Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Bado mnamuogopa?.Marekani akigeuka kulia anakutana na Russia kushoto china juu North korea chini Iran. Mwaka huu lazima ajiharishie manake anajaa vizuri dadeki
Kamnyooshe itapendeza zaidi.Kawekwa mtukati mpaka raha. Mikwara imeisha kudadadeki.
Lazima Marekani anyooshwe!
Mbivu na mbichi tutazijua tu.Msululu mrefu Sana wa magari ya wakimbizi wa ukrein wanaokimbilia sehemu zilizokombolewa na Russia
View attachment 2309567
💢 A massive lineup of cars with Ukrainians who want to cross into Russian liberated Zaporozhye. An objectively more reliable way to do things.
@NewResistance
huyo ni wao wenyewe wanamfanyia eliminationRaisi Joe Baden wa Marekani kapata CORONA tena kwa mara yapili.
Biden mwenye miaka 79, kachomwa dozi mbili na boost mbili za Corona ila alipata Corona wiki iliyo pita na kupewa matibabu na kupona na kutangazwa pia kuwa vipimo vinaonyesha negative.
Siku 3 mbele, kapata tena Corona. Na sasa ame quarantine na kuendelea na matibabu.
Mtazamo wangu: Huyu mzee anavuta muda si mrefu. Kiafya hayupo poa kabisa, pressure za uchumi, Russia-Ukraine, China - Taiwan - Pelosi, kuchukiwa na wananchi wake, hana muda mrefu.
Hali tete.
Ile ilikuwa TACTICAL DISINFORMATION. Hii katika medani za vita ni mbinu ya kawaida kufanyika hususan adui anapoona amezidiwa na hasimu wake, all the while masponsaz na wahisani na supporters wake wanadai waone immediate result yenye output kubwa.Mbona waisema himars zinawakimbiza warusi au wameuza zote kwa TACTICAL DISCOUNT
Sema nini? Kauli yako hii imekaa kitaktiko zaidi. Hii inaitwa TACTICAL RESONANCE. Katika medani za kivita... (ntamalizia pale LIKES zikilingana na figure ya combined deni la Ukraine & US/Marekani). 🙂Katika uzi huu nimejifunza aina tofauti za TACTICALS kwa juu juu ila ukitaka kuzijua kiundani lazima uwe "tactics specialist" kinyume na hapo utaishia kuijua TACTICAL FORCE 😂😂😂
Labda mafuta ya ndege hayatoshi, because nasikia jana walitua Hawaii mara nne nne ili ku-refill. Ujue Russia kawabania sana mafuta hawa jamaa mpaka nawaonea huruma?It's official, Marekani imeiogopa China.
Nancy Pelosi haendi Taiwan. Cheki tweet yake. Atapenda Singapore, Malaysia, South Korea na Japan tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2309661
Habar njema kwa sis wazee wa kitonga[emoji41][emoji41][emoji41][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2309645