Aisee,hivi ni Ujinga kweli au unaigiza?Maana kama kweli ni Ujinga basi your case is worse!
Ardhi haipigani vita,wanaopigana vita ni watu!Kwanza uelewe Urusi kavamia Ukraine,hiyo inaipa Ukraine advantage katika battle field!Ndio maana Ukraine akizidiwa,wakati anaretreat anaacha amefukia mabomu ardhini!Mabomu mengine yanawalipukia raia na hata wenyewe Kwa bahati mbaya!Hiyo mbinu ya kuacha umezika mabomu inafanya mvamizi achelewe kuadvance maana lazima atangulize timu ya kutegua mabomu,kazi ambayo sio nyepesi na inachukua muda!
Jambo lingine,Ukraine anasaidiwa na mataifa 30,hii ni kuanzia intelligence,silaha, training na hadi manpower!
Jambo lingine ni kuwa Russia kapeleka sehemu ndogo tu ya jeshi lake huko Ukraine,hivyo Kwa upande ya idadi ya combatants basi Ukraine inao wengi kuliko Russia!
Kama Ukraine angekuwa peke yake bila msaada,hii operation ingekuwa imekwisha!
Kama hujaelewa na hapo,basi nenda kaogeshwe maji ya mtoni!