Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji573]Ukrainian army fired a HIMARS missile at a POW prison in Elenovka, DPR. 40+ prisoners were killed & 130+ wounded. They literally killed their own people... https://t.co/nRK5Ttn5vS
Mkuu, Ukraine inasema hao wa Donetsk walilipusha jengo kwa baruti au mabomu. Walitaka kuficha kashwa ya ufusadi wakati wa ujenzi Manna wizard ya Urusi iliwahi kutangaza ukaguzi..
 
Mwaka huu tutaona mambo mpaka watu wanalazimishwa kuvua nguo[emoji848][emoji848][emoji848]

Spanish Prime Minister Sanchez suggested that everyone undress for the sake of saving energy: I want you to see that I don't wear a tie. This means that we can all save energy. Therefore, I have asked all ministers and decision makers to follow this example. And I would also like to ask the private sector, if they haven't done it yet, when it's not necessary, they also shouldn't wear a tie, because in this way we will all contribute to energy conservation, which our country needs so much.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
IMG_20220730_080124_437.jpg

Saudi Energy Minister Meets Russia’s Deputy PM Novak


Saudi Arabia’s Energy Minister Prince Abdulaziz bin Salman met with Russian Deputy Prime Minister Alexander Novak on Friday.


The two discussed the development of the joint Saudi-Russian committee and opportunities for further partnership ahead of the OPEC+ meeting scheduled for August 3.


Earlier this month the kingdom reportedly more than doubled its import of Russian oil in Q2 to feed power stations supporting a spike in cooling demands, thus freeing up its own druce for exports.
 
Kama ndivyo,basi US isingeshindwa Afghanistan na Vietnam ambao ni masikini mara elfu ya Marekani.
Afghansistan waliipiga na kuiendesha nchi kimabavu japo hakuna alietaka awepo pale, ndo maana alivyoondoka tu nao wakachukua nchi, Vietnam nao hvyohvyo na watu wengi walivipinga vile vita ndo maana ata Mohamed Ally alipatia jina sana kwa kuvipinga vile vita, wakaacha
Na apo kote ukumbuke ni maelf ya kilometer kutoka kwake kitu ambacho ni kigum kufanya
Ukraine ingekuwa mbali na Urusi Urusi angeshindwa mara moja hiyo vita, ndo maana Urusi sio taifa tishio, Pamoja na kuwa na advantage ya ukubwa na technologia ya siraha na jeshi bado anasota kwa kinchi cha apoapo pemben ambacho ni kidogo kulko mikoa yake
Sie na Kenya uchumi wetu unaendana, watu wetu wanaendana, mafunzo ya jeshi yanaendana, ila Siraha za Kenya labda zinaweza kuwa bora zaidi maana Jeshin kwetu siraha nyingi ni za kizaman, maana nilikuweko kule
Ndo maana nasema tukipigina tutaendelea kudidimizama tu, na pia, hatuna jambo la msingi la kupigania
 
IMG_20220730_095216_503.jpg


🇷🇺 🇩🇪 Nord Stream-2 can be used in the interests of Germany, — The head of the Bundestag Committee on Energy Klaus Ernst

"In general, it does not matter through which pipe the gas is delivered to Germany. It remains Russian anyway... if, in the end, gas supply can be achieved only with the help of Nord Stream - 2, then we will need to talk about putting it into operation as soon as possible," Ernst told a TASS correspondent

The German government has reported several times in recent weeks that the use of Nord Stream -2 is not planned, since the pipeline has not passed certification

The complete absence of gas can become a "social explosive" in Germany. "I know that many citizens are aware of this and want a solution to this issue... Germany should start negotiations with Russia on how the future energy supply will be arranged," Ernst concluded
 
Back
Top Bottom