Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
.
Wanasema, ogopa sana kupambana na desperate, hard-headed individual. Anaweza kujing'ata mwenyewe, akatema damu kisha akadai umemchoma kisu.Mchekini huyu Punga nae eti anasema atailipizia kisasi N.Korea kwa kuitambua DPR na LPR[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Zelensky threatened North Korea with harsh consequences for its ecognition of the DPR and LPR. https://t.co/OL4sDdsxMi
Kwenye kusema kwako no,Kumbuka Zelensky alisema amepoteza pilots wengi sana kwenye hii vita!
Agiza udongo wa pemba nakuja kulipaUrusi ina hali ngumu sana mpaka kusajili mamluki[emoji848]
Vita vya Ukraine: Maeneo ya Urusi yasajili watu wa kujitolea kushiriki katika vita
View attachment 2289967
Kushinda vita kwao ni kuua magenerali wa urusi.Au kwa Ukraine maana ya kushindwa vita ndiyo kushinda? Pengine, tusemeje sasa!
Tunajua una akili nyingi, nyingi mno mkuu, sasa fanya kutuletea data timilifu sisi wajinga tufanye ulinganisho acha porojo.
Tumshauri abadili jina, au siyo?Hongera saa mbovu kwa kusema ukweli angalau mara moja.
Maria wamoto kwel kwelHuyu Zakharova, kwa wasiomjua, ndiye anayemshikia Putin kalamu maalumu akitaka kusaini issues ngumu ngumu na nzito nzito za kimataifa. Huyu ni KGB matata haijawahi kutokea Russia.
Apo sawa! Kama ndiyo hivyo, wawavizie kule frontline ama waende directly hadi Moscow, wamejaa kule--then wawafumue mmoja baada ya mmoja, vita viishe, chakula kipatikane nchi ya jirani. Na uchaguzi huu, dah! Kazi wanayo kwelikweli.Kushinda vita kwao ni kuua magenerali wa urusi.
Cairo, Ankara, and Riyadh are all planning to apply for BRICS membership.
Tanzania tunasubiri nini!?
Samahani MKUU uliaminije kwamba kweli UKRAINE walisema kweli kwamba hawana ndege hata moja nasio propaganda!!?Sio kila kitu una weza kuwa na alternative.In the case of data ya millitary ya Ukraine you can make an intelligent analysis.Juzi tu hapa Ukraine walikuwa wanalilia hawana millitary hardware,hata ndege mpaka Poland wakaahidi watawapelekea Mig.29,Marekani wakakata,leo wawe wamepata so many aircraft,tanks etc.!See this[emoji116],a big no.
"In total, 249 Ukrainian airplanes and 137 helicopters, 1,534 unmanned aerial vehicles, 354 anti-aircraft missile systems, 4,050 tanks and other armored combat vehicles, 744 multiple launch rocket systems, 3,145 field artillery and mortars, as well as 4,292 units of special military vehicles were destroyed during the operation[emoji118]"
It's simply impossible,this is common sense.
Kuna member mmoja JF amesema kwa usahihi kwamba isingekuwa busara za Putin, basi Poland, Marekani na NATO kungeshawaka moto kitambo.Maria wamoto kwel kwel
Hua anaqauli flan hv ngumu ngumu tu yaani
Hawa ndio aina ya watu ambao hawazunguki zunguki kutaka kukiongelea hapana
Huyu mwanamama niaina flan ya watu ambao wanakuja direct kwenye point husika
Anaupiga mwingi kwel kwel
PUT IN
Maria
Lavrov
Shoigu
Nahuyu msemaji wawizara yaulinzi hawa watu bana kwakisi flan hua napenda kuwasikiliza nakuwafuatilia
Ingawaje kwauchache waundani nimemfuatilia zaidi PUT IN
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wanasubiri kupewa kondom za msaadaCairo, Ankara, and Riyadh are all planning to apply for BRICS membership.
Tanzania tunasubiri nini!?
Malizieni hapa
The United States is sincerely convinced of its primordial right to decide for other states, with whom to be friends, whom to obey, with whom to trade, to whom to pay tribute and to whom to kneel ... , sort of "provincial fools") and "unclean", against whom open or secret, but always well-funded wars are unleashed.
And in some cases, they cynically make open decisions about their physical liquidation. Without hesitation, they simply give a public order to destroy a foreign leader. As was the case with Cuba and the Castro brothers (albeit unsuccessfully) or Saddam Hussein in Iraq. Or more recently with one of the Iranian officials - Qasem Soleimani.
And there are countless examples...
Inside itself, America also allows itself anything. Even that for which he so fiercely criticizes any opponents - with or without reason. Pressure on electoral processes. Corruption and sex scandals. Social injustice, xenophobia and propaganda demagogy. Unrighteous Judgments.
The coming to power of weak, absurd elders burdened with odious family ties. This is considered in order. And it's understandable why it works that way.
After all, the whole world is an extras, which is conducted by the notorious deep state, the "deep state" - powerful shadow groups of influence on economic and political processes. A hundred times more powerful than all US partners combined.
In the vastness of other countries and continents, Americans have been striving for more than a century to appropriate the exclusive "right of force", in words demonstrating respect for international or sacred law.
The Americans really believed that any of their deeds, even the most wild, cruel and unseemly, would still receive indulgence in the end. They will write it to themselves. Therefore, bombings, executions, coups in other states with the support of the United States - please, any whim for money with portraits of presidents.
There are enough banknotes, they can always be reprinted. As well as foresight - America keeps the emission to itself, but prefers to wage wars "on a visit" and preferably by proxy.
National pride multiplied by stupid, boorish and self-confident force is a very dangerous thing. Is this not a red carpet to Nazism? Modernized Nazism version of the light of the XXI century.
However, the farther, the more difficult it is for fat "boars from the barnyard" to dictate their own rules to the rest of the planet. Excessively inflated, unjustified imperial ambitions are a sure sign that the empire, beefy and insolent from its impunity, does not have very long to live.
This is how it always happened. We can continue to continue to firmly believe in the US Mission and the exceptionalism of their people. But this is unlikely to help when the world order they are imposing finally collapses.
The world, ready to live according to Anglo-Saxon rules, is shrinking and shrinking. Not even money and nuclear warheads help. Maybe because the power is completely different...
Huu ujumbe kwa wafatiliaji wa mambo kuna mambo mengi ya kuyachukua mkajifunze kwa mapana
Sio kila kitu una weza kuwa na alternative.In the case of data ya millitary ya Ukraine you can make an intelligent analysis.Juzi tu hapa Ukraine walikuwa wanalilia hawana millitary hardware,hata ndege mpaka Poland wakaahidi watawapelekea Mig.29,Marekani wakakata,leo wawe wamepata so many aircraft,tanks etc.!See this[emoji116],a big no.
"In total, 249 Ukrainian airplanes and 137 helicopters, 1,534 unmanned aerial vehicles, 354 anti-aircraft missile systems, 4,050 tanks and other armored combat vehicles, 744 multiple launch rocket systems, 3,145 field artillery and mortars, as well as 4,292 units of special military vehicles were destroyed during the operation[emoji118]"
It's simply impossible,this is common sense.
Samahani MKUU uliaminije kwamba kweli UKRAINE walisema kweli kwamba hawana ndege hata moja nasio propaganda!!?Sio kila kitu una weza kuwa na alternative.In the case of data ya millitary ya Ukraine you can make an intelligent analysis.Juzi tu hapa Ukraine walikuwa wanalilia hawana millitary hardware,hata ndege mpaka Poland wakaahidi watawapelekea Mig.29,Marekani wakakata,leo wawe wamepata so many aircraft,tanks etc.!See this[emoji116],a big no.
"In total, 249 Ukrainian airplanes and 137 helicopters, 1,534 unmanned aerial vehicles, 354 anti-aircraft missile systems, 4,050 tanks and other armored combat vehicles, 744 multiple launch rocket systems, 3,145 field artillery and mortars, as well as 4,292 units of special military vehicles were destroyed during the operation[emoji118]"
It's simply impossible,this is common sense.
Excessively inflated, unjustified imperial ambitions are a sure sign that the empire, beefy and insolent from its impunity, does not have very long to live.
This is how it always happened. We can continue to continue to firmly believe in the US Mission and the exceptionalism of their people. But this is unlikely to help when the world order they are imposing finally collapses.
Nilitumia sources zingine.Halafu mimi huwa siamini taarifa za Ukraine, never,mbona cocaine pushers tu hao.Huwa siamini pia taarifa za Mainstream Media.Halafu ili taarifa niiamini,lazima itoke kwenye sources tofauti,tena Independent Media.Samahani MKUU uliaminije kwamba kweli UKRAINE walisema kweli kwamba hawana ndege hata moja nasio propaganda!!?
Sisemi kama RUSSIA wapo sahihi hapana ila maana yangu nikwamba hata wao UKRAINE wanaweza wakawa hawakua sahihi waliposema hvyo nawalisema sio kwabahati mbaya bali kwamalengo maalum eidha kuvutia msaada zaidi nk
RUSSIA walisema wanaenda kufanya demilitarization ndani ya UKRAINE unajua kwanini
Walijua kabisa kwamba UKRAINE wamejazwa wakajazika
Walijua kabisa kwamba UKRAINE ikiachwa kama ilivyo miaka kadhaa mbele itakua tishio dhidi ya RUSSIA
Hii inayoendelea UKRAINE nimaana halisi ya demilitarization yaani UKRAINE itakua wazi kama UTUPU wa MBUZI kiasi kwamba hata KRYGZSTAN wanawaweza hao UKRAINE nakama itakuepo UKRAINE yenyewe
Hawa jamaa kadri wanavyokaza mabichwa ndio kadri UKRAINE inavyoondoka ujue
Pengine naweza nisiamini saaana kwenye kufutwa UKRAINE ila kwahali ilivyo inaelekea huko ila acha tuone!!!
RUSSIA SIO ZIMBABWE
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
MathanzuaHongera saa mbovu kwa kusema ukweli angalau mara moja.
Kabisa MKUU kama sio PUT IN kuna mataifa leo hii yangekua tabuni kweli kweli yaaniKuna member mmoja JF amesema kwa usahihi kwamba isingekuwa busara za Putin, basi Poland, Marekani na NATO kungeshawaka moto kitambo.
In short, wanashangaa kwa nini Putin anawafanyia ubinadamu wakati wao ni issue ya unyama na ukatili dhidi ya Russia?
Kabla ya Putin kutangaza majeshi yake kuingia Ukraine kwenye MO, aliwasilisha listi ya masharti (actually makubaliano ya awali ya mkataba).
Alichojibiwa Putin ni siri yake na inner circles wake. Ndiyo maana haikuwekwa public hata kidogo. Hii ni hatari sana kwa taifa linalodai kusimamia misingi ya demokrasia. Demokrasia ni kusikiliza pamoja na kusikilizwa pia.
Sasa huyu jahili wa Magharibi yeye anataka kusikilizwa mwenyewe then baada ya kufanya maamuzi yeye, yafuatwe kama apendavyo yeye. Nonsense!
Sawa MKUU shukranNilitumia sources zingine.Halafu mimi huwa siamini taarifa za Ukraine, never,mbona cocaine pushers tu hao.Huwa siamini pia taarifa za Mainstream Media.Halafu ili taarifa niiamini,lazima itoke kwenye sources tofauti,tena Independent Media.