Ikipigwa nuclear submarine moja ya China, nadhani kisiwa chote kinazama.Taiwan imeanza kuwaka moto sasa hivi
View attachment 2308924
🔥🔥🔥PLA firing practice on the shores of the Taiwan Strait right now🔥🔥🔥
🆕🔥🔥🔥China deploys PHL-16 MLRS to a province just 180km away from Taiwan🔥🔥🔥
Mods please pin and star this comment!Tutajua mengi..Iran na North Korea ni maskini ata hawana chakula.Russia ni msikini ako na chakula ya siku tatu...western main stream media with propaganda. RICK SANCHEZ na MICHELLE GREENSPAN wa RT used to show us the other side of the NEWS and boosted our IQS by comparing notes
hapa kenya i remember in early 2004-2005 President Mwai Kibaki era, Iran wanted to supply cheap oil to kenya ile mambo ilitufuata huku wacha tu. beberu si mtu mzuri
Marekani huyuhuyu ambaye rais wake anabutuliwa na kila taifa?China nae karibu anaingia Taiwan hapa mchezo mpaka mwenye uchumi imara abaki mmoja tu, na wale wote ambao Marekani alikuwa anatafuta kasababu Tayari wameingia sasa hapo ni wao tu wacheze ngoma pamoja, Marekani ni muda wake wa kukusanya base zake zote awakung'ute hao wakomunisti.
HahahaPimbi ana hekaheka nyingi harakati kibao na Kila siku anafeli.....
This is not a retreat per se. Ni kawaida sana katika medani za vita, kutegemeana na misimu mbalimbali ilivyo. So, ndiyo maana hii inaitwa TACTICAL PRE-WINTER RETREAT.Pro-nato hamjambo jamani 🤔🤔🤔
🇷🇺🇺🇦⚡The Ukrainian General Staff confirms the retreat of the Armed Forces of Ukraine from Semigorye.
As indicated in the evening report, part of the settlement completely came under the control of the Russian army and allies.
Ok,mkirejea semigorye,unitag mkuu.This is not a retreat per se. Ni kawaida sana katika medani za vita, kutegemeana na misimu mbalimbali ilivyo. So, ndiyo maana hii inaitwa TACTICAL PRE-WINTER RETREAT. Utaona tutakavyorejea soon.
Na usishangae tukarejea kivingine kwa kumtumia HIMARS kama hapa juzi kati kwenye magereza ya Donetsk.Ok,mkirejea semigorye,unitag mkuu.
HahahahahahahahahNadhani ianzishwe sasa thread: ^Special thread yanayojiri mgogoro wa China na Marekani, nini chanzo na hatma ya mzozo.^
Hii itafaa hata kuombea mkopo benki.
HahahahahahahahIkipigwa nuclear submarine moja ya China, nadhani kisiwa chote kinazama.
Imekaa poa sanaNdio maana nimemwambia mtoa mada ya kwamba Urusi inaweza isiivamie Ukraine kwa sababu zingine hasa za kiuchumi .
Lakini hoja ya kwamba Urusi inaogopa kuivamia eti kwa sababu ya kugopa Marekani itatuma wanajeshi wake sio kweli.
Na ndio maana nimemwambia ya kwamba Urusi ikiamua kuivamia Ukraine Marekani hatofanya chochote zaidi ya kuweka vikwazo vya kiuchumi ikiwemo kusitisha hilo bomba la gesi.
Na kama umeufatilia huu mgogoro hakuna kiongozi yeyote yule wa Urusi aliye sema ya kwamba Urusi inataka kuivamia Ukraine zaidi ya kusema wanafanya mazoezi ya kijeshi ya kawaida, hizo tuuma za Urusi kutaka kuivamia Ukraine zimekuwa zikitolewa na nchi magharibi na viongozi wa Urusi Mara kwa mara wamekuwa wakikanusha.
Na sisitiza USA na washirika wake wange kuwa na nia ya kuisaidia Ukraine wangeisaidia kwanza kukomboa majimbo mawili yanayo shikiliwa na waasi.
Hata yeye hajui kinawaka wapi.🤣🤣Wapi mkuu?
Kazi inaendelea watu wanatema maeneo
[emoji298]️[emoji635][emoji1255][emoji3538] AFU left Verkhnekamesskoye[emoji298]️
Preliminarily! Verkhnekamesskoye is the suburb of #Seversk on the eastern side. AFU has left the settlement, which was fought for about two weeks
By @operativsvo
Wap hukoKinawaka huko jamn
Anzisha mkuu. Tupo nyuma yakoNadhani ianzishwe sasa thread: ^Special thread yanayojiri mgogoro wa China na Marekani, nini chanzo na hatma ya mzozo.^
Hii itafaa hata kuombea mkopo benki.
Sitaki kujibizana na ww maana uelewa wako ni finyu sana, hueleweki unaongea nn unarukaruka tu point, kujibizana na mtu mwenye akili hewa ni kujiweka level moja na yeye, kwaheriAlikwambia nani?
Waakati wa vita ya pili ya dunia jeshi la kisoviet liliiacha Moscow kwenda kujipanga.
jeshi la Ujuremani likaingia, hebu niambie hiyo ndio ilifanya SOVIET kushundwa vita na mjerumani?
soma historia na uelimike kabla hujaanza kukomenti pumba