Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wanasema, ogopa sana kupambana na desperate, hard-headed individual. Anaweza kujing'ata mwenyewe, akatema damu kisha akadai umemchoma kisu.

Kila mtu anajua Zelensky strategy yake ni ile ambayo wengi wameiita ^the Samson Strategy^ (tutakufa wote)! Anataka dunia yote ijiingize kwenye vita hivi, na nyuma yake yupo Kiranja Mkuu Mmagharibi mpenda-damu.

Zelensky akilini mwake anawaza kwamba hana la kupoteza wala. Afterall ameshawekwa kwenye list ya heroes--tena na Marekani mwenyewe!

Bomu la Nyuklia lipigwe Afrika ama Ulaya ama Marekani ama hata Sayari ya Mars, yeye hajali. Kitu cha msingi kwake anachopania ni ilimradi tu apate watu wa kufa nao ili afiche aibu na fedheha yake. Huyo ndiye Zelensky, the comedian.

Because, haiwezekani 90% ya nguvu kazi na askari wako na silaha vimekuwa neutralized na kuwa incapacitated, adui akachukua almost nusu ya nchi, lakini bado ana the so-called ujasiri wa kuomba silaha zingine na kudai anashinda vita.

Au kwa Ukraine maana ya kushindwa vita ndiyo kushinda? Pengine, tusemeje sasa!
 
Huyu Zakharova, kwa wasiomjua, ndiye anayemshikia Putin kalamu maalumu akitaka kusaini issues ngumu ngumu na nzito nzito za kimataifa. Huyu ni KGB matata haijawahi kutokea Russia.
Maria wamoto kwel kwel
Hua anaqauli flan hv ngumu ngumu tu yaani
Hawa ndio aina ya watu ambao hawazunguki zunguki kutaka kukiongelea hapana
Huyu mwanamama niaina flan ya watu ambao wanakuja direct kwenye point husika
Anaupiga mwingi kwel kwel
PUT IN
Maria
Lavrov
Shoigu
Nahuyu msemaji wawizara yaulinzi hawa watu bana kwakisi flan hua napenda kuwasikiliza nakuwafuatilia
Ingawaje kwauchache waundani nimemfuatilia zaidi PUT IN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani MKUU uliaminije kwamba kweli UKRAINE walisema kweli kwamba hawana ndege hata moja nasio propaganda!!?
Sisemi kama RUSSIA wapo sahihi hapana ila maana yangu nikwamba hata wao UKRAINE wanaweza wakawa hawakua sahihi waliposema hvyo nawalisema sio kwabahati mbaya bali kwamalengo maalum eidha kuvutia msaada zaidi nk
RUSSIA walisema wanaenda kufanya demilitarization ndani ya UKRAINE unajua kwanini
Walijua kabisa kwamba UKRAINE wamejazwa wakajazika
Walijua kabisa kwamba UKRAINE ikiachwa kama ilivyo miaka kadhaa mbele itakua tishio dhidi ya RUSSIA
Hii inayoendelea UKRAINE nimaana halisi ya demilitarization yaani UKRAINE itakua wazi kama UTUPU wa MBUZI kiasi kwamba hata KRYGZSTAN wanawaweza hao UKRAINE nakama itakuepo UKRAINE yenyewe
Hawa jamaa kadri wanavyokaza mabichwa ndio kadri UKRAINE inavyoondoka ujue
Pengine naweza nisiamini saaana kwenye kufutwa UKRAINE ila kwahali ilivyo inaelekea huko ila acha tuone!!!
RUSSIA SIO ZIMBABWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna member mmoja JF amesema kwa usahihi kwamba isingekuwa busara za Putin, basi Poland, Marekani na NATO kungeshawaka moto kitambo.

In short, wanashangaa kwa nini Putin anawafanyia ubinadamu wakati wao ni issue ya unyama na ukatili dhidi ya Russia?

Kabla ya Putin kutangaza majeshi yake kuingia Ukraine kwenye MO, aliwasilisha listi ya masharti (actually makubaliano ya awali ya mkataba).

Alichojibiwa Putin ni siri yake na inner circles wake. Ndiyo maana haikuwekwa public hata kidogo. Hii ni hatari sana kwa taifa linalodai kusimamia misingi ya demokrasia. Demokrasia ni kusikiliza pamoja na kusikilizwa pia.

Sasa huyu jahili wa Magharibi yeye anataka kusikilizwa mwenyewe then baada ya kufanya maamuzi yeye, yafuatwe kama apendavyo yeye. Nonsense!
 
Medvedev mtu aliyetumika kama "pawn" katika kutengeneza mpango wa kumfanya dikteta Putin kuwa rais wa maisha wa Russia atuambie pia kwa nini balozi za US zimejaa waomba visa kuanzia wanaotaka kufanya kazi, kuishi, kusoma hadi asylum seekers.

Atuambie kwa nini kuna misururu na migogoro ya maelfu ya wahamiaji na wakimbizi katika mipaka ya US na EU hadi baadhi ya wanasiasa wa huko wanatumia suala la wahamiaji kama agenda ya kushinda uchaguzi.

Kwa nini Russia nchi kubwa yenye raia wachache sio kimbilio la wahamiaji kutoka popote?

Kwa nini Warusi wengi wa kila aina wanakimbilia US ila sio kinyume chake?

Kwa nini Urusi inaiba hadi raia wa Ukraine kwa nguvu kuwahamishia sehemu za mafichoni Russia ili wasirudi kwao??
 
Samahani MKUU uliaminije kwamba kweli UKRAINE walisema kweli kwamba hawana ndege hata moja nasio propaganda!!?
Sisemi kama RUSSIA wapo sahihi hapana ila maana yangu nikwamba hata wao UKRAINE wanaweza wakawa hawakua sahihi waliposema hvyo nawalisema sio kwabahati mbaya bali kwamalengo maalum eidha kuvutia msaada zaidi nk
RUSSIA walisema wanaenda kufanya demilitarization ndani ya UKRAINE unajua kwanini
Walijua kabisa kwamba UKRAINE wamejazwa wakajazika
Walijua kabisa kwamba UKRAINE ikiachwa kama ilivyo miaka kadhaa mbele itakua tishio dhidi ya RUSSIA
Hii inayoendelea UKRAINE nimaana halisi ya demilitarization yaani UKRAINE itakua wazi kama UTUPU wa MBUZI kiasi kwamba hata KRYGZSTAN wanawaweza hao UKRAINE nakama itakuepo UKRAINE yenyewe
Hawa jamaa kadri wanavyokaza mabichwa ndio kadri UKRAINE inavyoondoka ujue
Pengine naweza nisiamini saaana kwenye kufutwa UKRAINE ila kwahali ilivyo inaelekea huko ila acha tuone!!!
RUSSIA SIO ZIMBABWE

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 

POWERFUL is an understatement!
 
Nilitumia sources zingine.Halafu mimi huwa siamini taarifa za Ukraine, never,mbona cocaine pushers tu hao.Huwa siamini pia taarifa za Mainstream Media.Halafu ili taarifa niiamini,lazima itoke kwenye sources tofauti,tena Independent Media.
 
Hongera saa mbovu kwa kusema ukweli angalau mara moja.
Mathanzua

Anayo point kubwa sanaa sema kuidefendi ndio mziki inaitaji muda sanaa na ukizingatia unyeti wake na usiri wa mambo ya kijeshi.

Kiualisia Russia hapo alipo ni kama nyati aliyezungukwa na fisi ivyo hiyo ni defense mechanism yake.

Kutoa takwimu za kutisha na propaganda zingine.
Kwa hiki kipindi Ukraine hawezi kusema ni uongo kalipua vifaru 6 ila atasema 600.
Ndio ile kauli inakuja mshindi siku zote ndie muandika history,tena zile habari za kuwashusha hadhi ndio zitakua zenu mlioshindwa.
 
Kabisa MKUU kama sio PUT IN kuna mataifa leo hii yangekua tabuni kweli kweli yaani
Pia hao wamagharibi nahuyo kikaragosi wao wanaohubiri DEMOGHASIA niwakupuuzwa MKUU
Majamaa hawajui loloote kuhusiana na DEMOGHASIA wala hawaiishi ila jamaa wanaangalia maslahi yao mwanzo
Nandio maana hao wapuuzi wanaukaribu zaidi na %kubwa yamataifa wanayosema yanaongozwa kidikteita ULIMWENGUNI tukianzia Mashariki yakati Afrika Ulaya nakwengineko ikiwa tu madikteita hawa wataheshimu maslahi yao
Majamaa wapuuzi sana hao halaf kuna watu eti wanawaona wamaana
Wao wanachokiweza nakukitukuza niushenzi ushenzi tuuuu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitumia sources zingine.Halafu mimi huwa siamini taarifa za Ukraine, never,mbona cocaine pushers tu hao.Huwa siamini pia taarifa za Mainstream Media.Halafu ili taarifa niiamini,lazima itoke kwenye sources tofauti,tena Independent Media.
Sawa MKUU shukran
Umeeleweka vyakutosha sanaaa !!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…