Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

T14 Armata kwa sasa ni Pro-Russia kindakindaki. Haya ni mafanikio mengine kwa Putin na pigo kali kwa US baada ya kumpoteza komando wao wa 9th Brigade.
Inategemea umejiunga JF lini na umeanza kuingia jukwaa la kimataifa lini ndio unaweza jua mlengo wangu. Huyo uliyemquote kabla vita haijaanza alikuwa ananiona pro Russia mwenzake, mimi nafatilia vita bila ushabiki yeye anaunga mkono popote ambapo kuna Waislamu au wanaosaidia Waislamu. Leo hii Egypt ikianza pigana na Marekani atatumia nguvu nyingi kukwambia jinsi Egypt itakavyoipiga Marekani
 
In modern warfare between super powers aircraft carriers are just sitting ducks. Vita vikitokea kati ya Russia na USA au China na USA hakuna yeyote atakayetambia hizo Carriers. Ni liability. Aircraft carriers zitatumika tu dhidi ya nchi kama Tanzania, kenya, Libya na kadhalika, Lakini superpower kama Russia eti unamtambia na kumpelekea Nimitz..duh...
Kama ni sitting ducks Russia asingekuwa na Admiral Kuznetsov. Russia hana hela ya kumiliki aircraft carriers acheni kujifariji. Nchi iliyoenda kwa Ufaransa kununua Mistral amphibious ships ndio unataka iunde aircraft carriers? Kama wangekuwa hawataki kwanini wasiifanyie retirement rusted and unreliable Admiral Kuznetsov. Kwanini waibakize dockyard inakarabatiwa wakati ishaua watu kwenye moto, ishazamisha their only carrier-capable floating deck, ishazima kwenye mission ya kwenda Syria mpaka intel ya UK ikaogopa ajari ikabidi Royal Navy itume meli kukaa karibu in case Kuznetsov ikipata ajari wajiandae kuokoa yasije yakatokea kama ya Kursk disaster mwaka 2001
 
Nijifariji ili iwe nini......Unapenda kubishana kwa kuwa wewe ni mbishi...endelea na msimamo wako huo huo...nakutakia kila la herikatika mabishano...
 
Weka untvirus kirussia ndiyo kiboko ya degedege zote kuanzia keyboard mpaka saver ila ukiendelea kutumia ya USA river kitachokupata usijesemà hatukukukwambia😂😂😂😂
Totktkggi,ktlmkkk mt,,kz,y8lik68,ot.k9z9k88ztt8yyk8g88kgkmkk8k,k,m,zk
8T88t,kzoozzzim8ztzzmztmzy8,88mki8ikkkiiiz,ktikkkkk888iz,mIzkz,iz,**.¥8£888££8---£kKkIkikkok8im,,i.,m,mmzkk
 
Kama ni sitting ducks Russia asingekuwa na Admiral Kuznetsov. Russia hana hela ya kumiliki aircraft carriers acheni kujifariji. Nchi iliyoenda kwa Ufaransa kununua Mistral amphibious ships ndio unataka iunde aircraft carriers? Kama wangekuwa hawataki kwanini wasiifanyie retirement rusted and unreliable Admiral Kuznetsov. Kwanini waibakize dockyard inakarabatiwa wakati ishaua watu kwenye moto, ishazamisha their only carrier-capable floating deck, ishazima kwenye mission ya kwenda Syria mpaka intel ya UK ikaogopa ajari ikabidi Royal Navy itume meli kukaa karibu in case Kuznetsov ikipata ajari wajiandae kuokoa yasije yakatokea kama ya Kursk disaster mwaka 2001
Carriers kwa sasa ni hasara. Hypersonic missile 1 ya Russia ina angamiza ndege 130. Nani anataka huo ujinga.
 
In modern warfare between super powers aircraft carriers are just sitting ducks. Vita vikitokea kati ya Russia na USA au China na USA hakuna yeyote atakayetambia hizo Carriers. Ni liability. Aircraft carriers zitatumika tu dhidi ya nchi kama Tanzania, kenya, Libya na kadhalika, Lakini superpower kama Russia eti unamtambia na kumpelekea Nimitz..duh...
Kama aircraft carriers ni ujinga China isingeunda hii Type 003 Fujian ambayo waliizindua mwishoni mwa mwezi jana
https%3A%2F%2Fs3-ap-northeast-1.amazonaws.com%2Fpsh-ex-ftnikkei-3937bb4%2Fimages%2F0%2F7%2F9%2...jpg
Na wakati huo wanataka kuwa na carriers 10 kabla ya 2040, kwa sasa wanazo tatu. China anayo destroyer kubwa Type 45 na class ndogo yake bado ni kubwa kuliko meli yeyote pale Russia. Russia ana meli kibao zimezidi muda ila anazilamisha kuwepo jeshini, hata submarines hivyo. Hata Moskva iliyopigwa na Ukraine ilikuwa imeisha muda wake. Azistaaafishe atumie nini?

Nchi ambayo hata air defence systems kwa ajili ya meli haina za kuaminika inalazimika kutumia TOR ambayo ni land based system ndio unaisikiliza ipange naval docktlines? Ona hii meli imebeba land based system wakati kwenye maji inakuwa na poor performance kutokana na mazingira na mtikisiko wa mawimbi
20220730_220942.jpg
 
Nijifariji ili iwe nini......Unapenda kubishana kwa kuwa wewe ni mbishi...endelea na msimamo wako huo huo...nakutakia kila la herikatika mabishano...
Russia has no economy to maintain aircraft carriers. Budget ya kujenga Ford class carrier moja kwa Marekani imefika hata $10 billion, zipo Nimitz 10. Kwa bajeti gani ya Wizara ya Ulinzi ya Russia wangeunda carrier, shipyard gani ingeunda na maintenance ifanyike kwa hela gani. Hata wangetaka, hawawezi
 
Siku zote za maisha yangu nitakuwa upande wa Marekani sababu,
Ni nchi pekee iliyobaki na waafrika ingawaji ubaguzi hauwezi isha lakini utu kwao ulikuwepo kiasi,
Watumwa wa Africa walisambaa karibu dunia nzima lakini hapo bara Asia kwa nini hakuna hata weusi waliobaki huko..!?
Hao tunaowatetea ni watu wa hovyo kabisa kuanzia China hao ni hatari mno,
Marekani ni sawa sawa na sa100 ....ni sawa na mwanamke mpumbavu avunjaye nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe ...tumia akili kidogo tu inatosha kugundua kuwa USA inajibomoa yenyewe siku kwa siku
 
Russia has no economy to maintain aircraft carriers. Budget ya kujenga Ford class carrier moja kwa Marekani imefika hata $10 billion, zipo Nimitz 10. Kwa bajeti gani ya Wizara ya Ulinzi ya Russia wangeunda carrier, shipyard gani ingeunda na maintenance ifanyike kwa hela gani. Hata wangetaka, hawawezi
Jamaa unachukulia Uchumi wa Russia kama Uchumi wa Nigeria eti? Ebu angalia utofauti wa Uchumi wa nchi za Ulaya. Nyingi ni sawa tu.
View attachment 2310368
 
Carriers kwa sasa ni hasara. Hypersonic missile 1 ya Russia ina angamiza ndege 130. Nani anataka huo ujinga.
Carriers haziendi kama matoroli majini. Ndio maana kuna carrier battle groups, hapo hazikosi submarine na destroyer. Naval targets ni ngumu kupima kwa vile zinatembea majini hazijatulia. Na wakati huo kuna situation awareness mfano Marekani wanakuwa na E-2D Advanced Hawkeye angani muda wowote kwenye carrier inapima anga kuna nini. Ina uwezo wa kuona ndege ya adui ikiwa mbali sana kuliko ndege za kawaida. Bado kuna ndege kama Boeing EA-18 Glowrel ni electronic warfare. Bado kuna stealth fighters kama F-35B na C na F-16, F-15, etc ambazo zinafanya adui akose kuisogelea carrier.

Now, kwa kombora lenye range gani la Russia ambalo ni hypersonic na lina targeting nzuri ya kuifikia US carrier. Unataka ulete Kinzhal missile au nini
 
Unafurahishaga snaa aisee unasemaga hunaga ushabiki Ila wee ni mshabiki mkubwa sana WA NATO porojo nyingiii alafu hamna kitu mlikuwa mnasema Russia Hana uwezo WA kuhimili vita Kwa miezi mingi mkaja na mbwembwe kuwa uchumi wake ni Sawa na Jimbo moja pale USA saivi naona unakuja na mbwembwe mpya kuwa Hana pesa wala yard wala teknolojia ya kutengeneza Carrie kweli kiazi ni kiazi tu
 
T14 Armata kwa sasa ni Pro-Russia kindakindaki. Haya ni mafanikio mengine kwa Putin na pigo kali kwa US baada ya kumpoteza komando wao wa 9th Brigade.
Du [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kama huyo zuzu kapata Akili basi kumbe hata SA100 ana weza kupata akili na kuacha kuongoza nchi kihuni....na kuanza kuongoza kizalendo
 
Unafurahishaga snaa aisee unasemaga hunaga ushabiki Ila wee ni mshabiki mkubwa sana WA NATO porojo nyingiii alafu hamna kitu mlikuwa mnasema Russia Hana uwezo WA kuhimili vita Kwa miezi mingi mkaja na mbwembwe kuwa uchumi wake ni Sawa na Jimbo moja pale USA saivi naona unakuja na mbwembwe mpya kuwa Hana pesa wala yard wala teknolojia ya kutengeneza Carrie kweli kiazi ni kiazi tu
Mjomba ujumbe una hang kwa hewa huu 😂😂😂

Vile nawish unge edit walau um'tag tu huyo pimbi aelewe 😄
 
Unajua tatizo la kupigwa linakuwaga continuous kwa hard-headed individuals. Hataki kuamini kama kweli amedhalilishwa, so lazima atafute mahali pa kuosha jina--then anapigwa tena.

Hivi ujiulizi kwa nini tayari Mandonga ameomba apangiwe bondia mbabe zaidi?
Usikute "MANDONGA" ni TACTICAL advisor wa Zelensky.
 
Jamaa unachukulia Uchumi wa Russia kama Uchumi wa Nigeria eti? Ebu angalia utofauti wa Uchumi wa nchi za Ulaya. Nyingi ni sawa tu.
View attachment 2310368
Hizo nchi za Ulaya hazitunishani misuli kwa majirani zao na wala hazitaki kujipa majukumu ya superpower. Kuwa superpower kunahitaji ugharamikie na uingie hasara wakati mwingine. Sasa Urusi hana naval base nje ya nchi anazidiwa na China ambayo ina base pale Djibout na inajenga nyingine nchini Solomon islands jirani na Australia. Hata India inajenga naval base nchi fulani hapa Indian ocean kujipanga dhidi ya China
 
Back
Top Bottom