Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The village of Nebelitsa, Kiev region
View attachment 2136183
yani humu kila mtu na kichwa chake[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mkuu tangu lini Ukraine amekuwa mwanachama wa NATO?
Hawajui kwamba mizinga inatazama au kulenga bara lao.
Umeyatoa wapi haya?? [emoji848]magari yote ya mfumo wa computer yapo hatarini kudukuliwa na hasa yale ya kimarekani,sattelaiti zilizopo juu zinaweza kushambuliwa na urusi hiyo ni hatua kulipiza kisasi vikwazo vya kiuchumi no internet arround the world
Jana bunge la EU wanajipa matumaini kwamba nikweli tunategemea ngano na gesi ya urusi lakini tutatumia upepo na RE zingine kuzalishia nishati...⚡️ Price of gas in Europe has exceeded $2,000 per 1,000 cubic meters – a surge of over 40%
lini urusi walisema wataimaliza hiyo vita ndani ya siku moja? je kati ya ukraine na libya nani yuko imara zaidi kijeshi?Mkuu mi sikatai kuwa Urusi ni taifa kubwa kieneo pengine mara 10 ya Ukraine, sikatai kuwa Urusi ina jeshi kubwa na lenye nguvu zaidi ya Ukraine, pia sikatai kuwa Urusi ana silaha hatari zaidi ya zile za Ukraine. Ila ninachozungumzia hapa ni kwamba Urusi na wapambe wake hawakutegemea kuwa wangepata upinzani mkubwa kutoka kwa vikosi vya Ukraine kwani waliamini kuwa Ukraine ina jeshi dhoofu lisilo na ujuzi wala mbinu, lisilo na silaha wala uwezo wa kujilinda na kujitetea kwa namna yoyote ile. Urusi ilitegemea kuwa baada ya kuanzisha mashambulizi jeshi la Ukraine lingeweka silaha chini na kukimbia huku wakiacha jeshi la Urusi likivinjari katika ardhi yao, na ndio maana kabla mashambulizi hayaja anza Putin alianza kutangaza kuwa anataka wanajeshi wa Ukraine waweke silaha chini ili yeye aingie tu kiwepesi wepesi kama vile mume anaeingia kwenye chumba cha mkewe kula mzigo. Sasa kilichoshangaza wengi ni kwamba jeshi la Ukraine pamoja na udogo wa nchi yao, uhafifu wa vifaa vyao vya kijeshi na udogo wa jeshi lao lakini hawakutii wala kuogopa kauli ile. Ndio kwanza walionesha na wao kujiamini kwa lolote litakalotokea, na kweli kujiamini kwao kumewasaidia maana vita ambayo Russia alitegemea ataimaliza siku moja, leo ina week haijaisha huku Urusi yenyewe ikiwa haijadhibiti kikamilifu mji hata mmoja kati ya miji miwili mikubwa ya nchi hiyo. So hauoni kama mambo bado ni magumu kwa Urusi japo wanajeshi bora na silaha kubwa kubwa?
Kua member sio ishu, ishu Ni kambi ya jeshi ya USA pale ukraineNATO iwe mara ngap mlangoni mwa Russia , Russia anatumia hiyo iwe sababu ya yy kuizuia Ukraine kujiunga NATO ila in reality ana sababu zake zakiuchumi na sio sababu za kiusalama kama anavyojigamba hadharani , Latvia na Estonia ji majirani wa Russia ila pia ni members wa NATO ila Russia did nothing to stop them from joining NATO
Kazi iendelee...[emoji4]Muda huu mji wa kharkiv umetekwa na wanajeshi wa urusi walioshuka na parashuti bbc
Jamani pigeni vyote internet tuachieni tutapata wapi umbea kuna watanzania watakufa kwa msongo wa mawazo. pigeni vyote lakini INTERNET jamani tuoneeni huruma kidogo.magari yote ya mfumo wa computer yapo hatarini kudukuliwa na hasa yale ya kimarekani,sattelaiti zilizopo juu zinaweza kushambuliwa na urusi hiyo ni hatua kulipiza kisasi vikwazo vya kiuchumi no internet arround the world
Miafrica Sisi ni shida Sana acha ibaguliwe tu
hilo ngumu mkuu DUNIA nzima Vikundi au tuseme mahackers wakali kabisa ni warussiaHackers walioclaim kuhack mifumo ya Russia...
Wamekuwa hacked wao[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu anastahili kupewa hifadhi nyumban kwetu 😋😋😋
dah 🤣😂😂magari yote ya mfumo wa computer yapo hatarini kudukuliwa na hasa yale ya kimarekani,sattelaiti zilizopo juu zinaweza kushambuliwa na urusi hiyo ni hatua kulipiza kisasi vikwazo vya kiuchumi no internet arround the world