Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Icho kitu Ukraine awataokuja kufanya ata washawishiwe vipi yani kitendo cha kupiga ata risasi mojo tu kwenye ardhi ya crimea ni kama vile umeipiga moscow kichapo watalachokula awatokisahau
Amka toka usingizini. Tarehe 22 Aprili Mil Mi-24 mbili za Ukraine zilifanya mashambulizi mjini Belgorod kwenye kituo cha mafuta (video hiyo chini). Vita hii umeanza kufuatilia lini? Bado shambulizi la drones kwenye oil depot hujui, bado shambulizi dhidi ya Moskva cruiser ya tani zaidi ya 10,000 na watu zaidi ya 400 nayo hujui.

Kwanini vita usubirie Moscow ndio ishambuliwe, kwani unaipangia Ukraine pa kupiga. Mbona Russia ilitimua mbio kuondoka Ukraine
 
Marekani hajawahi kuwa na athari za kiuchumi bwanaaaa....hata Uingereza na Ufaransa hawajani sembuse Ujerumani.... Hawajawahi kuwa na madhara ya kiuchumi wakiwa vitani ...... SI ndio vitabu vyenu vya historia vinavyosema ...Leo Urusi lazima athari iwepo!!?? Mmebakiza akili za kuchamba kimba tu....
Marekanai hajawahi kuwa na athari ya kiuchumi namna gani?? Ni nchi inayofungua milango kwa watu wote wa nje wenye vipaji bila kujali utaifa au rangi hivyo ni mahali pa utafiti wa hali ya juu.
Marekani ni nchi iliyo na hataza nyingi hasa hataza katika tekinolojia ya kisasa kabisa. hadi sasa Marekani inaongoza katika idadi ya hataza, ikifuatwa na China, Japani, Korea Kusini, zote zenye zaidi ya milioni ya hataza. Urusi iko mbali sana katika orodha hii, hata baada ya Italia.
Hataza ni pesa moja kwa moja: kila mmoja anayetumia tekinolojia iliyopo chini ya hataza analipa kwa mwenye hataza anapaswa kufuata mashariti yake.
Hapo pia sababu China haipeleki silaha za kisasa au vipuli vyake Urusi, maana tekinbolojia ya juu inayotengenezwa China hadi sasa inatumia hataza za Marekani hivyo makampuni ya China wanapaswa kuangalia vikwazo vya Marekani
 
DRC WAMEWAFUKUZA WALINDA AMANI WA MONUSCO Nani atuchambulie hili JAMBO Why Now na kwa kujiamini sana . Chambua ukihusisha migogoro wa Russia na Nato
Wacongo hawanaga akili wale,usipoteze hata Muda kuwajadili.Wale kuwajadili labda kwny mambo ya boringo tu Ila kwny mambo sensitive Ni empty brain wale.

Nchi iko kwny Vita na waasi Rais anaenda zake Hispania(Marbella)
kuogelea na Wazungu,wananchi wanavamia kambi ya monusco wanajeshi wa Congo wanaenda nao kuiba tv,viti etc

bWVkaWEvRllnekVXcldRQVlOUmduLmpwZw%3D%3D.jpg
Screenshot_20220725-232506.jpg
 
Gazprom imesema itatoa 20% tu ya gesi kwenye Nord Stream 1 kuanzia tarehe 27 ili kupisha marekebisho ya turbine iliyotengenezwa na Siemens. Siku chache zilizopita ilipunguza kupeleka gesi hadi 40% kwa siku kumi mpaka pale turbine ambayo nayo imetengenezwa na Siemens ya Ujerumani ilipomaliza maintenance. Hiyo turbine ilipelekwa Canada ambako subsidiary ya Siemens ndio ilirekebisha. Wajerumani waliichelewesha
 
Vita inaendea mwezi WA tano na asilimia 27 ya Ukraine ipo chini ya Mrusi wakati muungano mzima WA nato ulipigana vita Afghanistan kwa miaka 20 na kufakiwa kuteka asilimia 30tu ya Afghanistan


Yaani kama ingepigana marekani peke yake Ile vita basi marekani asingeteka hata mtaa Afghanistan


Hapa ndipo urusi inaitwaga super power ha ha ha ha ha
Usijali nani anaitwa super power au nini . . . Ila takwimu zako unatumia namba za ajabu . . . Walikamata takriban asilimia 14 tangu kuanza vita hii. Maana kabla ya vita Urusi ilitawala takriban asilimia 7 za Ukraine (Krimea na maeneo wanayoita "jamhuri" za Donbass)
"On May 24, Forbes Ukraine reported that Russia occupies 125.000 km2, which is 20.7% of Ukrainian territory. On June 2, Ukrainian president Zelenskyy said that the Russians occupy about 20% of Ukrainian territory in total."
Piga hesabu: 20 % chini ya Urusi kwa jumla, kasoro 7% walizoshika kabla ya vita = 14% walizofaulu kuteka hadi sasa.
Hata ukipata 20% kwenye mtihani wowote, siyo ni "F"??
 
DRC WAMEWAFUKUZA WALINDA AMANI WA MONUSCO Nani atuchambulie hili JAMBO Why Now na kwa kujiamini sana . Chambua ukihusisha migogoro wa Russia na Nato
Hapo ujue Wagner group wanaingia,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] halafu tusikie wale M23 wanaunguruma.

Ila Uganda wanatuzidi nini?
Kiasi Cha Lavrov kuchagua Uganda instead ya kutembelea Baba wa Waswahili wote duniani,
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] msichukulie maneno yangu serious maana leo nimeamua kumwagilia moyo baada ya kufika huku nyanda za juu kusini ambapo Kuna baridi Kali sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wacongo hawanaga akili wale,usipoteze hata Muda kuwajadili.Wale kuwajadili labda kwny mambo ya boringo tu Ila kwny mambo sensitive Ni empty brain wale.

Nchi iko kwny Vita na waasi Rais anaenda zake Hispania(Marbella)
kuogelea na Wazungu,wananchi wanavamia kambi ya monusco wanajeshi wa Congo wanaenda nao kuiba tv,viti etc

View attachment 2303859View attachment 2303861
Tatizo Kongo sio nchi Moja kwa maana ya watu.

Ingewezekana Kongo Drc ingegawanywa mara 4 au 6 ili kuweza kujitawala zaidi kwa hayo maeneo.

Wale wafulelo wa Mashariki kwenye miji kama Karemii hawahusiani kwa lolote na Wa Luba Wala bakongo?

Tungekuwa na Taifa lenye Nguvu haya maeneo yangejitangazia Uhuru wao na baadae kujiunga na Tanganyika[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Msishangae kwa Sasa hatuwezi kufanya harakati za miaka ya 60 ambayo nchi na askari hawafaidiki kwa lolote
 
Hapo ujue Wagner group wanaingia,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] halafu tusikie wale M23 wanaunguruma.

Ila Uganda wanatuzidi nini?
Kiasi Cha Lavrov kuchagua Uganda instead ya kutembelea Baba wa Waswahili wote duniani,
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] msichukulie maneno yangu serious maana leo nimeamua kumwagilia moyo baada ya kufika huku nyanda za juu kusini ambapo Kuna baridi Kali sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Urusi ametembelea nchi rafiki zilizomuunga mkono sisi tulikuwa neutral
 
Urusi ametembelea nchi rafiki zilizomuunga mkono sisi tulikuwa neutral
Huyu chief Hangaya anatuangusha sana[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]

Tulitakiwa hapa tustrike dili moja kubwa sana la siraha na pembejeo za kilimo.

Kule Chunya Warusi wameshaingia, kilomita 15 Mashariki mwa mji wa Chunya mjini wakifanya kazi yao [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Tulitakiwa tupate dili nyingine itakayo wezesha nchi yetu isonge mbele huku tukijiita neutral [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1241]
 
🗓 Top News Today

💥High-precision sea-based long-range weapons near Bogdanovtsy, Khmelnitskyi region, have destroyed transshipment base with US-supplied ammunition for HIMARS multiple-launch rocket systems and shells for US M777 large-calibre howitzer.

▫️An attempt of Ukrainian sabotage group to advance and land from fast landing boats on the territory of Kherson Region has been discovered in Dneprovskyi estuary. Two Ukrainian landing boats with saboteurs on board were destroyed as a result of strike.

▫️According to the Russian Defence Ministry, the Kiev regime in Slavyansk has completed preparations for a monstrous provocation using highly toxic substances. In the next few days, SSU officers plan to blow up tanks with more than 120 tonnes of the chemically hazardous substance, hexane, at the oil and fats plant.

📹 Footage of operation of Central MD’s Smerch multiple-launch rocket systems and Western MD’s S-300V anti-aircraft missile systems during the special military operation has been published.

#MoD #Russia #Ukraine
@mod_russia_en
 
Huyu chief Hangaya anatuangusha sana[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]

Tulitakiwa hapa tustrike dili moja kubwa sana la siraha na pembejeo za kilimo.

Kule Chunya Warusi wameshaingia, kilomita 15 Mashariki mwa mji wa Chunya mjini wakifanya kazi yao [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Tulitakiwa tupate dili nyingine itakayo wezesha nchi yetu isonge mbele huku tukijiita neutral [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1241]
Hata mafuta tungepata Kwa Bei rafiki yeye anakimbilia kuchukua mikopo ya karatasi zilizochapwa na epson
 
Ile ni TACTICAL CONVOY. Ni jambo la kawaida sana kwenye medani za vita ambapo unatakiwa uonekane dubwana kubwa na tishio kwa adui yako muda wote na kwenye mazingira yote--MCHANA, USIKU, JUANI ama MVUANI.

Appear STRONG when you're strong, appear STRONG when you're weak. Appear STRONG all the time.

Source: Art of War.

Sasa shida yote ya nini, uanzishe vita wewe mwenyewe kisha uanze usanii wa kutaka uonekane big
 
Marekani na vibaka wenzie walipelekewa sana moto pale vietnam na wakulima wa mpunga....leo ndio maleria iwapande kichwani mpaka waivamie russia. Hapo ni sawa na mtu amewasikiliza motivational speaker na anaona anaweza kwenda kumzaba vibao Dubu mwenye watoto na hiyo ndio nato wanaiita "TACTICAL SUICIDE" kwenye ubora wake.

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app

Ndio kinachomkuta Urusi, hauwezi ukaingia kwa nchi ya watu bila ridhaa yao utegemee kuwapiga, hata Tanzania ilipovamia Uganda walifanya hivyo kwa ushirikiano wa maelfu wa waasi wa Uganda na pia Waganda walikua wamemchoka Id Amin, hivyo Waganda waliruhusu nchi yao na bendera ya kukojolewa, ila leo jaribu kuivamia Uganda ambayo wananchi wake wana uzalendo na nchi yao.

Urusi kwenye huu ugomvi ameingia cha kike, hajui ageuze vipi bila aibu.
 
Anaedhani ukrein ni kainchi Kadogo asome hapa

The length of the front line from Kharkov region to Kherson region, according to foreign observers, is 1105 km.

This is actually the distance from London to Berlin.
#Ukraine

From: @new_militarycolumnist

@russianhead
 
Back
Top Bottom