Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
The alliance signed between Venezuela and Iran is being called the "Axis of Resistance".
Mkuu Rasta Russia 🇷🇺 ikipigwa ujue ni kwenye MOVIE 🎬 sio maisha halisi mzee wangu.....Mkumbuke pia kuriport habari za pande zote maana kuanzia jana maghara ya Russia 50 yameteketezwa.
mkenya wa kaweHuyu jamaa si Mkenya kama wengi wanavyofikiri humu. Ni wa hapohapo tz
Hiyo katika medani za vita inaitwa TACTICAL ASSISTANCE--ni mbinu ambapo adui hujiandaa kisaikolojia akijua baada ya mwenzake kuwa liquidated, yeye ni next.Sina uhakika unaelekea wapi? Yaani nimeonyesha idadi kubwa kabisa ya wananchi wa Poland wanakubali kusaidia Ukraine kwa kuwapa silaha dhidi ya vita iliyoanzishwa na Putin.
Ukimaanisha hao wanafanya vile kwa sababu wanaona usalama wao uko hatarini - sawa. Na wakiona pia mfumo wa uchumi ungewarudisha nyuma - sawa pia.
Ila je unamaanisha hayo?
Nakuona vile unavyo-force ili Kiswahili kionekane as though foreign kwako lakini wapi. Kenya wameku-disown, huku Bongo vilevile. Labda ujaribu kule Goma DRC.Unajua kama mumechanganyikiwa vile, nyie hapo ndio mumeleta mfano wa Vietnam tena ghafla mnageuza na kuniambia nisitumie mifano ya 70s, kabla huu ugomvi uishe waarabu wa Bongo mtakua mumechizi, najaribu kupata picha hapa mnavyoteseka huko....ha ha ha

Well doneRussiakazi iendelee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji845][emoji1099] [emoji921] [emoji409]GAS PRICE IN THE EU HAVE ALREADY RISEN TO $2,200 PER 1000 m3 AT THE CLOSE OF TRADING FOR THE FIRST TIME SINCE THE BEGINNING OF MARCH[emoji845]
done well (daniel)
Unishangaze mie ngoja nikushangaze wewe kwanzaWalishambuliwa na Ukraine. Au unasema Warusi ni matahahira hawajui kama wameshambuliwa ama sio. Bisha nikushangaze
Kama sijakosea hata UG walikua NyutroUrusi ametembelea nchi rafiki zilizomuunga mkono sisi tulikuwa neutral
Ndugu unauliza maswali ya ajabu kidogo. Nimeonyesha waziwazi kura ya maoni ilitekelezwa na Pew. Kama huwajui, basi watafute tu. Taarifa yao kamili pamoja na data zote inapatikana online,
Je, unashangaa mawazo katika Poland kuhusu Urusi??? Kweli huna habari?? Ujerumani utaona namba afadhali kidogo kwa Urusi lakini Ujerumani haikuwa koloni ya Urusi kama Poland.
Kuhusu uhuru: sawa hakuna "absolute freedom" lakini kuna uhuru wa kawaida. Uhuru wa kawaida ni nchini Poland unaweza kuweka tangazo hadharani kwamba hukubali na siasa ya serikali yako ikituma silaha Ukraine; sijui tangazo litasimama siku ngapi wakati majirani 9 kati ya kumi hawakubali msimamo wako, lakini unaruhusiwa kuiweka.
Urusi? Nimeona video jinsi gani watu walikamatwa walipoonyesha karatasi mkononi tu . . .
Putin anahitaji kuaminisha watu wake kwamba hakuna vita na yale yanayoendelea yanaendelea vema tena kwa utu. Ambyo si kweli, lakini . . .
(Sijui kwa nini unahitaji kuleta topic ya ushoga tena na tena lakini hapana, hakuna anayewekwa gerezani huko kwa kupinga ushoga hadharani. Huna mfano. Kupiga washoga ni kitu kingine, lakini kupinga ni uhuru huko)
umeongea ukweli kabisa mkenyaUkraine anashinda vita kwenye Social medias ila ukienda field huko hali ni mbaya sana.