Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Cheki hii ngombe so unabishana na Banki kuu ya Russia, uchumi wa Russia Ni sawasawa na uchumi wa California
Three U.S. states have larger GDPs than Russia: California ($3.1 trillion), Texas ($1.78 trillion) and New York ($1.7 trillion). Note that California has more than twice the GDP of Russia.

The economy of the State of California is the largest in the United States, with a $3.4 trillion gross state product (GSP) as of 2021. It is the largest sub-national economy in the world. If California were a sovereign nation (2022), it would rank as the world's fifth largest economy, behind Germany and ahead of India.
 
Engineer weka data tuwakere hahaha
Wameanza kupingana na Urusi yenyewe. Kwani silaha zinazopigwa ndani ya Ukraine si ndio hizo hizo ziko Urusi sasa sijui wanaona ajabu gani Ukraine ikifanya mashambulizi deep within Russian territory. Habari za air defence tunakubaliana kuwa ni weak, hii sio Israel
 
Wameshambuliwa nanani MKUU
Maana kama mshambuliaji ni UKRAINE kama usemavyo kakataa
Kwahio walishambuliwa nanani tujue !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
Walishambuliwa na Ukraine. Sasa kati yako wewe uliyekaa Nanyumbu kijijini na Warusi ambao ndio wameshambuliwa unataka tumsikilize nani. Wewe unajua sana ulinzi wa Urusi kuliko msemaji wao wa Wizara ya Ulinzi?
IMG_20220726_074851.jpg
Au Urusi ni mafala hawajui wameshambuliwa na nani, au Urusi wamejishambulia?
 
Baada ya kuona silaha za western ni dhaifu Poland wameamua kununua silaha kutoka Korea kusini kwa ajiri ya usalama wao

BREAKING:🇵🇱🇵🇱🤝🇰🇷🇰🇷

It appears that the Polish-South Korean arms agreement is significantly greater than anticipated.

The Polish Armaments Agency's krzysztof atek spokesperson today revealed that Poland is purchasing:

-672 K9 self-propelled howitzers
  • 1000 K2PL MBT
  • 48 FA50 fighter planes
  • 1400 Borsuk IFVs

For more interesting articles please visit our website ⭐

 
Huyo Napoleon na hiltler wote kiama chao kilikuja baada ya kuivamia russia......be aware of russian curse.

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Sawa na ujuwe ya kuwa Russia aliwashinda hao magiant wa tactic ya defensive, hivyo russia anaweza vita ya defensive tu! Tena huwa anaweweweseka akipigana mpaka anachoma miji yake, chakula chake, na kukimbilia kwenye mabarafu.
Sasa eti na yeye kavamia. Tena ajichunge sana kutishia the great Britain, we taifa limekufundisha kufanya usafi wa mwili, taifa watu wake wana table manner, taifa wanawake wake wana English figure, na wanaume wao are gentlemen, isimchokoze mstarabu
 
Kwani ukubwa wa eneo ndio undetermine competence ya jeshi?Hii hoja ukiizungumzia Huwa nawaza utimamu wako!
Naona hapa pointi yake ni kwamba why mnyama simba apambane usiku kucha kumuua swala?

Jibu lake ni kwamba katika medani za kivita hii inaitwa TACTICAL ASSAULT. It means ni mbinu ambapo unamshambulia adui kimkakati ukiwa na lengo la ku-act as if unajichoresha negatively kwa maadui wengine visabengo ili wadhani, KAMA FULANI KAPANGUA HIVI, NAMI NAWEZA KUMBE--then wakija na kujaa wagaragazwe na kuguyuguzwa mazima.
 
Baada ya kuona silaha za western ni dhaifu Poland wameamua kununua silaha kutoka Korea kusini kwa ajiri ya usalama wao

BREAKING:🇵🇱🇵🇱🤝🇰🇷🇰🇷

It appears that the Polish-South Korean arms agreement is significantly greater than anticipated.

The Polish Armaments Agency's krzysztof atek spokesperson today revealed that Poland is purchasing:

-672 K9 self-propelled howitzers
  • 1000 K2PL MBT
  • 48 FA50 fighter planes
  • 1400 Borsuk IFVs

For more interesting articles please visit our website ⭐

Usikute kwamba silaha za Marekani zimeishia kwenye vyungu vya Iskander za Russia, so no way out.
 
Back
Top Bottom