MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Nani alikwambia Waganda Wana uzalendo wa nchi yao?Ndio kinachomkuta Urusi, hauwezi ukaingia kwa nchi ya watu bila ridhaa yao utegemee kuwapiga, hata Tanzania ilipovamia Uganda walifanya hivyo kwa ushirikiano wa maelfu wa waasi wa Uganda na pia Waganda walikua wamemchoka Id Amin, hivyo Waganda waliruhusu nchi yao na bendera ya kukojolewa, ila leo jaribu kuivamia Uganda ambayo wananchi wake wana uzalendo na nchi yao.
Urusi kwenye huu ugomvi ameingia cha kike, hajui ageuze vipi bila aibu.
Toka Kigagati mpaka Mbarala wanaamini walitakiwa wawe Watanganyika
Huwezi kuwa kwenye Taifa lenye strong ethnicity na Tribal identity kama Uganda then ukaamini wako pamoja.
Naomba nikuulize swali? Kwa nini kiswahili kimeshindwa kupenya kati kati mwa Uganda?