lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Habari hii ni ya uongo.Raisi Joe Baden wa Marekani kapata CORONA tena kwa mara yapili.
Biden mwenye miaka 79, kachomwa dozi mbili na boost mbili za Corona ila alipata Corona wiki iliyo pita na kupewa matibabu na kupona na kutangazwa pia kuwa vipimo vinaonyesha negative.
Siku 3 mbele, kapata tena Corona. Na sasa ame quarantine na kuendelea na matibabu.
Mtazamo wangu: Huyu mzee anavuta muda si mrefu. Kiafya hayupo poa kabisa, pressure za uchumi, Russia-Ukraine, China - Taiwan - Pelosi, kuchukiwa na wananchi wake, hana muda mrefu.
Hali tete.
Anaeumwa "corona" ni Putin.
Putin wakati wowote atavuta,CIA wameshafanya Yao.
Hiyo Hali aliyonayo Biden ni zuga TU ya CIA ili Putin akifa watu waone TU kuwa hata Biden aliumwa corona.
😃😃😃
.