Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

🆕🔥🔥🔥History is not a teacher, it is a guardian and punishes for badly learned lessons "- Putin.
-1812 - Napoleon: The winter will be hard. It is necessary to defeat Russia before the cold.
-1941 - Hitler: The winter will be hard. It is necessary to defeat Russia before the cold.
-2022 - EU and USA: the winter will be harsh🔥🔥🔥
 
IMG_20220731_163250.jpg

Chinese volunteers signing up to take part in the SMO. The requirements are, apparently, prior military experience and knowledge of Russian.
 
View attachment 2310082

Chinese volunteers signing up to take part in the SMO. The requirements are, apparently, prior military experience and knowledge of Russian.
Hawa watu waliojenga hospital ya vyumba 1,400 wakati wa kuingia Covid-19 ile 2020 na kuikamilisha na kuwa fully functional in just ten (10) days, wanaenda kumla Zelenskyy!
 
Apo kwa Venezuela naona Ni target muhimu sana kwa urusi na china kuweka base yao na Hilo likitokea lazima USA apagawe
Ndiyo maana alipakimbilia mapema, akasahau sanctions zake alizompiga awali, akaanza kununua mafuta yake. Hii inaitwa TACTICAL HYPOCRISY katika medani za vita, na wala haihitaji maelezo zaidi because inajieleza yenyewe.

Kule Ulaya na Australia inaitwa TACTICAL DOUBLE-STANDARD.
 
Hali ilivyo front kwa sasa

The Donetsk Offensive Arc

1—The Allied forces have entered Peski. Fighting taking place inside the settlement, with the DNR forces having taken two streets from the enemy.

2—The Allied forces have entered Maryinka. DNR forces fighting the enemy inside the settlement.

3—The Allied forces have engaged the Ukrainian troops on the outskirts of Krasnogorovka, with previous reports indicating that the settlement has already been entered by the DNR units.

4—The Allied forces have taken Avdeevka in a semi-circle, cutting off the main Konstantinovka supply line (the Orlovka line remains active). No assault of Avdeevka at this time, but massive artillery barrage is underway.

Russian-allied forces continue artillery strikes along the entire contact line of the Donetsk offensive. The advance is proceeding forward.
 
Apo kwa Venezuela naona Ni target muhimu sana kwa urusi na china kuweka base yao na Hilo likitokea lazima USA apagawe

Shida ya Marekani ni Unafiki wao, walitoa vikwazo kwa Iran na Venezuela baada ya kutoa kwa Russia wakarudi Iran na Venezuela kubembeleza wanawaondolea vikwazo ili wauze mafuta, kilichotokea ni AIBU kwao.

Unipe vikwazo afu tena urudi kwangu unitolee si unafiki huu hata kichaa hawezi kukubali. Marekani kashapoteza ushawishi wake kwa kiwango kikubwa sana dunia ishaanza kugawanyika vipande vipande mataifa mengi naona yapo upande wa Russia na China.

Lavrov alitoa hotuba nzuri sana alisema Africa tuiendeleze bank yetu ya Africa then tukopeshane sisi kwa sisi ni bonge la point viongozi wa Africa waichukue. Mfano mzuri ni kama vile vicoba/vikundi mnaweka pesa afu mnakopeshana kwa riba ndogo ndani ya miaka 10 bank ya Africa itakua mbali sana.

Russia atatoa msaada wa mbolea kuja Africa bure ndugu zangu hivi anayekupa mbolea na Condom nani anafaaa?? Condom pakiti ni 1000 mbolea mfuko ni 120,000 kazi kwenu.

Kiukweli Russia katutoa usingizini Africa tuamke sasa tunashindwa kuchagua upande kwasababu ya umaskini ila tukiweza jitegemea tutakua na maamuzi sahihi.

Bibi yangu anafanya kazi serikalini tena yuko wizara nyeti ni mtu mkubwa huwa ananambia mambo mengi sana, haya ya ushoga ni kutokana na misaada na hawa jamaa wanachukua mali zetu nyingi sana na kampuni zao nyingi hazilipi kodi au zinalipa kidg sana ni moja ya mikataba tunayoingia nao. Zinakuja kampun zao zinawekeza wanapiga hela wanasepa nyie mnasema kampuni isilipe kodi ndani ya kipindi cha miaka5. Ni mambo mengi acha ninyamaze sina mwanamsheria[emoji23].

WEST IS WORST
 
Hao ma engineer wa kiduku wa kiguswa tu kiduku atatuma jeshi[emoji23]
Ukraine wawe makini sana, because hawa engineers wanaweza kujimwagia hata mchanga kidogo mguuni wakati wa kujenga then wamsingizie Zele.

Labda ndiyo maana anajengewa handaki maalum la mawe na chuma pale Kiev.
 
Shida ya Marekani ni Unafiki wao, walitoa vikwazo kwa Iran na Venezuela baada ya kutoa kwa Russia wakarudi Iran na Venezuela kubembeleza wanawaondolea vikwazo ili wauze mafuta, kilichotokea ni AIBU kwao.

Unipe vikwazo afu tena urudi kwangu unitolee si unafiki huu hata kichaa hawezi kukubali. Marekani kashapoteza ushawishi wake kwa kiwango kikubwa sana dunia ishaanza kugawanyika vipande vipande mataifa mengi naona yapo upande wa Russia na China.

Lavrov alitoa hotuba nzuri sana alisema Africa tuiendeleze bank yetu ya Africa then tukopeshane sisi kwa sisi ni bonge la point viongozi wa Africa waichukue. Mfano mzuri ni kama vile vicoba/vikundi mnaweka pesa afu mnakopeshana kwa riba ndogo ndani ya miaka 10 bank ya Africa itakua mbali sana.

Russia atatoa msaada wa mbolea kuja Africa bure ndugu zangu hivi anayekupa mbolea na Condom nani anafaaa?? Condom pakiti ni 1000 mbolea mfuko ni 120,000 kazi kwenu.

Kiukweli Russia katutoa usingizini Africa tuamke sasa tunashindwa kuchagua upande kwasababu ya umaskini ila tukiweza jitegemea tutakua na maamuzi sahihi.

Bibi yangu anafanya kazi serikalini tena yuko wizara nyeti ni mtu mkubwa huwa ananambia mambo mengi sana, haya ya ushoga ni kutokana na misaada na hawa jamaa wanachukua mali zetu nyingi sana na kampuni zao nyingi hazilipi kodi au zinalipa kidg sana ni moja ya mikataba tunayoingia nao. Zinakuja kampun zao zinawekeza wanapiga hela wanasepa nyie mnasema kampuni isilipe kodi ndani ya kipindi cha miaka5. Ni mambo mengi acha ninyamaze sina mwanamsheria[emoji23].

WEST IS WORST
Nashauri serikali ya Putin ikupatie special military protection.

EAST IS EASE 🙂
 
Usa awe makini awa jamaa watamfuata adi mlangoni kwake Venezuela au Cuba
 
uncle sam mambo haimwendei vizuuuri. miti yateleza sanaView attachment 2309950

Kuna mtu tulishabishana sana humu ndani kma sio yule mpiga nyeto, moja ya project za hovyo kwa US na zilizotumi pesa mingi sana bhs ni hiyo hata US wanakiri. US wanapigwa sana wanatumia pesa mingi sana afu output inakua sawa na Silaha zingine tena unakuta mpaka anazidiwa. Tofauti wenzao wanatumia cost ndogo ila quality na ubora unakuta same
 
Hv hii uncle sam inamaana gani MKUU
Kuhusiana na hayo ya f35 hutakiwi kua mtaalam wakiwango chajuuu kuelewa kwamba hio project niya hovyo
Ndege hazipo vitani tena wenyewe ndio wanadai eti zaghali nazakisasa zaidi ila mpaka sasa zishaanguka sichini ya tano kama hazizidi
RUSSIA aendelee na SMO tuzidi kufaidi yadunia
RUSSIA TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app

Afu wanazicompare na Sukhoi-57[emoji23][emoji23][emoji1316][emoji1316]
 
Tayari Pro NATO wameshaianzishia Uzi hii. Sasahivi kuna viutitiri vya Uzi jamaa wa NATO wanaanzisha chochote chenye hasara kwa Russia. Yaani hata nzi akinyea shati la Putin kwao ni Ushindi mkubwa na vigelegele. Ikitokea Ukraine kunyanduliwa sana utasikia walisema watainyandua kwa siku 3 tu ila kashindwa. Yaani hawa kina MANDONGA wapo kila sehemu
Kuna habari huko ya Ukraine kulipua meli za Urusi Crimea. Hii wiki Russia anatangaza full scale war au ataongeza mashambulizi makali
Zaidi. Russia apunguze huruma. Ila kuna dalili Russia kudeclare war
 
Tayari Pro NATO wameshaianzishia Uzi hii. Sasahivi kuna viutitiri vya Uzi jamaa wa NATO wanaanzisha chochote chenye hasara kwa Russia. Yaani hata nzi akinyea shati la Putin kwao ni Ushindi mkubwa na vigelegele. Ikitokea Ukraine kunyanduliwa sana utasikia walisema watainyandua kwa siku 3 tu ila kashindwa. Yaani hawa kina MANDONGA wapo kila sehemu
Ukiona watu wanaanzisha thread hataka haraka ujue hao ni wakenya.
 
Tayari Pro NATO wameshaianzishia Uzi hii. Sasahivi kuna viutitiri vya Uzi jamaa wa NATO wanaanzisha chochote chenye hasara kwa Russia. Yaani hata nzi akinyea shati la Putin kwao ni Ushindi mkubwa na vigelegele. Ikitokea Ukraine kunyanduliwa sana utasikia walisema watainyandua kwa siku 3 tu ila kashindwa. Yaani hawa kina MANDONGA wapo kila sehemu

Wanachofanya Ukraine kwa sasa ni kulipua hovyo hovyo maana vita ishawashinda ila dawa yao ipo jikoni.
 
Back
Top Bottom