simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
The President of Ukraine Zelensky reports that they eliminated over 6000 Russian invading troops in Ukraine.
View attachment 2136357
Eti Wameishiwa mafuta na magari ya mafuta nayo yame ishiwa mafuta njianiHv msafara wa putin haujafika tyu kiev
Mfungo wa Kwaresma umeshaanza. Ombea Amani duniani kote. Au hili jina la Yohana ni tofauti na lileHv msafara wa putin haujafika tyu kiev
Kama anawafyeka warusi, mbona hapa Rais huyo huyo analalamika kuwa Russia wanataka kuifutilia mbali Ukraine katika uso wa dunia.The President of Ukraine Zelensky reports that they eliminated over 6000 Russian invading troops in Ukraine.
View attachment 2136357
Haya maneno haikuwa lazima uandike ungeeleweka tu.mbona Mirikani na Israel hawalipi gharama uko wanapovamia, Palestine,afghNstan,Bagdad,iraq,na nchi nyinginee Uyo urusi halipi ata senti tano tena katoa ofa watu waondoke mirikani ye alikuwa anaua na watuu shuut your ffk faki hole
Jina limesadifu maudhui.Hatimaye msafara mzito wa Vladimir Putin umekwama porini - umeishiwa Mafuta na chakula. Ukraine wanajiandaa kusambarisha msafara muda Wowote.
😂
Kama anawafyeka warusi, mbona hapa Rais huyo analalamika kuwa Russia wanataka kuifutilia mbali Ukraine katika uso wa dunia.
Mwambieni aache kulilia kutafuta huruma, apambane, hiyo ndio maana ya vita. Yeye si anadai toka vita ianze Russia ndio yapoteza maelfu ya wanajeshi wake huku Ukraine idadi ya wanajeshi waliokufa haizidi 500.
Tunaendelea kumkimbiza mwizi kimyakimya pasi na kupiga mayowe
View attachment 2136440
21 hours ago · Logistics problems are stalling a massive Russian convoy that's pushing its way toward Kyiv, according to a senior U.S. defense official.
21 hours ago · Logistics problems are stalling a massive Russian convoy that's pushing its way toward Kyiv, according to a senior U.S. defense official.
Hapa in opportunity cost ndiyo imetumika....Russia iumie kiuchumi Sasa au iiruhusu Ukraine ijiunge na Nato na hivyo kuja kuipigia magoti Nato kwa kuwa Nato itaweka silaha za nyuklia mlangoni mwa Russia...nyie vijana ni wazi hamjui kwanini Russia Yuko tayari kwa lolote na kwa nini USA na nchi za magharibi zinaing'ang'ania Ukraine kwa kisingizio kile kinachoitwa demokrasia na sovereingtyUkraine ni nchi ndogo mno kivita kulinganisha na URUSI, hakuna anayepinga kwamba URUSI hatampiga Ukraine - tunachosemea sisi ni outcome baada ya vita - Mrusi atadhoofika vibaya sana sana kiuchumi na huo ndiyo utakuwa mwisho wa Putin.
Na ukaamini..?? Simple tu..?? Msafara wenye urefu wa km 60+..?? Yaani hawajatake any measure before..?? Kwamba wanaweza ishiwa mafuta njiani..?? Then wasiwe na backup..?? Seriously..??Hatimaye msafara mzito wa Vladimir Putin umekwama porini - umeishiwa Mafuta na chakula. Ukraine wanajiandaa kusambarisha msafara muda Wowote.