Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia Gazprom wanazima turbine nyingine ya gesi inayo kwenda Europe. Kuzimwa huko ina maanisha kuwa kwanzia tarehe 27 mwezi huu, bomba lita pitisha 33 million cubic meter kwa siku badala ya 67.

Kumbuka kwamba, bomba lina turbine 5 kila moja ikipump cubic meter 33 million. Jumla ikiwa 167 million cubic meter.

Kwa maelezo hayo, bei ya gesi Europe imesha panda tena kufikia zaidi ya €1,850 kwa 1000 cubic meter kutoka €1,700.

Kumbuka mwaka jana, walikuwa wananunua gesi kwa €250 mpaka €280 na mwaka juzi ilikuwa €100.

Msimu huu wa baridi utakuwa mtamu kaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nadhani wana kiherehere mno na kiburi.....September 1939 walikuwa wa Kwanza kuvamiwa na Hitler and is recorded kuwa ndio mwanzo wa WWIi...this time wako kimbelembele against Russia...na hata siku za mwanzo wa crisis hii kwa baadhi ya siku Zele alikuwa mafichoni Poland...halafu wanatamba hivi Sasa kuwa they want to build a strong army kuliko nchi yoyote ya NATO huko Europe...very ambitious and arrogant too...Nchi nyingine yenye kiherehere ni Lithuania...ni ka-nchi kadogo Sana lakini dah kana jeuri Sana na yenye mwelekeo wa fools courage..nadhani pale itakapotokea exchange ya nukes baina ya Russia na West nchi zitakazokuwa za Kwanza kufutwa kwenye ramani ya dunia ni Poland, Lithuania na England..
England, the great Britain hapana mkuuu, hamna panyaa yoyote anayeweza kupiga bomu taifa kama England. Hivi mtu ana anzaje anzaje akitaka kubonya kitufe cha kombora atajikuta anatokwa jasho mwili mzima ni sawa na mtu timamu kutaka kumpiga babaye makofi.

Britishi ndo kaufundisha ustarabu dunia
 
Acha uongo na wewe ufunguke akili hiyo ni misemo tu kumuogopesha adui yako ya kwamba ni operation ya Kijeshi wakati unashindwa kule ule msafara wa 45km kwa mbwembwe nyingi, sa hizi hakuna hata msafara wa 1km hahaa so funny

Operation wakati huo
Tanks 1688 mpaka wakulima wanajibebea vifaru vingine na wadau wa kuokota vyuma chakavu wanaokota huko itakuwa biashara ya kuuza vyuma chakavu imepamba moto huko.

Troops 38400 wamekwenda na upepo wa kisurisuri,

Armoured personal vehicles 3890 Ardhi ya ukraine imetafuna.

Helicopters 192 anga la ukraine limemeza.

Cruise missiles 162 zimefwekelewa mbali.

Artillery system 859 crushed.

MLRS 249 drone za mabomu zimefanya yake,
Vehicles and fuel tanks 2750 zimewashwa moto na zenyewe zikasapoti moto,

Anti-aircraft warfare system 112 zimeshindwa kujilinda zenyewe na wapiganaji wa chini, wazo liliishia angani.

Special equipment magari 72.

Aircraft 223 mengine wenyewe wanashambulia ya kwao.

UAV 690 zote chini nyingine huenda wakatengenezea mabanda ya Kuku.

Boats 15, za kijeshi.

Meli vita ukubwa wa Kati 2.

Halafu mwendawazimu mwingine nae anakubali kuaminishwa ni operation.
Hizi silaha zingetosha kabisa kuunda NATO ya Africa
 
RUSSIA DECLARES NEW GOAL: OUSTER OF ZELENSKY REGIME FROM UKRAINE​

25 JULY 2022
Early Sunday morning I presented a story indicating a "major escalation" was coming by Russia in Ukraine, with trainloads of armor and troops arriving, bringing almost three times more Russian firepower to Ukraine. Today, the world learned why: Russia is going to oust the Zelensky regime.
Russian Foreign Minister Sergey Lavrov, speaking to envoys at an Arab League summit in Cairo late Sunday, said Moscow is now targeting the "absolutely unacceptable regime" of President Volodymyr Zelenskyy.
“We will definitely help the Ukrainian people to free themselves from the regime that is absolutely anti-people and anti-history,” Lavrov said.
Zelenskyy was unbowed, pleading to win "this war for independence" and to keep Ukraine on a course toward full membership in the EU and becoming one of the most modern states in the world.
Hal Turner Editorial Opinion
In one fell swoop, Russia completely undermined speculated western plans to get rid of Zelensky and blame it on the Russians. Our earlier stroy (HERE) reported comments by US National Security Advisor Jake Sullivan at the Aspen Conference last week. Sullivan remakrked that the US "Is concerned about the safety and the life of President Zelensky."
This was viewed by many in attendance at the Aspen Conference, as being a "projection" of what the US has now decided to do -- then blame it on the Russians.
Now that Russia has publicly declared they plan to remove Zelensky, they've pulled the rug out from beneath the west. The west can no longer howl that "Russia did it" if Russia now publicly says they're going to do it.
Now, the tables are turned.
Since Russia says they are going to oust Zelensky, the west is now forced into the untenable position of having to protect Zelensky. IF all the intelligence apparatus and the military ight of the west cannot protect Zelensky, then who can it protect?
This announcement by Russia completely up-ended any western plans to kill Zelensky (because he knows all the dirt) and thereby make a pariah state out of Russia.
And if the Russians actually do manage to oust Zelensky in spite of the west . . . NATO will likely fall apart because all the smaller countries in NATO will know that NATO "protection" isn't worth the paper it's written on!
What a Diplomatic / Geo-Political coup!
Regime Change; it's not just an American thing anymore!
WAIT! WAIT! It gets better . . .
Think for just a second about the position Zelensky is in. The two most powerful nations on earth now want him dead.
The Russians say it bluntly; the Americans were plotting and scheming secretly.
So seeing as Zelensky doesn't have a snowball's chance in hell of surviving . . . what is the best (and only) thing HE can do?
He can go to the Russians, offer to give them all the proof of all the shenanigans, all the payoffs, all the Biolabs, in return for . . . . oh this is priceless . . . Asylum in Russia!
He'd screw everybody with that!
Wow has this situation with Russia-Ukraine taken some wild turns. This is better than a soap opera.
 
Nadhani wana kiherehere mno na kiburi.....September 1939 walikuwa wa Kwanza kuvamiwa na Hitler and is recorded kuwa ndio mwanzo wa WWIi...this time wako kimbelembele against Russia...na hata siku za mwanzo wa crisis hii kwa baadhi ya siku Zele alikuwa mafichoni Poland...halafu wanatamba hivi Sasa kuwa they want to build a strong army kuliko nchi yoyote ya NATO huko Europe...very ambitious and arrogant too...Nchi nyingine yenye kiherehere ni Lithuania...ni ka-nchi kadogo Sana lakini dah kana jeuri Sana na yenye mwelekeo wa fools courage..nadhani pale itakapotokea exchange ya nukes baina ya Russia na West nchi zitakazokuwa za Kwanza kufutwa kwenye ramani ya dunia ni Poland, Lithuania na England..
Zitakuwa LIQUIDATED SI ndio😁😁😁
 
Tatizo ni uongozi wao au ni nature ya wapoland wote kuwa viherehere
 
Kweli kabisa.
 
England, the great Britain hapana mkuuu, hamna panyaa yoyote anayeweza kupiga bomu taifa kama England. Hivi mtu ana anzaje anzaje akitaka kubonya kitufe cha kombora atajikuta anatokwa jasho mwili mzima ni sawa na mtu timamu kutaka kumpiga babaye makofi.

Britishi ndo kaufundisha ustarabu dunia
Kwa hiyo Hao England wakiwarushia risasi Russia,Russia watazame TU,kwa sababu England ni England.
 
England, the great Britain hapana mkuuu, hamna panyaa yoyote anayeweza kupiga bomu taifa kama England. Hivi mtu ana anzaje anzaje akitaka kubonya kitufe cha kombora atajikuta anatokwa jasho mwili mzima ni sawa na mtu timamu kutaka kumpiga babaye makofi.

Britishi ndo kaufundisha ustarabu dunia
Akili mgando. Upo sawa na wale wa enzi zile waliokuwa hawaamini sanamu la Nebukadneza na Herode yakianguka maana waliamini ni miungu. Elewa tu kuwa dunia hii hakuna Taifa litakalokuwa dola kubwa muda wote. Hivyo hata Uingereza au Marekani sio za milele. Hata kama sio kwa kizazi hiki cha sasa. Someni Historia na ndio nature ilivyo
 
Russia Gazprom wanazima turbine nyingine ya gesi inayo kwenda Europe. Kuzimwa huko ina maanisha kuwa kwanzia tarehe 27 mwezi huu, bomba lita pitisha 33 million cubic meter kwa siku badala ya 67.

Kumbuka kwamba, bomba lina turbine 5 kila moja ikipump cubic meter 33 million. Jumla ikiwa 167 million cubic meter.

Kwa maelezo hayo, bei ya gesi Europe imesha panda tena kufikia zaidi ya €1,850 kwa 1000 cubic meter kutoka €1,700.

Kumbuka mwaka jana, walikuwa wananunua gesi kwa €250 mpaka €280 na mwaka juzi ilikuwa €100.

Msimu huu wa baridi utakuwa mtamu kaa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787]
20220713_193137.jpg
 
Duh...dah...Poland?!?! Are you joking.?? May be Finland na Sweden....lakini Poland.?!
Kama uko serious kuhusu Poland napata picha humu kuwa baadhi humu ni mashabiki tu hawajui chochote kuhusu geopolitics
No ni Finland na Sweden.
Poland ni tayari mwanachama wa NATO
 
Back
Top Bottom