Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
🇨🇳🇹🇼On July 29,yesterday another PLA echelon with a 300-mm MLRS PHL-03 was spotted in the Chinese province of Fujian adjacent to Taiwan.
Anaelekea Taiwan...!?View attachment 2308777
A US Air Force Boeing C-40 with Nancy Pelosi took off from Andrews Air Force Base heading for the Pacific Ocean.[emoji276]
Yani USA alitengeneza mazingira ionekane kwamba adui wa EU ni Russia,kama ambavyo kila siku wanakomalia kutengeneza mazingira ionekane Irani ni adui wa Nchi za kiarabu huku kiihalisia adui wao wote ni wale wazungu waliopo pale Israeli.Hii nord stream 2 ilitakiwa ikamilike toka muda ila USA ndiye alieikwanisha ili Uerope wasipate gesi ya russia kwa 80% kwa kifupi hii Nord stream ingepeleka gesi karibia nchi zote za ulaya kwa 80% yani adi ulaya vijijini uko[emoji23][emoji23] wangepata gesi ya russia USA alivyoona ivyo akawatisha kuwa mara hoooo kiulinzi mnatutegemea sisi tuwalinde dhidi ya russia alafu gesi mnataka yote muwe mnachukua kwake wakati na sisi tunayo mamb ndio yslipoanza kuvurugika alivyoanza kuwatishatisha wenzake
Sasa hujioni huna akili, maana yake ni aliingia kilazima na kumtoa Talibani kilazima, ila alipoondoka ndo Taliban akarudi, apo huelewi maana yake ama, ndo tatizo la kubishana na watu wenye akili ya kimbuzi, kwanza apo unabishia nn au ata hujielewi unachotetea na kubisha,Acha ujinga ww,2001 marekani iliiondoa Taleban madarakani,akaingia Rais Mwingine kwa uchaguzi,baada ya miaka 20,maewkani ikashindwa na Talebani marekani ikakimbia hivi majuzi,na Taleban kurudi madarakani. Sasa,ni serikali gani ambayo marekani imepandikiza huko Afghanistan? Mfano mm na ww tunapambana kummuliki mwanamke,ww ukanizidi,unamchukua Yule mwanamke,ukakaa naye kwa miaka 20,baadae nikakunyanganya Maxima,utasema huyo mwanamke ni wako tena?
Samahani...naomba kuuliza: Hivi pimbi ni mtu wa aina gani. Sifa za pimbi ni zipi hasa....nauliza tu.Ww ni pimbi Sana!, Kama watu wa Afghanistan waliipinga uwepo wa marekani kwao,kwanini Taliban walipoingia madarakani wananchi wengi wakakimbia nchi? Sote tunakumbuka picha za kutisha walivyokimbilia Pakistan na wengine wakidondoka kutoka kwenye ndege. Leta ushahidi kwamba upingaji wa watu kuhusu vita vya Vietnam ndio ulisababisha marekani kuondoka kule,marekani ilishindwa ndio maana akakimbia,unaposema kwamba umbali ni sababu,kwanini marekani na majambazi wenzake wa NATO walishinda vita Iraq? Kama Urusi sio tishio,kwanini marekani inatamka kwamba haiwezi kuingia vitani na Urusi? Kwanini EU wanaogopa kupeleka jeshi Ukraine? Ikumbukwe 80% ya professional soldiers wa Ukraine wameuawa,sasa je,nan anapigana? Ni hivi, Ukraine kuna "Lone soldiers" kutoka maeneo mengi duniani,inapata military intelligence kutoka NATO,inapata msaada wa silaha,pesa,inawasaidiwa na EU,US kuumiza Urusi kiuchumi,hapo utasema Ukraine ni Ka inchi kadogo? Acha upimbi aisee ww ni mtu mzima.
Alafu,unaposema uchumi wa Kenya ni mkubwa anaweza kunishinda Tanzania 🇹🇿 kwa kigezo hicho nan alikudanganya? Alafu ulivyo kenge,unasema eti Tanzania ina silaha ya kizamani,mfano Tanzania ina "A100 missile" ambayo Kenya hawana,swala la ulinzi ni Siri ya nchi,sasa usifikiri unapoona JWTZ,Wana AK-47,mtaani unajua hiyo ndio silaha pekee! Unaposema ulikuwa huko,na ukaona silaha za Tanzania 🇹🇿,ni uongo kwa sababu, Askari wa ngazi za juu kabisa anayejua Siri za ulinzi wa nchi hawezi kuja humu kuandika ujinga kama ww.
we jamaa unajua unavyozidi kuandika ndio una aonyesha wewe ni mweupe kwa kiasi gani?Sasa we nchi imeshikwa miaka yote ishirini wamepandikiza serikali yao bado unasema kushindwa, ivi we ni mzima kichwan kweli, ndo maana wanasema wabongo wengi iq ni less than 50
Upo sahihi,sasa hapo US kashinda?Sasa hujioni huna akili, maana yake ni aliingia kilazima na kumtoa Talibani kilazima, ila alipoondoka ndo Taliban akarudi, apo huelewi maana yake ama, ndo tatizo la kubishana na watu wenye akili ya kimbuzi, kwanza apo unabishia nn au ata hujielewi unachotetea na kubisha,
View attachment 2308786
🇺🇸🇷🇺US Secretary of State Anthony Blinken said that the United States is not ready to recognize Russia as a sponsor of terrorism.
Such a decision will destroy all diplomatic ties with Russia, even at the lowest level. Sanctions are enough.
/The New York Times/
we jamaa unajua unavyozidi kuandika ndio una aonyesha wewe ni mweupe kwa kiasi gani?
Wamarekani hawakuweza kuikamata Afghanstan yote bali walikamata Miji, na eneo kubwa kusini mwa Afghanstan lilishikiliwa na Wateleban.
Wamarekani walibidi watafute namna ya kuishi huku wakitambua hawawezi kuwasambartisha Wateleban hivyo kutafuta sababu ya wao kutoka.
Turudi kwenye malengo ya kuivamia Afghanstan ili tujue walishinda vita au walishindwa vita:
(1) Kupambana na Ugaidi kifupi kwa tafsiri zao Wataleban ni magaidi, je walifanikiwa kuwashinda? jibu ni ndiyo au hapana.
kama hapana ujue walishindwa vita
(2)Kupeleka demokrasia na utawala bora
je deokrasia ya magharibi imefanya kazi? jibu ni hapana ujue walishindwa
(3)Kupandikiza serikari ya vibaraka.
je iliweza kuhimili joto la wataleban jibu ni hapana.
sasa utagundua kwamba ile vita walishindwa vibaya kote kwenye soft power na hard power
soft power ni kutaka kupandikiza ushawishi wake, tamaduni zake na values zake kama ushoga kwa Waafghanstan.
Wale ulio waona airport walikuwa ni watu walioshirikiana na jeshi la Marekani kwa namna fulani hivyo kujihisi hawako salama
Habari njema[emoji682][emoji91][emoji91][emoji91]China has closed the airspace over the Taiwan Strait as part of a live-fire exercise in Fujian province.
The maneuvers began today in view of a possible visit to Taiwan by the President of the US House of Representatives Nancy Pelosi[emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji3541] [emoji1130]🇩[emoji1096]🇺 Ultramodern Iranian turbines are replacing German Siemens turbines in Russia.
Germany cedes its place to Iran as a supplier of power plant partsView attachment 2308866