LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Binance boss rejects calls to ban all Russian trades


Crypto exchange Binance chief Changpeng Zhao says his company is “not in a position to sanction… populations of people” as he resisted calls to block all Russian transactions.


Zhao insisted Binance would not allow sanctioned individuals to trade on the platform, but played down his company's ability to prevent Russian users from evading censure.


"We don’t control the industry. I can publish my sanction list, you can publish yours, guess what? No one else is going to follow it. It just moves Russian users to other smaller platforms.”
 
Russian space agency chief: Hacking our satellites would justify war


The head of Russia’s space agency Roscosmoc Dmitry Rogozin has denied any of the country’s satellites had been hacked, but warned that "offlining the satellites of any country is actually a cause for war”.


Rogozin also demanded guarantees from British-based tech firm OneWeb that their 36 satellites due to be launched by Roscosmos on March 4 will not be used against Russia.
 
Na ukaamini..?? Simple tu..?? Msafara wenye urefu wa km 60+..?? Yaani hawajatake any measure before..?? Kwamba wanaweza ishiwa mafuta njiani..?? Then wasiwe na backup..?? Seriously..??
Tumia common sense mzee angalau basi reasoning iongezeke mkuu
 
Hapa in opportunity cost ndiyo imetumika....Russia iumie kiuchumi Sasa au iiruhusu Ukraine ijiunge na Nato na hivyo kuja kuipigia magoti Nato kwa kuwa Nato itaweka silaha za nyuklia mlangoni mwa Russia...nyie vijana ni wazi hamjui kwanini Russia Yuko tayari kwa lolote na kwa nini USA na nchi za magharibi zinaing'ang'ania Ukraine kwa kisingizio Cha kulunda kinachoitwa demokrasia na sovereingty
Na kwa akili yako unafikiri huo umoja wa nchi za Ulaya na Usa watakubari Russia aichukue Ukrain unapaswa kufikirisha akili yako vyema mzee wangu
 
"
The Zelensky regime has handed out weapons to all criminal elements in the city." Viral footage shows man in Ukraine's capital Kiev claiming that criminals in the city have armed themselves with military-grade weapons.
 
Salam;

Wadau natumai mmebaki salama wakati wote ambao sikuwa nanyi hapa katika jukwa hili adhimu;



Jana katika pitapita zangu kwenye mtandao wetu pendwa wa Facebook nikakutana na mada moja nikavuta hisia zangu ingawa niliiona kama ya kufikirika lakini baada ya kuitafakari sana nikaona kama kuna point. Nimeamua kuileta humu kama ilivyo maana humu kuna Great thinkers waibabadue tujifunze. Simjui mwandishi wa Makala haya lakini naamini pia anaweza kuwemo humu pia akafafanua zaidi. Makala yenyewe ni hii hapa chini.



xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx



Orthodox thinking [I stand to be Challenged and not insulted]



SAD REALITY: Russia will not win this War, hata akishinda ni kwa muda tu!



Note: Conspiracy theory



Kuna dhana kuwa the gene [nasaba] iliyoongoza dunia kutoka Misiri [wakati ule Misiri ilikuwa ndiyo kiranja wa dunia na wengi waliyoyafanya ikiwemo pyramids] haikupotea au kufa kama ambavyo wengi wanaweza kudhani.



Baada ya kuanguka kwa Egypt baadaye nasaba ileile iliongoza dunia kutokea Italy [mtakumbuka wakati Italia ni yenye nguvu kwa miaka mingi]



Baada ya kuanguka kwa Italia nasaba hii ilihamia Uingereza na kuongoza dunia kutokea hapa [panadaiwa kuwa hata official name ya ufalme wa Uingereza "Windsor" siyo halisi]



Baada ya vita vya pili vya dunia the same gene rules the world kutokea USA [panasemwa marais wengi wa USA wana uhusiano na familia ya kifalme ya Uingereza - Bush, Clinton, Obama etc]



Panasemwa kulingana na grand plan the life and times of USA as a super power is nearing to the end na baada ya hapa ulimwengu utaongozwa na the same gene kutokea Jerusalem na ndiyo maana kila siku Israel inazidi kujitanua na mwaka juzi imehamisha makao yake makuu kutoka Telaviv hadi Jerusalem na Marekani ikawa nchi ya kwanza kutambua mabadiliko haya...



Na ndiyo maana toka 1948 limeanzishwa taifa la Israel kila mwaka linajitanua na kuongeza eneo lake la Utawala na dunia nzima ipo kimya na wala mpango wa two state solution na coexistence ya Taifa la Israel na Palestine hautakaa utekelezwe....



Back to the point



Ni nini nataka kusema
; Urusi, China na mfano wa hizo will never ever be the super powers to lead the world, but kweli Urusi ni taifa kubwa la lenye nguvu lakini mwisho wa siku litafeli na mpango wa kuiongoza dunia kutokea Israel utatimia [Mola Mlezi ni mjuzi wa hili sisi wanadamu tunabaki kuunganisha points na kufanya projection ya kesho lakini uhalisia wa kutokea hili ni katika elimu ya mambo yaliyofichikana na inabaki kwa Mola Mlezi pekee]



Pamoja na kutimia kwa mpango huu haina maana kuwa walioko nyuma yake wako sahihi, la hasha!!



Ukweli wa mambo ni kuwa vita vya mwisho wa dunia vitapiganwa eneo la mashariki ya kati yaani kati ya Kinachoitwa MPINGA KRISTO [Masih Dajjal] na upande utakaosimamia Haq na mwishowe the later will win yaani upande utakaosimamia Haq utashinda ndiyo itakuwa mwisho wa haya yanaypendelea.



Na kwa hali hii siyo kweli kuwa TAIFA LA MAREKANI na washirika wake ni mataifa ya haki au wanachokisimamia ni haki hapana na ukweli watashinda na kufikia hayo wanayoyapigania ili andiko na makadirio ya Mola Mlezi yatimie



Taifa teule la Israel lililotajwa kwenye bible siyo hili Taifa la kidhalimu la Kiyahudi lililopo sasa na kama unawaza na kuunga mkono hilo basi tafakari mara mbili...



Sioni Urusi wala China wakifanikiwa kuwa super powers na kuongoza DUNIA... na kama walivyo wenzao NATO wote wanachokipigania na kukisimamia ni UDHALIMU na kueneza FASADI katika dunia...



Kwa tunaoamini uwepo wa Mungu hivi hatujiulizi ikiwa Mola Mlezi aliwaangamiza watu wa Nabii Nuhu alayh salam kwa vitendo vya ngono za jinsi moja Je atawaridhia hawa ambao pamoja na kueneza hayo na kuhalalisha ndoa hizi mpaka kufikia Mkuu wa Nchi kuoa/kuolewa na mwanaume mwenzake [Luxembourg] na kufikia hatua ya kubadili jinsi??* Dont be deceived and twisted



NATO imeendelea kujiimarisha na kujitanua hata baada ya kusambaratika USSR na WARSAW PACT hujiulizi kwanini? Na imeendelea kuharibu nchi nyingi ambazo wako kinyume na THEIR SO CALLED GREAT COURSE na all these ni muendelezo utakaotupelekea kutimia kwa andiko au makadirio ya Mola Mlezi



Mwisho: Tunamwomba Mola Mlezi atujaalie kuiona haq na kuifuata na atujaalie kuwa pamoja na wanaosimamia haq na atujaalie mwisho mwema.



Haya yanabaki ni maoni binafsi na hayawakilishi maoni ya kikundi au taasisi yeyote and I will stand to be Challenged... na daima siungi mkono udhalimu unaofanywa na Urusi wala kinachofanywa na NATO na washirika wake.



Nawatakia Jumapili njema



Mwandishi; AM

NOSENSE
 
⚡️ Russian delegation has arrived for negotiations with Ukraine


A second round of talks between the nations are set to continue in Belarus Thursday.
 
Photos from Volnovakha

IMG_20220302_193453_824.jpg
IMG_20220302_193453_743.jpg
IMG_20220302_193453_640.jpg
IMG_20220302_193453_216.jpg
IMG_20220302_193453_891.jpg
IMG_20220302_193453_092.jpg
IMG_20220302_193453_997.jpg
 
⚡️ Ukraine delegation to arrive Thursday – Head of Russian delegation


The talks had been set to start Wednesday but have been postponed until the following day.
 
Ukrainian delegation to arrive for talks tomorrow morning - Medinsky

The second round of negotiations will take place in Belovezhskaya Pushcha. On December 8, 1991, agreements were signed there on the creation of the CIS (that is, on the termination of the existence of the USSR).
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
⚡️ 498 Russian servicemen have died in the line of duty in Ukraine military operation - MoD
 
Serikali za magharibi zimejaa unafiki sana, ukishangaa yanayotokea katika hivi vita utakuwa mgeni na hawa jamaa. Mfano hawa jamaa wana ushirikiano na nchi zinazokandamiza demokrasia mfano Saudi Arabia, wana ushirikiano na Israel ambayo kinachotokea Ukraine kimetokea pia Palestina. Marekani kaharibu nchi nyingi kwa sababu zake zisizo na msingi. Hawa jamaa wakiwa na maslahi na sehemu fulani wanafanya uhalifu wote wa kinyama afu wanajiita mashujaa watetezi wa haki, wakifanya wengine wanaonekana madikteta

Safari hii tunashuhudia Ulaya huko kimenuka, malipo ni hapa hapa duniani mmezoea kuleta vita na kuwagawa wananchi wa nchi za uarabuni huko, na sisi huku Afrika ndio vibaraka wenu, safari hii mnagawanyika huko huko Ulaya na mkileta za kuleta mkijifanya mnavimba sana, mtaalamu Putin atatanga vita kamili. Maana hii ni oparation maalumu. Sasa bado vita kamili ambayo manyambizi yatakuwa tayari kulusha makombora ya nyukra. Mnachokitafuta nchi za magharibi mtakipata kwa sasa lazima mkubali mpo kwenye kona mbaya sana.
 
Leo tarehe 2 march 22 tunamaliza kazi labda tutachelewa kuwatangazia tu ila mchuzi wote tunakunywa leo na bakuli litatupwa leo ila sijajua mlio wa kudondoka kwa bakuli
utachukua mda gani kukufikia hapo ulipo.
Nakukumbusha tu Zelenskyy yupo Poland mafichoni.
Acha niandae pilipili na ndimu na supu ikiiva nichanganye
 
Back
Top Bottom