LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
magari yote ya mfumo wa computer yapo hatarini kudukuliwa na hasa yale ya kimarekani,sattelaiti zilizopo juu zinaweza kushambuliwa na urusi hiyo ni hatua kulipiza kisasi vikwazo vya kiuchumi no internet arround the world
 
⚑️ Price of gas in Europe has exceeded $2,000 per 1,000 cubic meters – a surge of over 40%
Jana bunge la EU wanajipa matumaini kwamba nikweli tunategemea ngano na gesi ya urusi lakini tutatumia upepo na RE zingine kuzalishia nishati...
time will tell
 
lini urusi walisema wataimaliza hiyo vita ndani ya siku moja? je kati ya ukraine na libya nani yuko imara zaidi kijeshi?
 
Hackers mshapewa onyo huku mkihak satellites za urusi vita inahamia kwenu
 
Kua member sio ishu, ishu Ni kambi ya jeshi ya USA pale ukraine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
magari yote ya mfumo wa computer yapo hatarini kudukuliwa na hasa yale ya kimarekani,sattelaiti zilizopo juu zinaweza kushambuliwa na urusi hiyo ni hatua kulipiza kisasi vikwazo vya kiuchumi no internet arround the world
Jamani pigeni vyote internet tuachieni tutapata wapi umbea kuna watanzania watakufa kwa msongo wa mawazo. pigeni vyote lakini INTERNET jamani tuoneeni huruma kidogo.
 
magari yote ya mfumo wa computer yapo hatarini kudukuliwa na hasa yale ya kimarekani,sattelaiti zilizopo juu zinaweza kushambuliwa na urusi hiyo ni hatua kulipiza kisasi vikwazo vya kiuchumi no internet arround the world
dah πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…