakizidisha chuki dhidi ya Russia maana ake itabidi wageukie mataifa mbadala. Cha kusikitisha katika mataifa mbadala mengi yaliyo karibu, wao na boss wao US wameyapiga sanctions zisizo na kichwa wala miguu.

Yaliyo rafiki kama Australia Canada na US mwenyewe yako mbali hivyo Cost ya Energy kua juu zaidi. Sasa katika mataifa yanayoongoza kwa kua na High Tax ni wao, Swali hapo. Je Investors na Makampuni yataweza kujiendesha kwa faida au hasara? Jibu ni jepesi tu kwamba ni hasara.

Kitachofuata ni makampuni hayo kuhama na kupeleka shughuli zao watakapo ona wanaweza kujiendesha kwa faida.

Hivyo wao EU watabaki kwenye kikwapa cha Washington waendelee kupewa huduma 😂.

Life liko speed sana.
 
Lengo kuu lilikua kumpindua Zelensky na kuweka stooge wa Urusi, tatizo intelijensia ya Urusi haikua na taarifa vizuri ya walivyokua wamesubiriwa, kilichoakuta pale Kyev watakikumbuka vizazi kwa vizazi.
Kyev ipi ile ambayo hadi sasa Warusi wanashtakiwa kwa mass grave. Mbona unajitoa ufahamu. Watu wamekutwa miili maelfu kwenye mashimo halafu useme walikimbia. Ni sawa snake island wameondoka Ukraine wakaja wanadhani wanakimbiwa kumbe wajae wanyeshewe mvua ya phosphorus bombs
 
Kwa mara ya kwanza toka miaka 20 iliyopita siku ya leo thamani ya dola na Euro iko sawa.

Baada ya bomba la gas kusimama kwa ajili ya matengenezo.

Mfano leo ukimnunua Ronaldo kwa Euro 15 itakua sawa na Dola 15.


1 dollar equals to 1 Euro leo tarehe 12/7/2022
Putin atunukiwe nishani ya juu kabisa hapa duniani ,zaidi ya Nobel kwa mambo mawili:
1. Kama Dakatari bingwa aliemaliza ugonjwa wa Corona.

2. Kama mchumi aliepandisha thamani ya Rubo na kushusha thamani ya dola na Euro na kushusha uchumi wa nchi za Magharibi kwa pamoja.
 
Kyev ipi ile ambayo hadi sasa Warusi wanashtakiwa kwa mass grave. Mbona unajitoa ufahamu. Watu wamekutwa miili maelfu kwenye mashimo halafu useme walikimbia. Ni sawa snake island wameondoka Ukraine wakaja wanadhani wanakimbiwa kumbe wajae wanyeshewe mvua ya phosphorus bombs

Haijalishi, kimsingi Ukraine walisimama kidete na kulinda mji mkuu wao, huo ndio ujasiri sio kama wale waarabu wenu waliachia Baghdad na Tripoli zikakojolewa.
 
Haijalishi, kimsingi Ukraine walisimama kidete na kulinda mji mkuu wao, huo ndio ujasiri sio kama wale waarabu wenu waliachia Baghdad na Tripoli zikakojolewa.

"Baghdad na Tripoli zimekojolewa"

Kule WEST GATE alshabab walifanya nini?

Ni hivi RUSSIA chini ya utawala wa PUTIN kyve "INATWALIWA"

Linganisha mkojo (us) na kupakatwa(Russia).

#JIBU MOJA TUU.
 
[emoji777][emoji573]Elon Musk's SpaceX rocket caught fire on the launch pad at the start of testing[emoji777]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha yaungue si hawataki kushirikiana na Mrusi
 
[emoji22][emoji22] Mwanamitindo huyo wa Brazil ambaye pia ni sniper ameripotiwa kuuliwa na vikosi vya Urusi huko Ukraine alikoenda kujitolea msaada wa kijeshi upande wa Ukraine

Thalito do Valle(39) amefariki ikiwa ni wiki tatu tu tangu afike Ukraine

Mwanamitindo huyo alishapitia mafunzo ya sniper ambapo kipindi cha nyuma alienda katika mapigano dhidi ya ISIS huko IraqView attachment 2287585
Alikuwa na jicho tamu sana aisee!.
 
Back
Top Bottom