Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Si kila siku mnamsifia humu?Kuna habari huko ya Ukraine kulipua meli za Urusi Crimea. Hii wiki Russia anatangaza full scale war au ataongeza mashambulizi makali
Zaidi. Russia apunguze huruma. Ila kuna dalili Russia kudeclare war
Nimeipenda hio TACTICAL HYPOCRISY maana ni balaaNdiyo maana alipakimbilia mapema, akasahau sanctions zake alizompiga awali, akaanza kununua mafuta yake. Hii inaitwa TACTICAL HYPOCRISY katika medani za vita, na wala haihitaji maelezo zaidi because inajieleza yenyewe.
Kule Ulaya na Australia inaitwa TACTICAL DOUBLE-STANDARD.
Toka juzi Urusi imechukua maeneo manane, alafu bado watu wanashupaza shingo.Hali ilivyo front kwa sasa
The Donetsk Offensive Arc
1—The Allied forces have entered Peski. Fighting taking place inside the settlement, with the DNR forces having taken two streets from the enemy.
2—The Allied forces have entered Maryinka. DNR forces fighting the enemy inside the settlement.
3—The Allied forces have engaged the Ukrainian troops on the outskirts of Krasnogorovka, with previous reports indicating that the settlement has already been entered by the DNR units.
4—The Allied forces have taken Avdeevka in a semi-circle, cutting off the main Konstantinovka supply line (the Orlovka line remains active). No assault of Avdeevka at this time, but massive artillery barrage is underway.
Russian-allied forces continue artillery strikes along the entire contact line of the Donetsk offensive. The advance is proceeding forward.
Usisahau kuwa kuna wabantu wengi tu indiaMkuu hivi Taifa la INDIA [emoji1128] lipo EUROPE?
Maana sjui hata wale waindi weusi wametokea wapi?
Wacha kuwa Rasta feki...mwenzi Master J kaamua kuzitoa.
Hizo f35 ni flying coffinsUncle Sam is more less colloquial for United State goverment intials. yaani ni kama ku ipa utu taifa.
hizo f35 tulikuwa twaaminishwa itakuwa ni kila kitu . kwa maoni yangu mimi binafsi naona ata vita ya ndege siku haileti shangwe. taifa linafaa liwekeza kwenye missiles unapigana ukiwa kwako. anyway i stand to be collected
Ndiyo akomePro-nato jifunzeni kwa huyu mwenzenu aliejidai kujifunza Namna ya kumtukana Mrusi lakini ona yaliyomkta ulingoni
Two days ago, American UFC heavyweight Derrick Lewis practiced insulting Russians: "People from Russia – they are already born with a swastika badge."
Today, in the ring, in less than a minute, he notably knocked down and lost to the Russian paratrooper Sergey Pavlovich
We are waiting for statements that the Russian beat Lewis because of the color of his skin 😂
View attachment 2310163
Ahaahah,mmarekani lazima ajambe jambeView attachment 2310082
Chinese volunteers signing up to take part in the SMO. The requirements are, apparently, prior military experience and knowledge of Russian.
Himars himars himars upo wapi ona watesi wanavoendelea kuchukua miji yetu...alisikika pro nato moja akilia kwa uchunguToka juzi Urusi imechukua maeneo manane, alafu bado watu wanashupaza shingo.
Mandonga UsaTayari Pro NATO wameshaianzishia Uzi hii. Sasahivi kuna viutitiri vya Uzi jamaa wa NATO wanaanzisha chochote chenye hasara kwa Russia. Yaani hata nzi akinyea shati la Putin kwao ni Ushindi mkubwa na vigelegele. Ikitokea Ukraine kunyanduliwa sana utasikia walisema watainyandua kwa siku 3 tu ila kashindwa. Yaani hawa kina MANDONGA wapo kila sehemu
Wakenya manyangau wana viherehereUkiona watu wanaanzisha thread hataka haraka ujue hao ni wakenya.