Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Sawa tuelezee kwa nini?Tanzania hatuna uwezo wa kuipiga Kenya
utashangaa sana kenya au tanzania ikimiliki iskanders na tomahawks. wambambe watakuwa washaapata uwanja wa kutestie mitambo ata india atapeana brahimos missile kwa loanVita ni za kijinga ila tanzania na Kenya tukioigana hakutakuwa na mshindi, wote tutapoteza sana, ni kama wapumbavu wawili wakipigana
Vipi Somalia tunaweza kuwapiga???😂😂😂🤣Tanzania hatuna uwezo wa kuipiga Kenya
Kwa hiyo update za mtambo mkubwa wa kufua umeme nayo hukuipata huku!!?? Ukraine kulipua Daraja haujapata.... Au yalipotokea haya ni nje ya uwanja wa Operesheni Maalum!!Mbona hili jukwaa halina updates tena kutoka uwanja wa vita!!!!? Kinachoendelea humu sasa ni nadharia tu, assumptions, wishful, itikadi, Propaganda na Mahaba niue. Yaani hakuna updates zenye Mashiko.
Thread haina amshaamsha tena, haina msisimko zaidi ya kutambiana tu.
Moderator nakushauri sitisha hii thread kisha uirejeshe siku Ukraine inatangazwa ubingwa na Putin kuwekwa Kizuizini.
Russia Ni Kama maji[emoji682][emoji91][emoji91][emoji91]Latvia has resumed the purchase of Russian gas, but through an intermediary - the head of the company Latvijas gaze[emoji91][emoji91][emoji91]
Hao wakenya wanapigwa na Al shabab ndio wake kupigana na Tanzania.Tanzania hatuna uwezo wa kuipiga Kenya
what you guys don't understand about alshaabab is that they are guerillas ata russia au america mbele ya wanamgambo wanaojichanganya na raia ni vingumu sana kuwadhibitiHao wakenya wanapigwa na Al shabab ndio wake kupigana na Tanzania.