Just tell me who is brighter? Unamwekea adui yako vikwazo ili aangamie economically, but then vina-backfire kwako wewe mwenyewe.So ina maana kubwa jinga Urusi hana lolote, kwa hivyo na nyie wajinga mnamshobokea.
Soma hizo data.Source ya figures
Kagame Hana. Uwezo wa kupambana na Tanzania sisi sio kama Kenya wanababaishwa na vialshababUsikute alikuwa na full support ya Mrusi. Siyo bure.
Aisee,hivi ni Ujinga kweli au unaigiza?Maana kama kweli ni Ujinga basi your case is worse!
Ardhi haipigani vita,wanaopigana vita ni watu!Kwanza uelewe Urusi kavamia Ukraine,hiyo inaipa Ukraine advantage katika battle field!Ndio maana Ukraine akizidiwa,wakati anaretreat anaacha amefukia mabomu ardhini!Mabomu mengine yanawalipukia raia na hata wenyewe Kwa bahati mbaya!Hiyo mbinu ya kuacha umezika mabomu inafanya mvamizi achelewe kuadvance maana lazima atangulize timu ya kutegua mabomu,kazi ambayo sio nyepesi na inachukua muda!
Jambo lingine,Ukraine anasaidiwa na mataifa 30,hii ni kuanzia intelligence,silaha, training na hadi manpower!
Jambo lingine ni kuwa Russia kapeleka sehemu ndogo tu ya jeshi lake huko Ukraine,hivyo Kwa upande ya idadi ya combatants basi Ukraine inao wengi kuliko Russia!
Kama Ukraine angekuwa peke yake bila msaada,hii operation ingekuwa imekwisha!
Kama hujaelewa na hapo,basi nenda kaogeshwe maji ya mtoni!
Al Shabbab vp,mmeimaliza na kurudi nyumbni,au bado mko Somalia mnasumbuliwa akili na panya rodi
Just tell me who is brighter? Unamwekea adui yako vikwazo ili aangamie economically, but then vina-backfire kwako wewe mwenyewe.
Kama mna jeuri hiyo, acheni kabisa kutumia gesi & mafuta ya Putin. Endapo mnamwita kwamba yeye ni gaidi, unadhani nani hapo ni MFADHILI wa gaidi?
Ukisikia majibu ya kanga Kwa hoja zenye maana basi ndio haya!Hebu soma basi nilichoandika na huu utopolo uliojibu!Rejesha basi mshipa wako wa aibu na jadili facts na sio kutujazia maneno ya kanga hapa!Hamnaaa!! Urusi tumekua tunaambiwa wana vyote, silaha za kila aina na ndio maana waarabu wa Bongo huwa mnawaabudu mkidhani wanaweza kukomoa Marekani. Wana ardhi kama yote, wana idadi ya watu wengi ukilinganisha na hako ka-Ukraine, lakini wametolewa mpwito mpwito pale Kyev hadi raha na bado mziki unaenelea
Ukisikia majibu ya kanga Kwa hoja zenye maana basi ndio haya!Hebu soma basi nilichoandika na huu utopolo uliojibu!Rejesha basi mshipa wako wa aibu na jadili facts na sio kutujazia maneno ya kanga hapa!
Tutakoma Kwa lipj?Kwa maneno Yako ya mipasho?Unajisumbua bure,watu makini wanakuona hamnazo!Hehehe na mtakoma yaani tu
Dah...wewe Mkenya nadhani umetumwa humu kuwavuruga watanzania...una vitu vingi mno vya kuudhi...matusi, kejeli na sumu ya udini na ukabila...ni mtu hatari mno kwa jamii ya watanzania...nashangaa inakuwaje mpaka Sasa unaendelea kudumu humu...So ina maana kubwa jinga Urusi hana lolote, kwa hivyo na nyie wajinga mnamshobokea.
Wewe mwenyewe unapiga kilele kuhusu Russia huku kdf wanatumia silaha za ki RussiaNakumbuka kipindi fulani Kagame aliwaliza sana nchi yote alipoingia bifu na Kikwete, nilikua nawauliza Wabongo jameni kainchi saizi ya mkoa wenu kanafanya muongee siku inaisha.
Basi vile vilio vyenu vya mchana kutwa na usiku kucha huko Ulaya & Marekani ngoja tuviite tu TACTICAL EVASIVE CRIES--mbinu mojawapo katika medani za kivita ambapo unajifanya unaumia sana almost sawa na adui yako unayezipiga naye ili tu ionekane katika ugomvi huo baina yenu, wote mnapoteza na wala hakuna anayefaidika.Vikwazo havija backfire, tafuta mchumi akueleweshe namna haya mambo yalivyo, ukikaa hapo kijiweni kwa wauza dagaa utapotoshwa.
Ndugu zetu? Umerogwa ww,tangu lini Al Shabbab wakawa jirani,au ukaribu na Al Shabbab!? Alafu,nani kasema mnapigana na Somalia,mm nimesema mnapigwa na panya rodi 🤣🤣Hatupigani na Somalia, tunapigana na ndugu zenu wa dini wanaopigana kama waoga kwa kujificha ndani ya raia. Kama ambavyo wale wa Msumbiji waliingia Tanzania na kuchinja wanavijiji na kurudi kwao, ingekua kwa kenya lazima tungewafuata huko huko....soma walichokifanya huko kwenu hao wafuasi wa dini ya mwarabu https://www.bbc.com/swahili/live/habari-54641755