Salam;
Wadau natumai mmebaki salama wakati wote ambao sikuwa nanyi hapa katika jukwa hili adhimu;
Jana katika pitapita zangu kwenye mtandao wetu pendwa wa Facebook nikakutana na mada moja nikavuta hisia zangu ingawa niliiona kama ya kufikirika lakini baada ya kuitafakari sana nikaona kama kuna point. Nimeamua kuileta humu kama ilivyo maana humu kuna Great thinkers waibabadue tujifunze. Simjui mwandishi wa Makala haya lakini naamini pia anaweza kuwemo humu pia akafafanua zaidi. Makala yenyewe ni hii hapa chini.
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Orthodox thinking [I stand to be Challenged and not insulted]
SAD REALITY: Russia will not win this War, hata akishinda ni kwa muda tu!
Note: Conspiracy theory
Kuna dhana kuwa the gene [nasaba] iliyoongoza dunia kutoka Misiri [wakati ule Misiri ilikuwa ndiyo kiranja wa dunia na wengi waliyoyafanya ikiwemo pyramids] haikupotea au kufa kama ambavyo wengi wanaweza kudhani.
Baada ya kuanguka kwa Egypt baadaye nasaba ileile iliongoza dunia kutokea Italy [mtakumbuka wakati Italia ni yenye nguvu kwa miaka mingi]
Baada ya kuanguka kwa Italia nasaba hii ilihamia Uingereza na kuongoza dunia kutokea hapa [panadaiwa kuwa hata official name ya ufalme wa Uingereza "Windsor" siyo halisi]
Baada ya vita vya pili vya dunia the same gene rules the world kutokea USA [panasemwa marais wengi wa USA wana uhusiano na familia ya kifalme ya Uingereza - Bush, Clinton, Obama etc]
Panasemwa kulingana na grand plan the life and times of USA as a super power is nearing to the end na baada ya hapa ulimwengu utaongozwa na the same gene kutokea Jerusalem na ndiyo maana kila siku Israel inazidi kujitanua na mwaka juzi imehamisha makao yake makuu kutoka Telaviv hadi Jerusalem na Marekani ikawa nchi ya kwanza kutambua mabadiliko haya...
Na ndiyo maana toka 1948 limeanzishwa taifa la Israel kila mwaka linajitanua na kuongeza eneo lake la Utawala na dunia nzima ipo kimya na wala mpango wa two state solution na coexistence ya Taifa la Israel na Palestine hautakaa utekelezwe....
Back to the point
Ni nini nataka kusema; Urusi, China na mfano wa hizo will never ever be the super powers to lead the world, but kweli Urusi ni taifa kubwa la lenye nguvu lakini mwisho wa siku litafeli na mpango wa kuiongoza dunia kutokea Israel utatimia [Mola Mlezi ni mjuzi wa hili sisi wanadamu tunabaki kuunganisha points na kufanya projection ya kesho lakini uhalisia wa kutokea hili ni katika elimu ya mambo yaliyofichikana na inabaki kwa Mola Mlezi pekee]
Pamoja na kutimia kwa mpango huu haina maana kuwa walioko nyuma yake wako sahihi, la hasha!!
Ukweli wa mambo ni kuwa vita vya mwisho wa dunia vitapiganwa eneo la mashariki ya kati yaani kati ya Kinachoitwa MPINGA KRISTO [Masih Dajjal] na upande utakaosimamia Haq na mwishowe the later will win yaani upande utakaosimamia Haq utashinda ndiyo itakuwa mwisho wa haya yanaypendelea.
Na kwa hali hii siyo kweli kuwa TAIFA LA MAREKANI na washirika wake ni mataifa ya haki au wanachokisimamia ni haki hapana na ukweli watashinda na kufikia hayo wanayoyapigania ili andiko na makadirio ya Mola Mlezi yatimie
Taifa teule la Israel lililotajwa kwenye bible siyo hili Taifa la kidhalimu la Kiyahudi lililopo sasa na kama unawaza na kuunga mkono hilo basi tafakari mara mbili...
Sioni Urusi wala China wakifanikiwa kuwa super powers na kuongoza DUNIA... na kama walivyo wenzao NATO wote wanachokipigania na kukisimamia ni UDHALIMU na kueneza FASADI katika dunia...
Kwa tunaoamini uwepo wa Mungu hivi hatujiulizi ikiwa Mola Mlezi aliwaangamiza watu wa Nabii Nuhu alayh salam kwa vitendo vya ngono za jinsi moja Je atawaridhia hawa ambao pamoja na kueneza hayo na kuhalalisha ndoa hizi mpaka kufikia Mkuu wa Nchi kuoa/kuolewa na mwanaume mwenzake [Luxembourg] na kufikia hatua ya kubadili jinsi??* Dont be deceived and twisted
NATO imeendelea kujiimarisha na kujitanua hata baada ya kusambaratika USSR na WARSAW PACT hujiulizi kwanini? Na imeendelea kuharibu nchi nyingi ambazo wako kinyume na THEIR SO CALLED GREAT COURSE na all these ni muendelezo utakaotupelekea kutimia kwa andiko au makadirio ya Mola Mlezi
Mwisho: Tunamwomba Mola Mlezi atujaalie kuiona haq na kuifuata na atujaalie kuwa pamoja na wanaosimamia haq na atujaalie mwisho mwema.
Haya yanabaki ni maoni binafsi na hayawakilishi maoni ya kikundi au taasisi yeyote and I will stand to be Challenged... na daima siungi mkono udhalimu unaofanywa na Urusi wala kinachofanywa na NATO na washirika wake.
Nawatakia Jumapili njema
Mwandishi; AM