Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Du [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kama huyo zuzu kapata Akili basi kimbe hata SA100 ana weza kupata akili na kuacha kuongoza nchi kihuni....na kuanza kuongoza kizalendo
Ukijifunza kuandika ndio unaweza kuwa na mantiki. Hizi typing errors ulizonazo kila reply sio za bahati mbaya, zinaonesha uwezo wako wa akili. Alafu kwanini unalazimisha siasa humu kila muda, Samia anaingiaje. Kawaida ya wapumbavu kuleta siasa kwa maana huna la kuchangia
 
Kuna mtu tulishabishana sana humu ndani kma sio yule mpiga nyeto, moja ya project za hovyo kwa US na zilizotumi pesa mingi sana bhs ni hiyo hata US wanakiri. US wanapigwa sana wanatumia pesa mingi sana afu output inakua sawa na Silaha zingine tena unakuta mpaka anazidiwa. Tofauti wenzao wanatumia cost ndogo ila quality na ubora unakuta same
Nafkiri wakati mwingine bei inakuwa kubwa kwasababu ya ku outsource. Hiyo F35 ni Lockhead Martin kama sikosei. Hapo hapo unakuta spare flani au design fulani tena iko outsourced. Halafu wanaweza kupandisha bei just tu kwa braging na peculiarity. Ten % , consultant , modification, mantainance etc kote pesa inaliwa tuu. Mwishowe bei inapanda ili faida urudi. Tofauti na China unakuta vitu vingi wanafanya wenyewe ndani ya jeshi kwa mshahara constant.
 
Russia has no economy to maintain aircraft carriers. Budget ya kujenga Ford class carrier moja kwa Marekani imefika hata $10 billion, zipo Nimitz 10. Kwa bajeti gani ya Wizara ya Ulinzi ya Russia wangeunda carrier, shipyard gani ingeunda na maintenance ifanyike kwa hela gani. Hata wangetaka, hawawezi

We jamaa una ubishi wa kitoto sana aircraft carriers kwa sasa ni hasara mtu anakupigia akiwa kwao inatumwa hypersonic kwisha habari. Tuko kwenye tech mpya kwa sasa.
 
Unafurahishaga snaa aisee unasemaga hunaga ushabiki Ila wee ni mshabiki mkubwa sana WA NATO porojo nyingiii alafu hamna kitu mlikuwa mnasema Russia Hana uwezo WA kuhimili vita Kwa miezi mingi mkaja na mbwembwe kuwa uchumi wake ni Sawa na Jimbo moja pale USA saivi naona unakuja na mbwembwe mpya kuwa Hana pesa wala yard wala teknolojia ya kutengeneza Carrie kweli kiazi ni kiazi tu
Hapo ulitakiwa ubishe nilichosema sasa, achana na "mlikuwa mnasema...", tulisema sisi kina nani. Useme sasa, ni kampuni gani na shipyard gani pale Russia inayoweza tengeneza aircraft carrier. Mimi nasema haipo, wewe unasema ipo basi itaje. Pinga kama mtu mwenye akili

Pale Russia kuna kampuni gani yenye uwezo wa kufika hata nusu ya Huttington Hingars. Shipyards kubwa zilikuwa Ukraine kipindi cha USSR. Hii Russian Admiral Kuznetsov imetengenezwa Ukraine, hata ile Liaoning iliyouzwa China waliinunua Ukraine, hii Vikramaditya ya India ilitengenezwa Ukraine. Russia ashindwe kutengeneza amphibious ship kama Mistral ambayo inabeba helicopters tu mpaka akaipigie magoti Ufaransa, ndio aje aunde carrier?
 
Carriers haziendi kama matoroli majini. Ndio maana kuna carrier battle groups, hapo hazikosi submarine na destroyer. Naval targets ni ngumu kupima kwa vile zinatembea majini hazijatulia. Na wakati huo kuna situation awareness mfano Marekani wanakuwa na E-2D Advanced Hawkeye angani muda wowote kwenye carrier inapima anga kuna nini. Ina uwezo wa kuona ndege ya adui ikiwa mbali sana kuliko ndege za kawaida. Bado kuna ndege kama Boeing EA-18 Glowrel ni electronic warfare. Bado kuna stealth fighters kama F-35B na C na F-16, F-15, etc ambazo zinafanya adui akose kuisogelea carrier.

Now, kwa kombora lenye range gani la Russia ambalo ni hypersonic na lina targeting nzuri ya kuifikia US carrier. Unataka ulete Kinzhal missile au nini

Ushapiga nyeto wewe sio akili yako kalale mkuu
 
Ukijifunza kuandika ndio unaweza kuwa na mantiki. Hizi typing errors ulizonazo kila reply sio za bahati mbaya, zinaonesha uwezo wako wa akili. Alafu kwanini unalazimisha siasa humu kila muda, Samia anaingiaje. Kawaida ya wapumbavu kuleta siasa kwa maana huna la kuchangia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]du kumbe kweli wewe ni zuzu kamili typing errrors ipo wapi .....mimi ninatumia KISWAILI WEWE UNATUMIA KISWAHILI AU UJUI TOFAUTI YAKE [emoji1787][emoji1787]sijakosea kuandika...mimi ni genius sisiti kujitaja hivyo ...wewe unavyo vya kuchangia kwa sababu hauna akili ya kufanya hitimisho mmm nimesha funga mafaili kuwa URUSI NDIYO MSHINDI SINA WASI WASI WOWOTE .....Ila kama unanitaka wewe kama wewe tupambane kwa nondo naweza kufanya hivyo kwa ajili yako.
CCM NI MAFII
 
Nafkiri wakati mwingine bei inakuwa kubwa kwasababu ya ku outsource. Hiyo F35 ni Lockhead Martin kama sikosei. Hapo hapo unakuta spare flani au design fulani tena iko outsourced. Halafu wanaweza kupandisha bei just tu kwa braging na peculiarity. Ten % , consultant , modification, mantainance etc kote pesa inaliwa tuu. Mwishowe bei inapanda ili faida urudi. Tofauti na China unakuta vitu vingi wanafanya wenyewe ndani ya jeshi kwa mshahara constant.
F-35 hata top 4 ya ndege za bei kubwa haipo. Mfano hii Boeing F-15QA ambayo ni model ya Qatar tu waliyoiagiza baada ya mgogoro na Saudi Arabia kuanza iko very advanced ila sio stealth. Bei yake ina tofauti ndogo sana na F-35. Pia F-35 inaitwa Joint Strike Fighter, ni joint kwa vile wamechangia nchi kadhaa kuiunda. Kama wamechangia lazima kuwepo na components kutoka sehemu tofauti. Lockheed Martin anasimama kama main contractor, makampuni mengine yanasimama kwenye nafasi zao. Mfano engine utachezea palepale RR, P&W au GE. Sensors na missiles utachezea palepale kwa kampuni kama Raytheon Technologies, communication ni kama kina Harris. Kuna vitu huwezi rudi nyuma kuanza kuunda wakati waunzi wapo effective.

Russia alimshirikisha India kwenye Su-57 India akachangia hela kidogo akajitoa. Mchina muda huo ana projects mbili za stealth fighters kwahiyo asingeshiriki. Mchina ameshirikiana na Pakistan kumsaidia kutengeneza JF-17, zaidi ya hapo hakuna nchi serious ushirikiane na China kutengeneza jet wakati engines ilikuwa inanunua Russia. Hao wengine hawana washirika wa kuchangiana costs
 
IMG_20220731_231438_645.jpg

⚡️ "It's time to stick a stake": Kadyrov called the US an economic vampire.

"The US today is an economic vampire that is long overdue for an aspen stake. Biden is a war criminal covering years of Pentagon atrocities. Save your countries. Don't let one idiot cowboy ruin the rest of the world."
 
IMG_4863.jpg

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]
 
View attachment 2310082

Chinese volunteers signing up to take part in the SMO. The requirements are, apparently, prior military experience and knowledge of Russian.
Anayeonekana Kama mchina Ni mmoja TU. Huyo wa mwanzo wengine wote Ni wazungu ambao kimuonekano Ni warusi.
Huyo mwenye muonekano wa kichina Hana tofauti na mwonekano wa Sergey Shoigu waziri wa Ulinzi wa RF. Hivyo basi habari ya wachina kupigana kwajili ya Russia Pengine Ni uongo

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
[emoji845][emoji1232][emoji3575][emoji630] Sudan has requested China to supply a large number of Jian-10 CE fighters. As a result of the agreement, the country will become the first state on the African continent to operate Chinese fighter jets[emoji845]
Si kweli Kwamba Sudan itakua nchi ya kwanza ku operate ndegevita za kichina. Hats zile ziitwazo J7 Ni Chinese made lakini zilizalishwa kwa mkataba ( lincesed produced)

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Hizo nchi za Ulaya hazitunishani misuli kwa majirani zao na wala hazitaki kujipa majukumu ya superpower. Kuwa superpower kunahitaji ugharamikie na uingie hasara wakati mwingine. Sasa Urusi hana naval base nje ya nchi anazidiwa na China ambayo ina base pale Djibout na inajenga nyingine nchini Solomon islands jirani na Australia. Hata India inajenga naval base nchi fulani hapa Indian ocean kujipanga dhidi ya China
Ni kweli
 
Jamaa wanapoteana mpaka wanafyekana wenyewe

In Donetsk region, the Russian military rained fire on the 2nd battalion of the 1st army corps of the "DPR people's militia,” fighting as part of the Russian army, in an apparent coordination failure.

That’s according to an intercept released by the Security Service of Ukraine (SBU), Ukrinform reports.

Although the Russians are trying to cover up the incident, soldiers mobilized in the so-called "LPR/DPR" start realizing that they are being used as cannon fodder.

Back
Top Bottom