Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sasa hao Kenya wangekuwa warusi wangeweza kuchukua hata jimbo moja kweli maana Askari wanajichanya na RAIA kushambulia urusi na ndio hivyo kwa alshabab
nakubaliana na wewe 100% its not that easy haiwezi
 
Marekani yasikitika kuwa majeshi ya Urusi yazinywa/yaziangamiza drones za Bayraktar TB2 nchini Ukraine.

SmartSelect_20220729-202543_Chrome.jpg

Screenshot_20220729-202949_Chrome.jpg
 
Swahiba wa Putin anarudi-lmran khan. Hapa wafuasi wkisherekea nchi nzima

Hapa Chini,nimaeneo ambayo anaungwa mkono waziri mkuu wa
Pakistann wa sasa,Hilo eneo lenye wekundu(dot like) ni eneo analoungwa mkono waziri mkuu wa sasa. Ngoma ngumu kwa West.
View attachment 2305353
Huyo mcheza criket akae kwa kutulia na akubaliane na uhalisia akifanya mchezo atapotea mazima,

Kama alishindwa kukomaa mpaka akatolewa kwenye uwaziri mkuu asitegemee kurudi hapo,

Usa wanampimia tu, akitaka aachane na uswahiba wake kwa putin
 
Hawataki kuwa na changamoto za wafungwa wa kivita....hii kimedani za kivita inaitwa TACTICAL.....we! Yule jamaa mtaalamu wa tactical atusaidie

Hii inaitwa TACTICAL COUNTERMANDING & LIQUIDATION. It means unatumia mbinu ya kumfanya adui asifurahie wala asione faida au manufaa ya operation yake.

Inakaribia kufanana sana na TACTICAL SAMSON ama TACTICAL SUICIDE ambayo ntaielezea kwa kina zaidi next week Putin akielekea kwenye funga kazi. Tofauti yake ni kwamba hii inafanywa na askari husika aliye hatarini yeye kama yeye, but hiyo ya kwanza wanamfanyia wenzake akiwa ni mhanga.

Inaweza isiwe uhai, per se. Tactical countermanding & liquidation huweza kuhusisha zana, silaha, ama hata mali--si za adui in such--bali za mhanga mwenyewe, lakini zilizotekwa tayari na adui.

Kwa lugha ya mtaani hii inaitwa NGOJA TUPOTEZE WOTE.
 
Marekani yalalamika kuwa kombora la Sarmat la Urusi limeundwa maalumu kuichakaza mifumo ya ulinzi ya anga ya Marekani na kuisambaratisha kila inch ya ardhi ya Marekani. Kwa mujibu wa Marekani, mzigo (vichwa vya nyuklia) ubebwao na kombora hilo ni tani 10 (kilogram 10,000).

View attachment 2308217View attachment 2308218
^it can strike almost every point on earth^

Waje wale wanasema eti Russian superiority is overrated.
 
Jana uliota NDOTO mbaya sana mkuu muone mtumishi wa MUNGU akusaidie

Ukraine 🇺🇦 kushinda vita ni sawa na KULWA kuwa DOTO.
Ndugu yangu Miujiza huwa ipo. Kumbuka kuna Mwaka Lipuli ilichukuwa kombe la ligi kuu.
 
Statement of Russian Foreign Minister Sergei Lavrov in a conversation with US Secretary of State Anthony Blinken on the topic of Ukraine:

- The supply of Western weapons only prolongs the agony of the regime in Kyiv;

- Pumping Ukraine with NATO weapons increases the number of victims and prolongs the conflict;

- In the issue of the exchange of prisoners, it is necessary to return to the mainstream of "quiet diplomacy" without speculation;

- In the liberated territories of Ukraine, systematic work is underway to establish a peaceful life;

- The solution of the food issue is complicated by the sanctions imposed by the United States;

- Lavrov stressed in a conversation with the US Secretary of State that the goals of the Russian special operation will be achieved.
 
At least the two: Blinken and Lavrov, have opened channels of communication.This is a good development,although the Americans can never be trusted.
 
Statement of Russian Foreign Minister Sergei Lavrov in a conversation with US Secretary of State Anthony Blinken on the topic of Ukraine:

- The supply of Western weapons only prolongs the agony of the regime in Kyiv;

- Pumping Ukraine with NATO weapons increases the number of victims and prolongs the conflict;

- In the issue of the exchange of prisoners, it is necessary to return to the mainstream of "quiet diplomacy" without speculation;

- In the liberated territories of Ukraine, systematic work is underway to establish a peaceful life;

- The solution of the food issue is complicated by the sanctions imposed by the United States;

- Lavrov stressed in a conversation with the US Secretary of State that the goals of the Russian special operation will be achieved.
Hiyo nukta ya mwisho, dah!
 
Warusi utekaji maeneo unaendelea licha ya Marekani kuionya isiteke maeneo zaidi.

🇷🇺🇺🇦 The village of Novoluganskoye is under the full control of the DPR army

The village of Novoluganskoye remained the last stronghold of the Ukrainian army on the banks of the reservoir of the Uglegorsk TPP, but the Ukrainian militants were driven out of the village by assault detachments of the 3rd Guards Brigade of the DPR Army, by today it has been completely cleared
 
Mwaka huu tutaona mambo mpaka watu wanalazimishwa kuvua nguo🤔🤔🤔

Spanish Prime Minister Sanchez suggested that everyone undress for the sake of saving energy: I want you to see that I don't wear a tie. This means that we can all save energy. Therefore, I have asked all ministers and decision makers to follow this example. And I would also like to ask the private sector, if they haven't done it yet, when it's not necessary, they also shouldn't wear a tie, because in this way we will all contribute to energy conservation, which our country needs so much.
 
Back
Top Bottom