Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Labda mafuta ya ndege hayatoshi, because nasikia jana walitua Hawaii mara 4 ili ku-refill. Ujue Russia kawabania sana mafuta hawa jamaa mpaka nawaonea huruma?

Talk about TACTICAL BUDGETING. Just like huko Germany umeme umeanza kufanyiwa ^umakamba^ kama wa hapa Bongo!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiangalia yale makombora China alikuwa anarusha, Ahh si masihara.

Hawawezi peleka silaha kote Taiwan na Ukraine.

Kama ishu ya kuwekea vikwazo Russia imepelekea recession Marekani na nchi zote za EU, wakiwekea vikwazo na China pia si watakuwa masikini kuliko [emoji1241] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wamegundua mwisho wa nguvu zao.
 
Hii kisiasa, USA kapigwa tobo.
Yaani vibaya mno. Kwenye ulimwengu wa kisiasa hili ni kupigwa tobo, alafu kanzu.

Ukisoma alichoandika kuwa hakikishia washirika na marafiki zetu commitment ya Marekani na tukio la kuogopa kwenda Taiwan ukaonganishwa na kuogopa/kukataa kupeleka jeshi Ukraine, walimwengu wamesha jua Marekani siyo wa kumtegemea tena.

Ni pigo kubwa sana. Nchi nyingi zitaendelea kwenda upande wa Russia na China.
 
Usa wanajiaibisha Bora tu wangetulia hamna mtu angejua udhaifu wao
Wali kurupuka. Na Russia anaitumia hii fursa vizuri mno.

Anaipeleka vita taratibu, ichukue muda mrefu. Anachotaka siyo kushinda Ukraine tu, bali US na EU waombe poo.

Kwa hiyo, hii vita itaenda mpaka mwakani ili aone EU wata fanya nini winter.

Na pia, ana zivuruga sanctions zote za Marekani zionekane hazina kazi tena na nchi zisi ziogope. Mfano mzuri ni kualika makampuni ya North Korea kuchukua tenda Donbas. Kwa Sanction za Marekani, North Korea alikuwa hawezi kufanya kazi popote nje ya nchi yao.

Na kuingia makubaliano pia na Iran na Venezuela.

Na Marekani hawana cha kumfanya kwa kuwa sanctions zote walizo kuwa wana mtishia nazo hapo kabla washampa. Hakuna jipya.

Kipute [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
⭕️زاخارووا: جانسون می‌تواند به‌عنوان زن برای تصدی دبیرکلی ناتو رقابت کند

🔰سخنگوی وزارت خارجه روسیه در اظهاراتی تمسخرآمیز گفت: هیچ چیز مانع جانسون نمی‌شود ناگهان یک زن درونی را کشف کند.

⭕️Zakharova: Johnson can compete as a woman for the post of NATO Secretary General

🔰The spokesman of the Russian Foreign Ministry said in a mocking statement: Nothing prevents Johnson from suddenly discovering an inner woman.

🆔بروکر جهانی ZTE-Forex
 
Russia wanamjua BoJo vizuri,ni mtu wao tangu akiwa na miaka 16,so they know his weaknesses. Wakitaka kumlipua,haitachukua dakika.Hii comment yenyewe is damaging kwa mtu muelewa,because it means he is a Casanova,Roue', Satyr,Romeo or what ever you may want to call him.Kama ange-kuwa mwanamke tungemuita Harlot,so he is not dependable.Shirika respectable surely lisingependa kuwa na mtu ambaye ni muongo,double dealer au Casanova kama BoJo.
 
Nyie jamaa humu mnachekesha sana,
Yani jf ukiwa unachart humu maisha ya humu ni tofauti kabisa na uhalisia,
Yani mfano ukiwa humu unachart kuhusu Tanzania unaweza zani Tz haina mwelekeo ukitoka nje mtaani maisha kama kawaida nilisha shindwa kuelewa nahisi jf ni away from planet Earth.
 
Siku zote za maisha yangu nitakuwa upande wa Marekani sababu,
Ni nchi pekee iliyobaki na waafrika ingawaji ubaguzi hauwezi isha lakini utu kwao ulikuwepo kiasi,
Watumwa wa Africa walisambaa karibu dunia nzima lakini hapo bara Asia kwa nini hakuna hata weusi waliobaki huko..!?
Hao tunaowatetea ni watu wa hovyo kabisa kuanzia China hao ni hatari mno,
 
Leo ni Russian Navy day ambayo huadhimishwa kila Jumapili ya mwisho ya mwezi July. Putin atakuwepo St. Petersburg ambapo ndio historia ya Russian navy ilianzia miaka zaidi ya 200 uko nyuma. Natarajia kumuona Admiral Nikolai Yevmenov ambaye huwa namuona kwa uchache sana kati ya high ranking commanders wa Russia.

Maadhimisho haya hufanyika pia miji kadhaa yenye naval bases kama Kursk na kwingineko. Crimea pale zoezi limesitishwa leo baada ya drone ya Ukraine kushambulia HQ za navy pale na kujeruhi watu watano. Hii miaka mitatu huwa sikosi haya maadhimisho kuyafatilia ila huwa shughuli fupi sana. Leo watafanya bila Moskva cruiser ambayo ilikuwa muhimu, Akula (Typhoon) class submarine ya mwisho kama itashiriki zoezi popote pale inaweza kuwa ndio mwisho wake kuonekana
Главный_военно-морской_парад_06.jpg
 
Representatives of the parliaments of 16 countries, including the European Union and North America, have already expressed their intention to act as observers at the planned referendum in the Zaporozhye region on the issue of joining the Russian Federation, said Vladimir Rogov, a member of the main council of the Zaporozhye Regional State Administration.
 
Siku zote za maisha yangu nitakuwa upande wa Marekani sababu,
Ni nchi pekee iliyobaki na waafrika ingawaji ubaguzi hauwezi isha lakini utu kwao ulikuwepo kiasi,
Watumwa wa Africa walisambaa karibu dunia nzima lakini hapo bara Asia kwa nini hakuna hata weusi waliobaki huko..!?
Hao tunaowatetea ni watu wa hovyo kabisa kuanzia China hao ni hatari mno,
Samahani mkuu,hiyo simu ulishika ni yako,au ni mama yako? Alafu uliishia darasa la ngapi? Ili nisije nikabishana na kilaza!?
 
Representatives of the parliaments of 16 countries, including the European Union and North America, have already expressed their intention to act as observers at the planned referendum in the Zaporozhye region on the issue of joining the Russian Federation, said Vladimir Rogov, a member of the main council of the Zaporozhye Regional State Administration.

EU representatives to participate in the referendum? What does that mean?
 
Back
Top Bottom